Tundu Lissu: Prof. Kabudi anajipendekeza na kujikomba kwa wanasiasa walioko madarakani miaka yake yote

  • Thread starter Missile of the Nation
  • Start date
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Messages
2,938
Points
2,000
M

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined May 24, 2018
2,938 2,000
*Inaandikwa na Mhe Tundu Lissu*

Katika kitabu chake 'Intellectuals at the Hill' (kilichapishwa miaka ya kati ya '90), Prof. Issa G. Shivji aliwahi kusema kuwa kuna tabia ya wasomi wetu kujipendekeza na kujikomba kwa watawala na kufanya mambo ya hovyo kuliko warasimu wa kawaida, hasa wanapopewa vyeo vya uteuzi na Rais.

Prof. Pala Kabudi ni mfano mzuri wa wasomi wa aina hii. Ni mtu ambaye amejipendekeza na kujikomba kwa wanasiasa walioko madarakani miaka yake yote ya kitaaluma.

Ukiachia msimamo wake akiwa kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ambao mimi binafsi niliushangaa sana, Prof. Kabudi hana historia yoyote ya msimamo huru katika masuala muhimu ya nchi.

Ana akili za kitaaluma nyingi sana, lakini ana tabia ya kujikomba na kujipendekeza inayotia kinyaa na kufuta sifa zote za usomi wake.

Alitumiwa sana na Serikali ya Jakaya Kikwete na ya Ben Mkapa kabla ya hapo kama consultant wa masuala mbali mbali ya kisheria. Kwa hiyo anahusika kwa kiasi fulani na uchafu wa Kikwete na Mkapa ambao yeye na Magufuli wanajifanya kuukataa sasa.

Alikuwa mwandishi habari wa Uhuru/Mzalendo wakati wa Vita ya Kagera na, aliwahi kutuambia akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya LEAT, alitunukiwa zawadi na Mwalimu Nyerere kwa uandishi wa makala za propaganda zilizokuwa zinahusu Vita hiyo.

Prof. Kabudi amekuwa Chuo Kikuu cha Dar, kama mwanafunzi na kama mwalimu, tangu mwaka '80 hadi alipostaafu mwaka '16. Amekaa Ujerumani na kusomea Frei Universiteit Berlin, mojawapo ya vyuo vikuu maarufu kabisa barani Ulaya na duniani, kwa miaka 9.

Amekuwa Mkuu wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar, na mjumbe wa Tume ya Katiba aliyeteuliwa na Rais Kikwete.

Huyu mtoto wa Mchungaji wa Kanisa la Anglican, sio mtu aliyezaliwa kwenye vumbi na kuishi kwenye ufukara. Hakutolewa jalalani kokote na Rais Magufuli. Amekuwa na bado ni sehemu ya top elite ya Tanzania.

Alichokisema mbele ya Rais Magufuli sio cha kweli hata kidogo, lakini ni ishara kamili ya hulka yake ya kujidhalili na kujikomba ili aendelee kutumikia Jimbo lake kuu la uchaguzi: tumbo lake.

Pamoja na kuwa ni Mgogo, Prof. Pala Kabudi ni Msingida mwenzetu. Bibi yake ni Mnyaturu wa kwetu. Baba na Mama yake ni wazaliwa wa Kilimatinde, na yeye mwenyewe amesomea shule ya msingi mojawapo ya Singida mjini.

Kujikomba na kujidhalili mbele ya Rais Magufuli kumechafua sifa na hadhi ya wasomi wetu kwa ujumla. Kwa sisi Wasingida wenzake, ametushushia heshima yetu sana. Tuna kila sababu na haki ya kumzodoa na kumkanya kwa upumbavu wake huu.
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
13,860
Points
2,000
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
13,860 2,000
Kuwa fuatilia wanasiasa ni kazi sana.

