johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,371
- 142,612
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu amesema Tanzania ni nchi ya shida kila mahali.
Lissu amesema "Ukiwa CHADEMA ni shida, ukiwa CCM ni shida hata ukiwa Askari polisi ni shida. Askari polisi hela zao za uniforms na kufa na kuzikana SACCOS zimeliwa," amesisitiza Lisu
Lissu alikuwa akihutubia mkutano mkoani Kigoma.
Mlale Unono!