kapikita
Senior Member
- Jun 8, 2014
- 131
- 74
Mwanasheria mkuu wa CHADEMA mh Tundu Lisu anatarajia kutikisa mji wa iringa tar 23 jan 2016 katika mdahalo mkubwa wa wazi ulioandaliwa na shirikisho la wanafunzi wa CHADEMA vyuo vikuu vya mjini Iringa{CHASO}.
Aidha katika mdahalo huo utakao fanyika kuanzia majira ya saa tatu asubuhi katika ukumbi wa IDYDC uliopo karibu kabisa na maktba ya mkoa.
Pia Tundu Lisu ataambatana na mbunge wa Iringa mjini mchungaji Peter Simon Msigwa.
Pia watakuwepo wazungumzaji wengine kutoka vyama mbalimbali na viongozi wa serikali.
MADA NI;NINI SABABU,ATHARI NA HATMA YA MKWAMO WA KISIASA ZANZIBAR.
Watu wote mnakaribishwa.