TUNDU LISU KUONGEA

Habari zake zimechuja.
Mahojiano yake na azam yalipata views kidogo sijawahi ona.
Ajikite na recovery namshauri au kama Dj anamtumia, amuache jamaa apumzike.
 
Mnaitwa mkaTUBU[emoji196]
 
Waliomfanyia Lissu kitendo kibaya hawataki kutubu bali wanataka kuombewa tu
 
Mnaitwa mkaTUBU[emoji196]
Poa, SIDE B ya kaseti ina wimbo gani??
Side A naona mna singo ya KUTUBU.

JPM ni nominnee wa person of the year. Waafrika, sio tanzania tu, WAAFRIKA wametambua mchango wake. Nyie endeleeni kuishi kwa lufikiria ndani ya kuta za ufipa tu. Dunia inawaacha.
 
So what?
 
Bado unataka kusema we [emoji83] [emoji196] [emoji780]
Wakowapi?
$@#$#@%$ zenyu
 
Achenii mambo yenu na masifa yasiyo na msingi
 
JPM ni nominnee wa person of the year. Waafrika, sio tanzania tu, WAAFRIKA wametambua mchango wake. Nyie endeleeni kuishi kwa lufikiria ndani ya kuta za ufipa tu. Dunia inawaacha.
Kwako na mumeo[emoji196]
 
Nawakumbusha tu kumpigia kura Mheshimiwa JPM mana amekuwa nominated
 
Ha ha ha Mwambieni akatubu aweze udhuria Misiba[emoji16][emoji16][emoji16] Nacheka kingereza
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…