Tundu Lissu Umepotoka!

.[/quote] lussu kwa kimakunduchi ni mbwa koko na tundu ni dema ie kitu kilichotoboka , kisicho na maana
 
<br />
<br /> kwa u.s.e.n.g.e wako ngoja kura za maoni uone kuhusu wanaoutaka huo upumbavu wenu mnaouita muungano uone. Wabara 2mechoka kubeba mijitu isiyo kuwa na fadhi5a
 
Naona hueleweki hata kiswahili cha kuandika tu kinakupa shida ndugu, hebu sema ww wazo lako nini kati ya alichokisema Tundu Lissu, maana kwako ww kwakuwa anapiga makelele bungeni ndiyo ana "reason" hata kama anaongea upuuzi tu!

Mwanzoni nilidhani aliepost hii taarfa anaelewa kile anachosimulia kumbe kuna vitu vimemkaba ndani ya roho alitafuta pa kutapikia...
kauli yako ya kusema Lissu anaropoka hvyo Bugeni imenipa majibu yote...
 
Hapa ndo tukubali kuwa masaburi akukosea kabsa kutoa kauli ya watu wanathnk kwa kutumia mawowowo.... alichokosea yeye ni muktadha alipoitolea hiyo kauli......
 

Siyo muungano bana, Tanganyika si unajua ipo? zamani kulikuwepo bara na visiwani, sasahivi kuna Zanzibar nchi na yenye katiba yake, Tundu hajakosea sana ingawaje Mheshimiwa ameitusi kauli yake, na labda amekuwa mwoga kidogo kwani angekuwa wazi kusema kwanza huu muungano ujadiliwe ili tuone kama tunauhitaji na km tunauhitaji, ni muungano upi na siyo muunganiko! Ukiwaondoa wa-Zanzibar kwenye muungano wanabaki kina nani? Hebu nijibu hili swali na uzingatie kwamba hakuna tena bara na visiwani!
 
lussu kwa kimakunduchi ni mbwa koko na tundu ni dema ie kitu kilichotoboka , kisicho na maana[/QUOTE]
Ni Lissu na siyo Lussu, Makunduchi ndo madudu gani? Nendeni mkaijenge nchi yenu ya Zanzibar na mtumie akili siyo mananung'unika wakati mko huku Tanganyika mnakunywa bia na kuramba kitimoto halafu kwenu kule mnachoma moto bar!
 


Mkuu, walau sisi shirikisho tuna mamlaka ya kuteua Mkuu wa Zanzibar, kama ilivyo wakuu wa mikoa mbalimbali, sasa weye hiyo nchi yako uliyoiacha na kuja kuishi huku Tanganyika unaisaidiaje, nchi isiyo na jeshi, isiyo na mamlaka ya kodi, nchi isiyoweza kuchagua viongozi wake, hebu sema kama ni uwongo kuwa Dr Bilal mlitaka awe raisi wenu na pia Vuai Nahodha, na Salmini, na useme kama siyo kweli kwamba Dr Shein hata kujiandikisha kupiga kura amejiandikisha DSM meaning kwamba hata Yeye mwenyewe hakutarajia kupata hiyo nafasi, so mnayo katiba yenu isiyo na chochote, hamuwezi ku-exist bila muungano and i tell you siku Tanganyika itakapo watosa mtapigana mapanga na kutoa mhanga mpaka mmalizane, then tutakuja kusafisha hivyo visiwa na kufanya Tourist sites. Mnashindwa kufanya chochote na resources mnazo kazi kuomba omba tu muungano urekebishwe na nini, kwa nini katiba yenu isiwasaidie na chama chenu hicho kimoja muendeleze nchi yenu?
 


Ni kweli wewe una muono wa upenda mmoja .I though maandiko yote uliyo andika hapa yana point kumbe nikama wale wanaona amkia na matumbo yao kwenye supu ya utumbo.Pole sana kwa upupu huu rudia tena kumsikiliza Lissu uache kukurupuka .
 