Lisu na Kabudi wote ni wale wale, kama ni mbwa wote ni mbwa sema tofauti yao mmoja yupo kwenye nyumba mwingine anaishi na kuokoteza jalalani.
kama anavookoteza mumeo kwenye majalala akaliokota kalamagamba
 
K

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Messages
440
Points
500
K

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2019
440 500
Wakati wa tume ya katiba, Mhe.Prof. Kabudi alipokuwa mjumbe wa tume ya katiba aliwahi kusema’ hata ugomvi wa mipaka kati ya Malawi na Tanzania haupo kwenye mikataba kwa sababu hakuna nchi inayomiliki mipaka, mipaka inamilikiwa na jumuiya za kimataifa. Ugomvi wetu upo kwenye tafsiri ya mikataba’. Hapo tunakuja kuona tatizo linalotokea pale watu wanaposhindwa kupata tafsiri sahihi ya kilichosemwa au kuandikwa na kuishia kutoa tafsiri zao ambazo zimejaa upotoshaji.

Kuna kauli Prof. Kabudi kaisema ambayo imekosa tafsiri sahihi kwa wapinzani na kuamua kuipotosha. Sidhani na siamini Prof. Kabudi ambaye kakaa UDSM kutoka miaka ya 1980 mpaka 2016 akakosa shukrani ya kusema UDSM ni jalala. Kauli hii imetafsiriwa ndivyo sivyo na kama ilivyo kasumba ya wapinzani wanaipotosha kwa malengo ya kisiasa. Moja ya waliokumbwa na Kasumba hiyo ni Tundu Lissu( kazoeleka kufanya hivyo) ila hapa ipo wazi kabisa hiyo kasumba. Tundu Lissu mtake radhi Prof. kwa kushindwa kupata na kujua tafsiri sahihi ikizingatiwa wewe ni mwanasheria na kazi yako inatokana na tafsiri ya maneno.

Katika andiko lako umesema kuwa Prof. Kabudi ana tabia ya kujipendekeza kwa watawala na hapohapo anakiri kwamba Prof. ana uwezo mkubwa sana wa kitaaluma akili, hili inatia shaka umjuavyo Prof. Kabudi. Tabia za mtu asiye na uwezo mzuri wa akili na kitaaluma ni kujipendekeza ila kwa sababu Prof. Kabudi ana akili nyingi watawala wameona watumie akili yake kwa manufaa ya nchi. Huko kujipendekeza kunatoka wapi? Ni wapi alipotamani uongozi nje ya taaluma yake ya kufundisha? Miaka yote amekuwa mtumishi mwaminifu wa UDSM na hakutaka hata kazi nyingine? Hata baada ya kustaafu akatulia tu bila chochote, huko kujipendekeza kukoje? Kazi alizopewa afanye kama kupitia mikataba ya madini na mawasiliano amefanya vizuri, huko kujipendeza kumetoka wapi? Mtake radhi Prof. Kabudi kwa kauli yako ya kujipendekeza

Ninakushauri Mhe. Tundu, najua unamfahamu vizuri Prof. Kabudi na unajua sifa ya mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili kama Prof. Kabudi ni kupima kwa makini kila anachosema hadharani hivyo jaribu kuchukulia maneno ya Prof. Kbudi na kuyapa uzito unaostahili bila hivyo utapata shida. Ninatambua shida yako ni tafsiri na umeweka mtanzuko kwa mwanasheria kushindwa kuomba tafsiri na kuwa na tafsiri zake. Tunajua una hofu kubwa na kabudi ila mtake radhi gwiji huyo wa sheria kwa kushindwa kumtafiri vema
 
Laface77

Laface77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2008
Messages
1,726
Points
2,000
Laface77

Laface77

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2008
1,726 2,000

Mpe ushauri na yule ambaye hua anamuita mpumbavu huyo profesa wa jalalani!
 
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2016
Messages
18,609
Points
2,000
Behaviourist

Behaviourist

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2016
18,609 2,000
Walioshiba cake za nchi za wizi utawajua tu!
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
4,519
Points
2,000
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
4,519 2,000
Wakati wa tume ya katiba, Mhe.Prof. Kabudi alipokuwa mjumbe wa tume ya katiba aliwahi kusema’ hata ugomvi wa mipaka kati ya Malawi na Tanzania haupo kwenye mikataba kwa sababu hakuna nchi inayomiliki mipaka, mipaka inamilikiwa na jumuiya za kimataifa. Ugomvi wetu upo kwenye tafsiri ya mikataba’. Hapo tunakuja kuona tatizo linalotokea pale watu wanaposhindwa kupata tafsiri sahihi ya kilichosemwa au kuandikwa na kuishia kutoa tafsiri zao ambazo zimejaa upotoshaji.

