Tundu Lissu: Wabunge waliongezewa kura feki 11,383 kila mmoja na hakuna takwimu za kura za Rais kwa kila Kituo

Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema kwa mujibu wa taarifa rasmi za Tume ya Uchaguzi utagundua hakuna Mbunge wa Kuchaguliwa kule Bungeni

Lisu anasema wakati wa Uchaguzi Mkuu NEC walisema wapiga kura walikuwa 11,800,000 lakini Kwenye ripoti rasmi wanasema wapigakura walikuwa 14,500,000 hivyo kuna nyongeza ya takribani kura 3,000,000 za ziada ambazo ni feki Sawa na kura 11,383 kila Mbunge

Lisu amesema ndio sababu Hayati Magufuli alikuwa anawatambia Wabunge kwamba Bila eye wasingeingia Bungeni

Lisu anasema NEC haina takwimu za kura za Rais Magufuli kwa kila Kituo, kata, Wilaya kama ilivyokuwa kwa Rais wa Zanzibar bali wanazo za Jumla tu ambazo ni takribani 12,500,000

Tundu Antipas Lisu amesema anayebisha aende Tume ya Uchaguzi akahakiki

Lisu ameyasema haya katika mkutano mkubwa wa hadhara huko Ikungi

Naona Tundu Lisu amewasha moto
Lumumba jipangeni upya ...!!
 
kwahiyo Lisu anataka kutuaminisha kwamba mchakato ulikuwa wa dhurma...??, itamaanisha hatuna rais maana ilikuwa michongo..au ndio maana maisha yanazidi kuwa magumu sana
 
Magufuli hakukosea ule mpango wake kuna watu hawakutakiwa kuishi ndio maana hata mbowe anamweka pembeni maana huyu jamaa kichwa kikubwa kama puto la kichina ila busara zero

USSR
Ameshaanza kuwanyoosha tauari! Mtamuombea mabaya yote, mwisho wa siku hayo mabaya yatawakuta nyinyi wenyewe.

Hebu fikiria huyo magufuli wako yuko wapi kwa sasa, wakati jamaa akivinjari? Yaani mlimpiga risasi zaidi ya 30! Na bado mtu yuko hai!! Ifikie wakati muwe na hofu ya Mungu. Mtapukutika wote mkiendelea na hizi akili zenu za kichawi.
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema kwa mujibu wa taarifa rasmi za Tume ya Uchaguzi utagundua hakuna Mbunge wa Kuchaguliwa kule Bungeni

Lisu anasema wakati wa Uchaguzi Mkuu NEC walisema wapiga kura walikuwa 11,800,000 lakini Kwenye ripoti rasmi wanasema wapigakura walikuwa 14,500,000 hivyo kuna nyongeza ya takribani kura 3,000,000 za ziada ambazo ni feki Sawa na kura 11,383 kila Mbunge

Lisu amesema ndio sababu Hayati Magufuli alikuwa anawatambia Wabunge kwamba Bila eye wasingeingia Bungeni

Lisu anasema NEC haina takwimu za kura za Rais Magufuli kwa kila Kituo, kata, Wilaya kama ilivyokuwa kwa Rais wa Zanzibar bali wanazo za Jumla tu ambazo ni takribani 12,500,000

Tundu Antipas Lisu amesema anayebisha aende Tume ya Uchaguzi akahakiki

Lisu ameyasema haya katika mkutano mkubwa wa hadhara huko Ikungi

Naona Tundu Lisu amewasha moto
Sijauona moto aliouwashaTundu Lissu zaidi ya kupambana na Hayati Magufuli hadi leo
 
Magufuli hakukosea ule mpango wake kuna watu hawakutakiwa kuishi ndio maana hata mbowe anamweka pembeni maana huyu jamaa kichwa kikubwa kama puto la kichina ila busara zero

USSR
Mkuu acha hzo cc wemywe Wana ccm ila Hilo Jambo alilotakiwa kufanyiwa si la kitoto Ni la kipuuz na cc pia tumelaahni huo unyama was kikatili dhid ya binadamu ,Kama Ni magu alifanya Hilo bas alikozea sna San kwanin amiminiwe risasi Kam nguruwe pori Tena mchan kweupe s wanted.tengenezea ajali tu kulikon unyama huo ,mungu hadhiakiwi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom