Tundu Lissu, unaweza kuthibitisha tuhuma za wizi dhidi ya Samia Suluhu Hassan?

Naandika Mimi Rashda Zunde

Huyu mama unayemuita na kumtuhumu kama mwizi ukifikishwa mbele ya vyombo vya sheria utaweza kuweka wazi amekuibia nini? Huyu Rais nchi hii unayemuita mwizi mbele ya wananchi wake na dunia imesikia, ukipelekwa mahakamani utaweza kusema ameiibia nini nchi na ushahidi?

Huyu Rais unayemuita mwizi ndiye kiongozi wa juu PEKEE aliyekuja kukupa pole na kukujulia hali pindi ukiwa na hali mbaya nusu kufa, huyu Rais unayemuita mwizi ndiye aliyekufata nje ya nchi na kuongea nawewe, huyu Rais unayemuita mwizi ndiye aliyehakikisha kesi zako na haki zako unazipata. Haya tuonyeshe kitu gani amekuibia au ameiibia nchi yetu Tanzania.

Kwako Tundu, sote tunajua kwamba unaongea hivyo jukwaani tena kwa jazba sababu wewe na wenzako hamuamini kwamba kweli #mamaanafanikisha Tanzania kuzidi kusonga mbelee maana mlidhani hatoweza kuiongoza hii nchi sababu yeye ni MWANAMKE lakini mwanamke huyu ameweza kuliongoza gurudumu la maendeleo na TANZANIA tupo salama.

Lissu tunajua maslahi yenu ndio maana hamuwezi hata kutoa hoja za maana mpka mtukane watu au kusingiza mambo ya uongo, na hii ni kwa sababu tu Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeamua kuwa ya ukweli, uwazi na inaruhusu maoni. Lakini kumbuka kutumia uhuru wako vizuri usitukane wala kusingizia watu mambo ya uongo.

Rais Samia Suluhu hawezi kutokea kuanza kujibizana nawewe na kukudhihaki kama ambavyo wewe unafanya sababu mama amejaliwa hekima na ana malezi ya pande mbili lakini wewe mjalaani uliyokosa malezi unayaweza yote hayo sababu ndio upo hivyo.

Kuwa makini na unachoongea na kama hakuna cha kusema kaa kimya sio lazima uongee, yakikukuta yakukuta uje uanze kusema unaonewa kumbe ni mdomo wako mchafu.

Unaruhusiwa kukosoa kwa hoja lakini si kwa matusi au kutoa maneno na taarifa za uongo.

LISSU OMBA MSAMAHA KWA MANENO YAKO MACHAU, KAMA MMEISHIWA HOJA ZA KUONGEA KAENI KIMYA.
View attachment 2702039
Acha ubwege wewe,Raisi ndio mwizi namba moja katika hii nchi.Lipoti ya CAG imeonyesha wazi wazi wezi wa kodi zetu,je kuna mwizi yoyote aliyeshughulikiwa? Nani mwenye mamlaka ya kuwashughulikia wezi hao kama siyo SAMIA?
 
Lema na Lissu wanadhani Uanasiasa mahiri ni kuwa Mropokaji

Edward Lowassa na Maalim Seif walikuwa Wanasiasa wenye ushawishi na mikakati yenye mafanikio sana ambayo huenda Lema na Lissu wasifikie viwango vyao lakini hawana record ya matusi wala uropokaji
CCM wanafiki na washenzi Sana nyinyi. 2015 wakati wa kampeni si mlikuwa mnamcheka na kumkejeli Lowassa et ni mgonjwa , mara kajisaidia haja kubwa mkawa mnapiga Hadi push up kumkejeli . Kwa hiyo nyinyi mnapenda kuropokea watu mkoropokewa nyinyi zogo 😂😂😂
 
Eneo la kunyoosha hawa Waropokaji JPM ana A plus

ile baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 kama sio kihelehele cha Naibu Balozi wa German kuingilia yasiyo muhusu Huyu roporopo alikuwa kishayakanyaga kwa Mwamba
Sasa hapo Magufuli na Lissu nani ni mwamba ?😂😂
Anyway Lissu ni mtu wa kwanza kutoka hadharani na kutangaza kifo Cha shujaa wenu 🤣🤣🤣
 
Wizi ni Nini ?

Kama tu yupo pale kufanya kile ambacho mwananchi anategemea afanye (at least kuweka platform / sera za kuhakikisha watu wanapata basic needs) na watu hao wanamlipa; alafu hafanyi, na sio kutokufanya tu bali anakopa kwa collateral ya wananchi ili wanufaike alafu watu wanazipiga hizo pesa....

