Kirabhe Kibhe
Senior Member
- Jan 20, 2015
- 100
- 19
Itakufa km ilivokufa Act wasaliti?.
Acha Ujuha!!
Wasaliti?? Kwa nani mamayako....??? Full fill kauli yako hujaeleweka!
Itakufa km ilivokufa Act wasaliti?.
Katika hali inayoonesha watanzania wa Sasa hawategemei propaganda kufanya maamuzi,wananchi wa Wilaya ya Tunduru wamejitokeza kwa wingi kujiunga Na Chama cha ACT Wazalendo huku wakielezea Chama hicho Kama Tumaini Lao jipya Na kuachana na vyama ambavyo Kimsingi vimeshakuwa saccos za watu Fulani huku wakimwelezea kiongozi mkuu wa ACT - Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe Kama shujaa Na kwamba ameonesha kwa vitendo namna anavyotosha kuwa kiongozi ktk taifa hili.
ACT Taifa kwanza leo na kesho.
Ni jukumu la Kiongozi mkuu wa Chama cha ACT Kukitangaza chama nchi nzima,yeye ndio Organising machine na atakuwa na wasaidizi wake
Back to your question: Sio kwamba hakuna mwingine zaidi yake ila yeye ndio amekalia kiti chenye jukumu hilo nililolitaja juu,akija kukakila mwengine atarithi hayo majukumu na movement itaendelea,Karibu ACT-Wazalendo.[/QU
Hiki chama kina malengo mawili tu.
1. Kuisaidi ccm. Hii ni siri ya mwenye chama pekee ndo maana kaweka masharti ya yeye pekee ndo atakuwa mwenezaji wa chama ili wasio ijua siri hii wasije wakaropoka tofauti majikwaani!
2. Na sisi tuwe na chama chetu. Nadhani mwenye akili atanielewa namaanisha nini hapa. Angalieni aina ya watu wanaohamia huko na washabiki wake hapa!
Mwenye masikio na asikie.......
kwa hiyo mkuu unakiri kuwa hata mikutano yenu ya kata mtakuwa mnaweka audio/video zake kwa sababu hakuna mwingine zaidi yake anae weza eneza chama hadi astaafu ufalme
Ni jukumu la Kiongozi mkuu wa Chama cha ACT Kukitangaza chama nchi nzima,yeye ndio Organising machine na atakuwa na wasaidizi wake
Back to your question: Sio kwamba hakuna mwingine zaidi yake ila yeye ndio amekalia kiti chenye jukumu hilo nililolitaja juu,akija kukakila mwengine atarithi hayo majukumu na movement itaendelea,Karibu ACT-Wazalendo.[/QU
Hiki chama kina malengo mawili tu.
1. Kuisaidi ccm. Hii ni siri ya mwenye chama pekee ndo maana kaweka masharti ya yeye pekee ndo atakuwa mwenezaji wa chama ili wasio ijua siri hii wasije wakaropoka tofauti majikwaani!
2. Na sisi tuwe na chama chetu. Nadhani mwenye akili atanielewa namaanisha nini hapa. Angalieni aina ya watu wanaohamia huko na washabiki wake hapa!
Mwenye masikio na asikie.......
Nashukuru Ndugu tuendelee kuwekana sawa,tutaelewana tu:
1.Unachokifanya kinaitwa Fear Mongering na sio wewe wa kwanza kukifanya kimefanywa na wengi na nchi mbalimbali duniani lakini kwa wananchi wanaojielewa It wont work
2.Baadhi ya wamarekani waliaminishwa kuwa Barack Obama ni Muislam,kuwa ni Mkenya hivyo hafai kuwa Rais wa Marekani,kuna kundi kubwa la watu waliamini hivo na hawakumpigia kura Lakini kuna Kundi kubwa la watu hawakuamini hivo na walimpa kura na kilichotokea will remain History,kwa hiyo una haki ya kimsingi kabisa ya kuamini na kuhubiri unachoamini ili watanzanie wasiipigie kura ACT lakini Tupo vile vile tunaoamini kinyume na wewe na tunaiamini ACT na tutapita kwa watanzania kuwahubiria cha msingi ni nani atakayefanikiwa Time will Tell.
Nimekwambia atakuwa na wasaidizi wengi katika zoezi zima la kueneza chama,lakini kama humo unakosema sijui kwenye mikutano ya kata kama kutakuwa na ulazima wa kuweza hizo audio/video kama zipo na tukiona zitasaidia kueneza chama zitawekwa Is tht a bad thing?
Katika hali inayoonesha watanzania wa Sasa hawategemei propaganda kufanya maamuzi,wananchi wa Wilaya ya Tunduru wamejitokeza kwa wingi kujiunga Na Chama cha ACT Wazalendo huku wakielezea Chama hicho Kama Tumaini Lao jipya Na kuachana na vyama ambavyo Kimsingi vimeshakuwa saccos za watu Fulani huku wakimwelezea kiongozi mkuu wa ACT - Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe Kama shujaa Na kwamba ameonesha kwa vitendo namna anavyotosha kuwa kiongozi ktk taifa hili.
ACT Taifa kwanza leo na kesho.
huwezi kunichagulia chama wewe nani kwangu? unaruhusiwa kuipenda cdm wewe mimi sikuchukii huo ni mtazamo wako.namimi kuipenda act nihaki yangu.namwingine akiipenda ccm nihaki yake.tufanye siasa siyo kuleta kauli za kipuuzi hapa
Utakufa na pressure bure CHADEMA inakufa..!
weka ushahidi wa miamala ya mabilioni hapa, ili tuamini maneno yake vinginevyo blabla tu
Mi nadhani Mashabiki wote wa Act ni Majuha. Nyinyi kunasiku ZZK atasema kuleni Mavi na mtakula. Maana kila mtu Act anaimba ZZK tu hicho chama ni cha mtu mmoja tu?. Naona nynyi Act ZK amewashikia akili. Mtakuja kuwa km wafuasi wa yule mchungaji Uganda aliyewachoma moto waumini wake.
Chama pinzani ni kipi?cdm kilipowaita cuf mashoga na ccm b walikuwa hawakinzani.mbona mnataka wote tuwe chagadema.huyu nayeee
kama mnavyosaidiwa na ccm kuua upinzani?mimi damu yangu ni m4c na tumaini langu ni ukawa. wewe cheza na pesa za ccm kwa kofia ya ACT
ACT ni ya waha na ni genge la wasaliti na warafi wa madaraka.kama ZITO KABWE.
Cha ajabu mnaozungumzia ACT ni CCM na hao wana CCM mnaowapa kadi za chadema wajifanye chadema kumbe mnaigiza tu mtawakamata wafuata upepo wenzenu na sio watu wanaojielewa..... Only the time will tell....
Kaka Mimi nasafiri Na upepo wa mabadiliko,Na siwezi kushikilia Chama hata Kama kimepoteza dira sera za act zimefufua matumaini ya ukombozi,maisha Ni mabadiliko Ndugu yangu ulikuwa mchanga umekuwa kijana Na utakuwa Mzee Na utakufa kwa nini usibadilike kisiasa pia.