Kadutu Kapya
Senior Member
- Oct 24, 2015
- 122
- 26
Uhuru uliopatikana Iringa kwa nini CDM wasideke hivi ccm ipo kweli madiwani wangapi
Pole,ndiyo uongo mnaoambiwa alafu mnashangilia? Maendeleo yanaletwa na wananchi na kila mmoja wetu hanabudi kuchangia hayo. Utasubiri sana serikali kutatua shida zako,mwambie asichangie maneno maneno yakisiasa tuu atoe navitu vinavyoshikika au namna ya kuvipata,huo ndio uongozi katika zama hiziKazi ya mbunge si kutoa midaada kama unavyodai wewe,ila ni kupigania maslahi ya watu wake kwa kuibana serikali kutatua matatizo ya wananchi!!!