How would you define such a scenario
 
Wanaume wapo serious wewe unakuja unachezesha Makalio.
Tena Mshukuru huyo ni Tundu Lissu anatumia lugha ya kistaarabu kabisa. Angekuwa Mwl. Julius Nyerere unajua vyema wanasiasa wa namna hiyo mnao watetea alikua anawaitaje.
Hawa ndo walioitwa STUPID juzi na Samia .
Hawakulalamika kuwa rais anamatusi ila wanakuja kumlalamikia Lissu aliyesema neno MJINGA 😂😂
 
Naandika Mimi Rashda Zunde

Huyu mama unayemuita na kumtuhumu kama mwizi ukifikishwa mbele ya vyombo vya sheria utaweza kuweka wazi amekuibia nini? Huyu Rais nchi hii unayemuita mwizi mbele ya wananchi wake na dunia imesikia, ukipelekwa mahakamani utaweza kusema ameiibia nini nchi na ushahidi?

Huyu Rais unayemuita mwizi ndiye kiongozi wa juu PEKEE aliyekuja kukupa pole na kukujulia hali pindi ukiwa na hali mbaya nusu kufa, huyu Rais unayemuita mwizi ndiye aliyekufata nje ya nchi na kuongea nawewe, huyu Rais unayemuita mwizi ndiye aliyehakikisha kesi zako na haki zako unazipata. Haya tuonyeshe kitu gani amekuibia au ameiibia nchi yetu Tanzania.

Kwako Tundu, sote tunajua kwamba unaongea hivyo jukwaani tena kwa jazba sababu wewe na wenzako hamuamini kwamba kweli #mamaanafanikisha Tanzania kuzidi kusonga mbelee maana mlidhani hatoweza kuiongoza hii nchi sababu yeye ni MWANAMKE lakini mwanamke huyu ameweza kuliongoza gurudumu la maendeleo na TANZANIA tupo salama.

Lissu tunajua maslahi yenu ndio maana hamuwezi hata kutoa hoja za maana mpka mtukane watu au kusingiza mambo ya uongo, na hii ni kwa sababu tu Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu imeamua kuwa ya ukweli, uwazi na inaruhusu maoni. Lakini kumbuka kutumia uhuru wako vizuri usitukane wala kusingizia watu mambo ya uongo.

Rais Samia Suluhu hawezi kutokea kuanza kujibizana nawewe na kukudhihaki kama ambavyo wewe unafanya sababu mama amejaliwa hekima na ana malezi ya pande mbili lakini wewe mjalaani uliyokosa malezi unayaweza yote hayo sababu ndio upo hivyo.

Kuwa makini na unachoongea na kama hakuna cha kusema kaa kimya sio lazima uongee, yakikukuta yakukuta uje uanze kusema unaonewa kumbe ni mdomo wako mchafu.

Unaruhusiwa kukosoa kwa hoja lakini si kwa matusi au kutoa maneno na taarifa za uongo.

LISSU OMBA MSAMAHA KWA MANENO YAKO MACHAU, KAMA MMEISHIWA HOJA ZA KUONGEA KAENI KIMYA.
View attachment 2702039
Lissu Hana shukran kabisa, bora jiwe angemuua
 
lissu shikilia hapohapo piga hawa nguruwe na mamayao mpaka watepete maana saiv wamelowa.
F0rn92CWIAUhN21.jpeg
 
Muarabu asahau kuitawala Tanganyika.
Kama mnampenda sana mpeni Bandari za Zanzibar azitawale milele.

Sisi hatumpingi Mwarabu kama mtu, tunapinga huo mkataba kuwa ulilenga kuitawala Tanganyika nà sio kushusha Makontena.

Kama huo Mkataba utarekebishwa basi Mwarabu aje tu.
Aje hata leo. Ila sio kwa huo mkataba.

Kwanza mtushukuru tumewaokoa sana na hila za Mwarabu.

Mgeishia kuwa Vijakazi na Watumwa tena.
Mbaf Zenu.

Nyie bila sisi mngesha chinjana muda mrefu sana.
Ndio maana tupo.
Kwa ajiri yenu.

Huyo FaizaFoxy, angeishia kufunikwa na magunia meusi gubigubi na kufichwa chumbani. Hiyo simu anayo andika andika pumba asinge ruhusiwa kuitumia

Huyo Kiongozi angeishia kupika tende tu akiwa uani.
Basi tutampa myahudi
 
Mithali sura ya 16 aya za 5 na 16 hadi 19.
Ukiona rais anaapishwa mbele ya wastaafu wakiwa mashahidi ujue anachokifanya kina baraka kwa Mungu.

Tusikimbilie kumtumia Mungu wakati msingi wa tunachodai una mizizi ya kifisadi, una mizizi ya kuinyima maslahi halali nchi yetu.
 
Back
Top Bottom