<br />
<br /> kwa u.s.e.n.g.e wako ngoja kura za maoni uone kuhusu wanaoutaka huo upumbavu wenu mnaouita muungano uone. Wabara 2mechoka kubeba mijitu isiyo kuwa na fadhi5a

Zowea jukwaa kwanza, ndiyo kwanza post 22 unatafuta "ban"!!!
 
Ni kweli wewe una muono wa upenda mmoja .I though maandiko yote uliyo andika hapa yana point kumbe nikama wale wanaona amkia na matumbo yao kwenye supu ya utumbo.Pole sana kwa upupu huu rudia tena kumsikiliza Lissu uache kukurupuka .

Lunyungu! Lunyungu! Lunyungu!! I thought you were dead!!!??
 

NAKUBALIANA NA HOJA HII.NI BORA MUUNGANO UVUNJWE!!!!!!-Wamedai kila kitu wamepewa,Bendera,wimbo wa taifa na mengine mengi ambayo kwa dhihaka kubwa wametamka kuwa hawarudi nyuma mf.MAFUTA.

"Kuunda serikali ya Tanganyika halafu iwepo serikali ya Muungano itakayokuwa inaelea katikati...!!!Ni bora tukubaliane kwa amani tugawane ili tumalizane kwa amani(vunja muungano)-Samwel Sitta.
 
Mtu anajipotosha mwenyewe kwenye hoja alafu anakuja hapa JF kuomba msaada.
MASABURI.
 
kama alivosema tundu lissu,ni heri wangewashirikisha wananchi,ili wafanye maamuzi,yenye kukubalika pande zote,kupunguza mvutano
 
&lt;br /&gt;
&lt;br /&gt;
Tatizo Wazenji hawataki m2 wa Bara awasemee, hata kama huyo m2 yupo right kiasi gani! Wanakuwa na ka-element fulani ka udini, na huku bara -wanavyoamini- wengi ni makafir! Au GREAT THINKERS wengi wa huku ni makafir. Hawataki mwongozo utoke kwa makafir hata kidogo, ndo dini ye2 inavyo2ongoza, au 2nafikiri ndivyo inavyo2ongoza! lnafika wakti wazenj wengi wanaona bora hata kuongozwa tokea Oman kuliko tokea huku bara ( land of Qafirs) ambako possibility ya kuwa na Prezidaa Kafir ni kubwa. Sometimes, sorry, MOSTLY, udini unadumaza sana maendeleo na FIKRA +ve. 2naogopa tu kusema sana.l
 

This is Breivik's thinkings!!! this is fascism of it is kind!!! this is totally broad light lies!!! this is your only share-it-with-yourself ideas!!!!
 
Tuache masihara kwenye masuala nyeti kama Muungano. Ukianza ubaguzi mwisho utajibagua mwenyewe.
 
mbona kwenye katiba yao siye hatukuhushishwa iweje wao waje na kutaka kusikia tuna mpamga gani,katiba yenu mnayo!
 


mbona mtoa mada ameeleweka kabisa!

HAKUNA TANZANIA BILA ZANZIBAR!.... MABADILIKO YOYOTE YA KATIBA YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AUTOMATICALLY YATAHUSU ZANZBAR PIA!

BUT IPO ZANZIBAR AS ZANZIBAR!

TUNACHOTAKIWA TUTAFUTE SERIKALI YETU YA TANGANYIKA!!! IMEPOTELEA WAPI..???!
 
kinacho nishangaza mimi huyu Lissu aongozi kwa mfano. Yeye anadai kila kitu watanzania waamue, anakuja na mapendekezo ya ajabu ajabu watanzania waamue. Yeye utazani si mtanzania, si aseme tu na yeye kama mtanzania anataka muungano gani na si kuja na kujifanya eti watanzania wachague kutokana na mapendekezo yake uchwara.

Huyu jamaa at times anakuwa na ka unafiki furani in the name of tanzanians as if yeye mwenyewe si mmoja na kutaka kukimbia kauli zake hiwapo zita backfire. Ni dalili za uwoga na kutojiamini kwa anachosimamia inakuwa kama vile anapima upepo kwanza halafu ndio ajitokeze.

Aweke maneno ubaoni huyu Lissu yeye anataka nini in plain swahili na si longolongo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…