Tundu Lissu: Prof. Kabudi anajipendekeza na kujikomba kwa wanasiasa walioko madarakani miaka yake yote

Kabudi katengeneza ajira gani?
Huko kujikomba komba ili alinde kibarua chake?
Kabudi kawadanganya watanzania kuwa amepata wanunuzi wa korosho tani 100 leo hii kiko wapi?
Kabudi ilitakiwa awe amesha wachia ofisi za serikali kwa kitendo chake cha kuliongopea taifa.
 
Nape, Mwigulu, Januari nk, ndio maana akawatumbua hao wawili huku Januari akiwa katika wakati mgumu sana. Kabudi na Makonda wanajikomba mpaka wanatia kinyaa.
Aibu kwa wasomi na kabira lake
 

Inaonekana wanyaturu ukigusa jimbo (Tumbo) ni watu hatari sana?
Ndugai hata sahau valangati lako alipojisahau kwa siku kadhaa tu kuhudumia jimbo lako (Tumbo)
 
Ha ha ha ha, hii nchi wanasiasa sijui wanatuonaje eti. Lissu anatofauti gani na Kabudi kama kweli anachokisema kinamantiki. Kama hajipendekezi asimame amwambie Mbowe aache kiti cha uenyekiti maana moja ya principle ya misingi ya Democrasia ni uongozi wa vipindi na kuachiana madaraka.
Siyo Lissu huyu huyu aliyekula matapishi yake juu ya Lowassa, na hili tunajua hakulifanya kwa hiari kwani misimamo yake dhidi ya Lowassa ilikuwa inafahamika, alikubaliana na Mbowe ili asimuudhi na kitumbua kisiingie mchanga.
Huo ujasiri wa kumsema Prof. Anautoa wapi!?
 
Kweli kamanda!
Angeachia hatazile Bilioni 900 za Airtel na bilioni mojamoja kila mwezi tungemuomba Mbowe.
 
Mmeshaanza kumponda rais ajae, safari hii ni tofauti kidogo. Rais wa 2025 mmeambiwa mapema!
 
Hata wewe Lisu na uanasheria wako unajikomba kwa Wakoloni, Wasingida mlishajishushia hadhi siku nyingi maana nikitaka Bar maid nakwenda kuzoa Singida,nikifungua danguro nakwenda Singida kuchota wadada wa kufanya biashara hizo, Wanaume wa Singida ni wavivu kufanya kazi bali wanalelewa na wake zao, hata FLY TO KIA alikuwa anamwambia mdada wa Singid,kwa hiyo hakuna kipya Singida heshima ilishashuka siku nyingi
 

Ametengeneza ajira kisha yeye asujudie kuteuliwa!? Kwanini asingebaki kwenye hizo ajira alizotengeneza kuliko kusubiri kuitwa pumbavu at his age of 60+? Labda katengeneza ajira za kujipendekeza.
 
Fahamu na hili, NDIO RAIS AJAE! Hutaki hama nchi nenda Ufipaland.

He will be 70+ by then. Nani yuko tayari kuongoza na mtu anayehubiri historia ya Tanu na vita vya ukombozi kusini mwaka Afrika? Baado anadhani tuko kwenye dunia ya watu wasiojua lolote bali kutegemea propaganda za kijamaa?
 
Afanyeje kazi wakati mmempiga risasi
 
Ok well said.
Issue hapa ni kujipendekeza kupo au hakupo mkuu?????
 
 
Ivi kati ya Prof Mzalendo anayetajwa kujibembeleza kwa watawala na Msomi nguli wa Sheria lakini msaliti na kibaraka wa mabeberu ni yupi anatija kwa Taifa letu?

Akili ikishatawaliwa na fikra za watetea ushoga ujue tayari umeshakuwa shida.

Labda usaliti kwa tafsiri yako ni kujipendekeza kwa magu hapo ni sawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…