Kuna kauli Prof. Kabudi kaisema ambayo imekosa tafsiri sahihi kwa wapinzani na kuamua kuipotosha. Sidhani na siamini Prof. Kabudi ambaye kakaa UDSM kutoka miaka ya 1980 mpaka 2016 akakosa shukrani ya kusema UDSM ni jalala. Kauli hii imetafsiriwa ndivyo sivyo na kama ilivyo kasumba ya wapinzani wanaipotosha kwa malengo ya kisiasa. Moja ya waliokumbwa na Kasumba hiyo ni Tundu Lissu( kazoeleka kufanya hivyo) ila hapa ipo wazi kabisa hiyo kasumba. Tundu Lissu mtake radhi Prof. kwa kushindwa kupata na kujua tafsiri sahihi ikizingatiwa wewe ni mwanasheria na kazi yako inatokana na tafsiri ya maneno.

Katika andiko lako umesema kuwa Prof. Kabudi ana tabia ya kujipendekeza kwa watawala na hapohapo anakiri kwamba Prof. ana uwezo mkubwa sana wa kitaaluma akili, hili inatia shaka umjuavyo Prof. Kabudi. Tabia za mtu asiye na uwezo mzuri wa akili na kitaaluma ni kujipendekeza ila kwa sababu Prof. Kabudi ana akili nyingi watawala wameona watumie akili yake kwa manufaa ya nchi. Huko kujipendekeza kunatoka wapi? Ni wapi alipotamani uongozi nje ya taaluma yake ya kufundisha? Miaka yote amekuwa mtumishi mwaminifu wa UDSM na hakutaka hata kazi nyingine? Hata baada ya kustaafu akatulia tu bila chochote, huko kujipendekeza kukoje? Kazi alizopewa afanye kama kupitia mikataba ya madini na mawasiliano amefanya vizuri, huko kujipendeza kumetoka wapi? Mtake radhi Prof. Kabudi kwa kauli yako ya kujipendekeza

Ninakushauri Mhe. Tundu, najua unamfahamu vizuri Prof. Kabudi na unajua sifa ya mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili kama Prof. Kabudi ni kupima kwa makini kila anachosema hadharani hivyo jaribu kuchukulia maneno ya Prof. Kbudi na kuyapa uzito unaostahili bila hivyo utapata shida. Ninatambua shida yako ni tafsiri na umeweka mtanzuko kwa mwanasheria kushindwa kuomba tafsiri na kuwa na tafsiri zake. Tunajua una hofu kubwa na kabudi ila mtake radhi gwiji huyo wa sheria kwa kushindwa kumtafiri vema
Ahsante sana Karlo. Hivi nyinyi watu mnajificha wapi kiasi cha kuwaachia panya road jamvi letu????
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
44,904
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
44,904 2,000
Paul Makonda a.k.a BASHITE ana akili sana kuliko Kabudi mzee wa jalalani.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
93,024
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
93,024 2,000
Wewe na yeye wote mmeokotwa jalalani. Hamjitambui hata chembe.

Wakati wa tume ya katiba, Mhe.Prof. Kabudi alipokuwa mjumbe wa tume ya katiba aliwahi kusema’ hata ugomvi wa mipaka kati ya Malawi na Tanzania haupo kwenye mikataba kwa sababu hakuna nchi inayomiliki mipaka, mipaka inamilikiwa na jumuiya za kimataifa. Ugomvi wetu upo kwenye tafsiri ya mikataba’. Hapo tunakuja kuona tatizo linalotokea pale watu wanaposhindwa kupata tafsiri sahihi ya kilichosemwa au kuandikwa na kuishia kutoa tafsiri zao ambazo zimejaa upotoshaji.

Kuna kauli Prof. Kabudi kaisema ambayo imekosa tafsiri sahihi kwa wapinzani na kuamua kuipotosha. Sidhani na siamini Prof. Kabudi ambaye kakaa UDSM kutoka miaka ya 1980 mpaka 2016 akakosa shukrani ya kusema UDSM ni jalala. Kauli hii imetafsiriwa ndivyo sivyo na kama ilivyo kasumba ya wapinzani wanaipotosha kwa malengo ya kisiasa. Moja ya waliokumbwa na Kasumba hiyo ni Tundu Lissu( kazoeleka kufanya hivyo) ila hapa ipo wazi kabisa hiyo kasumba. Tundu Lissu mtake radhi Prof. kwa kushindwa kupata na kujua tafsiri sahihi ikizingatiwa wewe ni mwanasheria na kazi yako inatokana na tafsiri ya maneno.

