Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

Tundu Lissu: Richmond ni ya Rais Kikwete

inaonyesha tundu lisu hana maadili na si mkweli. ni mpotoshaji mkubwa, ndo maana dr. slaa alionyesha wasiwasi katika ugwiji wa sheria wa tundu lisu coz reasoning capacity yake iko low mnoooo hasa kwenye taaluma yake.
 
Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu akihutubia Leo Mkutano wa kumnadi Edward Lowassa mgombea Urais wa CHADEMA (UKAWA) amesema Richmond ni ya Kikwete.

Amesema sio ya mtu anayeongozana nae kwenye kampeni.

Magazeti Leo yalimkariri Rais Kikwete alipokuwa Kigoma na kusema Mhusika wa Richmond ni yule anayeongozana na Lissu kwenye Kampeni.

VIDEO INAKUJA.....

Na huo ndio ukweli...
 
Sijamsikia JK akisema hii habari.lakini huyu akitamka jambo usifanyie utani
 
mbona kila MTU anajua kuwa baba riz ndo Mastermind wa upotevu wa mabilioni tz, epa, escrow, Richmond
 
Kikwete ni sawa na yule aliyepewa jukumu la kuongoza vipofu akawapeleka motoni!

Mi simuelewi kabisa! Halifu tume ya uchaguzi inafanya kazi gani?

Hivi hili hawaoni kama ni kosa?
Ataongeaje leo! Sisi tukiongea oooh wananchi wale tukawauwe wamekiuka maadili! Hivi unafikiri tumemaliza kufuta machozi ya mauaji ya Arusha? Kwanini asisepe anaanza kututonesha vidonda!?

Alituahidi mengi kipindi cha kampeni zake! Nn kilitokea?

Kulikuwa na kasoro gani kama angesema nitajitahidi kwa jinsi nilivyo zoea kuongoza!

Aaaahhhhhh! Mi simpendi bhana huyo rais wenu

Sim yangu
 
Hawa makomredi kweli ni magenius ....hata Lissu anaingia mkenge .....wao hawataki kutajana kwa majina ....tuliodhani ndio magenius wetu ndio wamegeuzwa kasuku .....kesho mtawakuta ngurdoto wakigonga whiskey sijui mtalia na nani ....
 
Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu akihutubia Leo Mkutano wa kumnadi Edward Lowassa mgombea Urais wa CHADEMA (UKAWA) amesema Richmond ni ya Kikwete.

Amesema sio ya mtu anayeongozana nae kwenye kampeni.

Magazeti Leo yalimkariri Rais Kikwete alipokuwa Kigoma na kusema Mhusika wa Richmond ni yule anayeongozana na Lissu kwenye Kampeni.

VIDEO INAKUJA.....
Kwanini Lowassa mwenyewe asijibu, Lissu Kwanini usimshauribLowassa mwenyewe a toe ufafanuzi, bila hivyo nalo hilo
 
Hapo zamani za kale Kulikuwa kuna baba, mama, Ex wake mama na mtoto

Ex wake mama alikuwa anasema kabla ya Baba kuwa na mama yake alikuwa na mie na nilimgegeda mpaka akapata mimba hiyo mimba mtoto ni wewe so wewe ndio mtoto wangu

Baba naye akasema ahapana Hiyo mimba ni ya kwangu kwani wakati mama anakuja kwangu hakuwa na dalili zote za mimba ila nilimgegeda ndio akapata mimba


mtoto akawa halewi nani ni baba yake kati ya baba yaeo anayeishi na mama yake au Ex wake mama

ila mama ndio anajua nani baba wa mwenye mtoto na hataki kusema

Na mulale unono
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Huyu fisadi hachomoki mwaka huu ngoja mahakama ya mafisadi ianze.
jk kakwapua za escrow,malori ya rizwani,joka la makengeza,mama tibaijuka ,mwakyembe na mabehewa feki ,magufuli aliyeuza na kuhonga nyumba za serikali kwa ndugu na mahawara ,du mahakama itajaa ma ccm tupu
 
Jk mjanja sana anasubiri Lowasa amalize pesa kusafirisha watu kwenda kwenye mikutano halafu ndiyo ampeleke mahakamani ili asiwe na pesa ya kuhonga.

Kama kumtaja jina tu ameshindwa anabaki kupiga ramli na majungu ataweza kumpeleka mahakamani? Anawaridhisha wananchi msiiadhibu Fisiem.. Wapiga debe rais wenu anawaangusha anacheza ngoma ya lowasa
 
Hizi ndio siasa mavi... Hazina maslahi yeyote kwa taifa. Ni upuuzi tu. Na watu wazishabikia. Ujinga Ujinga Ujinga.
 
Jinga kabisa wewe! Ona akili zako zilivyo mgando kama huyo ''mjanja'' wako anayekaa na ''mwizi'' miaka minane, tena akimsifia kabla hajampeleka mahakamani

Akampa na uenyekiti w Kamati ya usalama ya Bunge!Maajabu ya pwani haya.
 
Back
Top Bottom