Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 1,000
Sasa si anakula raha mustarehe na rob amster kwani ana shida gani?Ulipigwa Risasi, Ukanyimwa pesa za matibabu, ulinyimwa mshahara, Ukanyimwa ubunge wako, Ulinyimwa uhuru wa kuishi nchini mwako,Ukanyimwa na mafao yako.
Nina hakika atakufa kifo kibaya na cha aibu sana mtu huyu. Muda utaongea.Kwa hakika Spika Ndungai ameshiriki ubaya huu
Binafsi namuombea huyo subwoofer afe akiteseka ili ajutie ujinga wake...Lissu amesamehe.
..ametamka mara nyingi kwamba hamuombei mtu yeyote apitie mateso aliyoyapitia.
Si tulishakubaliana ni mitano ya nyongeza sasa nini kimebadilika?Amsamehe nani,kwani nanikamkosea huyo jamaa yenuuu
Ww ndie unaepanga vifo!!!!!!?Nina hakika atakufa kifo kibaya na cha aibu sana mtu huyu. Muda utaongea.
Hajasamehe aisee..Lissu amesamehe.
..ametamka mara nyingi kwamba hamuombei mtu yeyote apitie mateso aliyoyapitia.
Arejee amalize kesi zake.Kwa hiyo? Arejee nchini?
Yamebakia maigizo na KIKI zenu hapo ufipaniiSi tulishakubaliana ni mitano ya nyongeza sasa nini kimebadika?
Sasa si anakula raha mustarehe na rob amster kwani ana shida gani?
Arejee amalize kesi zake.
Amina, Ila Watanzania na dunia haitosau unyama huu.Mhe Lissu tunajua kabisa kuwa waliokuumiza wako ndani ya Ardhi ya Tanzania hata kama hawapo hai.
Samehe ilimradi wewe ni mzima na Mungu anakulinda kwa gharama zake yeye.
Ulipigwa Risasi, Ukanyimwa pesa za matibabu, ulinyimwa mshahara, Ukanyimwa ubunge wako, Ulinyimwa uhuru wa kuishi nchini mwako,Ukanyimwa na mafao yako.
Kwa hakika Spika Ndugai ameshiriki ubaya huu na ninamtaja moja kwa moja kwa sababu alishiriki kukunyima stahiki zako. Mungu atamwadhibu kwa fimbo yake, wengine wasiojulikana Mungu atabeba roho zao moja baada ya mwingine na kwa ghadhabu kali.
Wewe samehe yote yaliyokukuta. Dua zetu zote bado ziko kwako Mungu anakulinda kwa mapenzi makubwa.
Mkuu, Lissu atakuwa kashasamehe yote, ila ambacho kila binadamu huwa analilia ni Justice.. akiwa bado hai anataka ajue ni kina nani wale waliojiunga na kuamua kumfanyia kitu kama hicho, kwamba asiishi duniani kabisa, je kwa nini na kwa kosa lipi hasa?Mhe Lissu tunajua kabisa kuwa waliokuumiza wako ndani ya Ardhi ya Tanzania hata kama hawapo hai.