Katika andiko lako umesema kuwa Prof. Kabudi ana tabia ya kujipendekeza kwa watawala na hapohapo anakiri kwamba Prof. ana uwezo mkubwa sana wa kitaaluma akili, hili inatia shaka umjuavyo Prof. Kabudi. Tabia za mtu asiye na uwezo mzuri wa akili na kitaaluma ni kujipendekeza ila kwa sababu Prof. Kabudi ana akili nyingi watawala wameona watumie akili yake kwa manufaa ya nchi. Huko kujipendekeza kunatoka wapi? Ni wapi alipotamani uongozi nje ya taaluma yake ya kufundisha? Miaka yote amekuwa mtumishi mwaminifu wa UDSM na hakutaka hata kazi nyingine? Hata baada ya kustaafu akatulia tu bila chochote, huko kujipendekeza kukoje? Kazi alizopewa afanye kama kupitia mikataba ya madini na mawasiliano amefanya vizuri, huko kujipendeza kumetoka wapi? Mtake radhi Prof. Kabudi kwa kauli yako ya kujipendekeza

Ninakushauri Mhe. Tundu, najua unamfahamu vizuri Prof. Kabudi na unajua sifa ya mtu mwenye uwezo mkubwa wa akili kama Prof. Kabudi ni kupima kwa makini kila anachosema hadharani hivyo jaribu kuchukulia maneno ya Prof. Kbudi na kuyapa uzito unaostahili bila hivyo utapata shida. Ninatambua shida yako ni tafsiri na umeweka mtanzuko kwa mwanasheria kushindwa kuomba tafsiri na kuwa na tafsiri zake. Tunajua una hofu kubwa na kabudi ila mtake radhi gwiji huyo wa sheria kwa kushindwa kumtafiri vema
 
M

Mkwaruu

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2017
Messages
2,906
Points
2,000
M

Mkwaruu

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2017
2,906 2,000

Hivi Kabudi si alikuwa na uwezo wa kushirikiana na Waziri wa Viwanda aliyetumbuli juzi katika kutafuta Soko la Korosho au Kabudi alikuwa hajui kama kuna Korosho zinazotakiwa kutafutiwa Soko huko Nchi nje.

Kama ndio hivi bado sana kuondokana na umaskini
 
dindilichuma

dindilichuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Messages
638
Points
1,000
dindilichuma

dindilichuma

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2015
638 1,000
Wanasiasa huwa tafsiri zao ziko kwaminajili ya fursa na manufaa ya kiasiasa lakini kwa tunaowaelewa Wala Hatuna Shida na Kauli ya Kabudi
 
Nyangomboli

Nyangomboli

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Messages
2,882
Points
2,000
Nyangomboli

Nyangomboli

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2010
2,882 2,000
*Inaandikwa na Mhe Tundu Lissu*

Katika kitabu chake 'Intellectuals at the Hill' (kilichapishwa miaka ya kati ya '90), Prof. Issa G. Shivji aliwahi kusema kuwa kuna tabia ya wasomi wetu kujipendekeza na kujikomba kwa watawala na kufanya mambo ya hovyo kuliko warasimu wa kawaida, hasa wanapopewa vyeo vya uteuzi na Rais.

Prof. Pala Kabudi ni mfano mzuri wa wasomi wa aina hii. Ni mtu ambaye amejipendekeza na kujikomba kwa wanasiasa walioko madarakani miaka yake yote ya kitaaluma.

Ukiachia msimamo wake akiwa kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ambao mimi binafsi niliushangaa sana, Prof. Kabudi hana historia yoyote ya msimamo huru katika masuala muhimu ya nchi.

Ana akili za kitaaluma nyingi sana, lakini ana tabia ya kujikomba na kujipendekeza inayotia kinyaa na kufuta sifa zote za usomi wake.

Alitumiwa sana na Serikali ya Jakaya Kikwete na ya Ben Mkapa kabla ya hapo kama consultant wa masuala mbali mbali ya kisheria. Kwa hiyo anahusika kwa kiasi fulani na uchafu wa Kikwete na Mkapa ambao yeye na Magufuli wanajifanya kuukataa sasa.

