Mwaikibaki
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,975
- 3,624
Kama hata kusaini anakosea wapi aweke signature, kitu cha seconds unadhani atakua ameusoma mkataba akaelewa???
Mkuu acha kuwashushia heshma waheshimiwa wetu. Hakuna bunge lenye wabunge wazalendo kama lakwetu. Si umeona namna mhe. Mdee alivyopambana kwa hoja za kisheria na spika Tulia Ackson Mwansasu? Bunge liko vizuri ndo maana limeridhia kitu chenye maslahi na taifa mkuu.Wabunge wetu hawa hawa. ndo wawe na weledi wa kusoma na kuichambua mikataba? Musiwaonee jamani wapo pale kwaajili ya kusema ndioooo . Wanailinda serikali yao. Kikubwa posho zao na maslahi yea yapo.
Bunge limemaliza kila kitu haya mengine ni maongezi ya kwenye kanga. Hayana tena mantiki.Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hahahaha. Kweli umenena yakufaayo kuitwa mkuu. Hayo yooote yanakufaa sana. Lkn bunge limefanya jambo saaafi kabisa tusubiri maendeleo ya chap chap.Wewe ebu jiambie mwenyewe, "mimi ni kichaa mwehu kwa sababu sina akili na wala sijitambui. Namwona Musukuma aliyeongoza jopo la kusaliti nchi, ni kati ya wasomi wakubwa wa nchi hii".
Sema, "nimelaaniwa mimi kwa unafiki wangu na uzao wangu mpaka kizazi cha nne".
Hana lolote huyo. Mlopokaji tu.Amedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Subiri watetezi wa serikali uchwara waje kumsutaAmedai kwamba kwa uzoefu wake wa mambo ya Sheria na Mikataba ya Nchi na Nchi hajawahi kuona mkataba wa ovyo na usiofaa kwa lolote kama huu uliopitishwa bungeni kwa kishindo.
View attachment 2653077
Hata hivyo amesema bado ni mapema kujua hatua za kuchukua ili kulishughulikia jambo hilo lenye makandokando mengi.
Toa maoni yako.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ulikuwa hujui?Nimeamini kumbe kiswahili kigumu hivi
Sawa. Kumbuka kutanguliza mguu wa kushoto na kusoma dua.Ngoja niingie msalani kwanza
Sawa. Kumbuka kutanguliza mguu wa kushoto na kusoma dua.
si afadhali chato ( Tanzania ) kulilo DUBAI au??/Kwani uongo yule shetani alitaka kuhamishia rasilimali zote za nchi Chato!
Jadili hoja acha kutukumbusha mambo ya shetani!
Oky muda wa mkataba ni Miaka mingapi au miezi mingapi ?Nani amemwelewa profesa hapa anifafanulie. Huu mkataba ni wa miaka mingapi? 😳😳😳😳
View attachment 2653075
Oky muda wa mkataba ni Miaka mingapi au miezi mingapi ?
Ukweli uongelewe wapi ??Amedai akiwa wapi?