Alikuwa mwandishi habari wa Uhuru/Mzalendo wakati wa Vita ya Kagera na, aliwahi kutuambia akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya LEAT, alitunukiwa zawadi na Mwalimu Nyerere kwa uandishi wa makala za propaganda zilizokuwa zinahusu Vita hiyo.

Prof. Kabudi amekuwa Chuo Kikuu cha Dar, kama mwanafunzi na kama mwalimu, tangu mwaka '80 hadi alipostaafu mwaka '16. Amekaa Ujerumani na kusomea Frei Universiteit Berlin, mojawapo ya vyuo vikuu maarufu kabisa barani Ulaya na duniani, kwa miaka 9.

Amekuwa Mkuu wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar, na mjumbe wa Tume ya Katiba aliyeteuliwa na Rais Kikwete.

Huyu mtoto wa Mchungaji wa Kanisa la Anglican, sio mtu aliyezaliwa kwenye vumbi na kuishi kwenye ufukara. Hakutolewa jalalani kokote na Rais Magufuli. Amekuwa na bado ni sehemu ya top elite ya Tanzania.

Alichokisema mbele ya Rais Magufuli sio cha kweli hata kidogo, lakini ni ishara kamili ya hulka yake ya kujidhalili na kujikomba ili aendelee kutumikia Jimbo lake kuu la uchaguzi: tumbo lake.

Pamoja na kuwa ni Mgogo, Prof. Pala Kabudi ni Msingida mwenzetu. Bibi yake ni Mnyaturu wa kwetu. Baba na Mama yake ni wazaliwa wa Kilimatinde, na yeye mwenyewe amesomea shule ya msingi mojawapo ya Singida mjini.

Kujikomba na kujidhalili mbele ya Rais Magufuli kumechafua sifa na hadhi ya wasomi wetu kwa ujumla. Kwa sisi Wasingida wenzake, ametushushia heshima yetu sana. Tuna kila sababu na haki ya kumzodoa na kumkanya kwa upumbavu wake huu.
Lissu is nobody in this country mkuu. Hana issue.
 
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Messages
5,091
Points
2,000
SK2016

SK2016

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2017
5,091 2,000
Yaani nimesikitika sana.
Prof. Tena umeshakula mema mengi ya nchi na kustaafu, halafu anajiita wa jalalani!
Paul Makonda a.k.a BASHITE ana akili sana kuliko Kabudi mzee wa jalalani.
 
Bams

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Messages
6,177
Points
2,000
Bams

Bams

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2010
6,177 2,000
Profess kabudi katengeneza ajira kwa watanzania nje wakati Yeye Tundu Lisu anazurura na bakuli kuwaomba walioajiriwa wamchangie pesa ya kula,pango,nguo na ada za kusomesha watoto!!! Anayeaibisha hapo? Ni Nani Ni Lisu.Tabia ya kuomba omba sio ya wanyaturu.Lisu ndie omba omba wa kwanza mnyaturu Mimi kumwona toka nizaliwe.Sijawahi kutana na omba omba wa kinyaturu zaidi ya Tundu Lisu
Kama usomi wenyewe ndiyo kama huu wa akina Kibudu, ni aheri hata kuwa mhunzi! Ni aibu kubwa sana. Huyi nadhani alikaa miaka mingi darasani, lakini alitoka bila kuelimika, amestaafu bila kuwa na elimu.
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,633
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,633 2,000
Kutetea jimbo lake la uchaguzi......( tumbo) ha ha ha
 
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
2,677
Points
2,000
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
2,677 2,000
Mie siku hizi najisikia mtu Poropesa tu naanza kumuwaza le profeseli lipumb kabla ya kingine!
 
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2017
Messages
2,677
Points
2,000
Mdomo bakuli

Mdomo bakuli

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2017
2,677 2,000
Afadhali amempaza USO yaani jitu linajipendekeza bila aibu kabisa limebakiza kidogo tu lianze kumsujudia ,mwenzio Jordan lugimbana alikuwa anamsujudia lakini alitimuliwa .
Daah mkuu umenikumbusha huyu jamaa Lugimbana hivi yuko wapi siku hizi maana alikuwa na mikwara Kama yote
 
Forum statistics

Threads 1,307,092
Members 502,332
Posts 31,601,348
Top