Ivi kati ya Prof Mzalendo anayetajwa kujibembeleza kwa watawala na Msomi nguli wa Sheria lakini msaliti na kibaraka wa mabeberu ni yupi anatija kwa Taifa letu?*Inaandikwa na Mhe Tundu Lissu*
Katika kitabu chake 'Intellectuals at the Hill' (kilichapishwa miaka ya kati ya '90), Prof. Issa G. Shivji aliwahi kusema kuwa kuna tabia ya wasomi wetu kujipendekeza na kujikomba kwa watawala na kufanya mambo ya hovyo kuliko warasimu wa kawaida, hasa wanapopewa vyeo vya uteuzi na Rais.
Prof. Pala Kabudi ni mfano mzuri wa wasomi wa aina hii. Ni mtu ambaye amejipendekeza na kujikomba kwa wanasiasa walioko madarakani miaka yake yote ya kitaaluma.
Ukiachia msimamo wake akiwa kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ambao mimi binafsi niliushangaa sana, Prof. Kabudi hana historia yoyote ya msimamo huru katika masuala muhimu ya nchi.
Ana akili za kitaaluma nyingi sana, lakini ana tabia ya kujikomba na kujipendekeza inayotia kinyaa na kufuta sifa zote za usomi wake.
Alitumiwa sana na Serikali ya Jakaya Kikwete na ya Ben Mkapa kabla ya hapo kama consultant wa masuala mbali mbali ya kisheria. Kwa hiyo anahusika kwa kiasi fulani na uchafu wa Kikwete na Mkapa ambao yeye na Magufuli wanajifanya kuukataa sasa.
Alikuwa mwandishi habari wa Uhuru/Mzalendo wakati wa Vita ya Kagera na, aliwahi kutuambia akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya LEAT, alitunukiwa zawadi na Mwalimu Nyerere kwa uandishi wa makala za propaganda zilizokuwa zinahusu Vita hiyo.
Prof. Kabudi amekuwa Chuo Kikuu cha Dar, kama mwanafunzi na kama mwalimu, tangu mwaka '80 hadi alipostaafu mwaka '16. Amekaa Ujerumani na kusomea Frei Universiteit Berlin, mojawapo ya vyuo vikuu maarufu kabisa barani Ulaya na duniani, kwa miaka 9.
Amekuwa Mkuu wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar, na mjumbe wa Tume ya Katiba aliyeteuliwa na Rais Kikwete.
Huyu mtoto wa Mchungaji wa Kanisa la Anglican, sio mtu aliyezaliwa kwenye vumbi na kuishi kwenye ufukara. Hakutolewa jalalani kokote na Rais Magufuli. Amekuwa na bado ni sehemu ya top elite ya Tanzania.
Alichokisema mbele ya Rais Magufuli sio cha kweli hata kidogo, lakini ni ishara kamili ya hulka yake ya kujidhalili na kujikomba ili aendelee kutumikia Jimbo lake kuu la uchaguzi: tumbo lake.
Pamoja na kuwa ni Mgogo, Prof. Pala Kabudi ni Msingida mwenzetu. Bibi yake ni Mnyaturu wa kwetu. Baba na Mama yake ni wazaliwa wa Kilimatinde, na yeye mwenyewe amesomea shule ya msingi mojawapo ya Singida mjini.
Kujikomba na kujidhalili mbele ya Rais Magufuli kumechafua sifa na hadhi ya wasomi wetu kwa ujumla. Kwa sisi Wasingida wenzake, ametushushia heshima yetu sana. Tuna kila sababu na haki ya kumzodoa na kumkanya kwa upumbavu wake huu.
Huyo wa jalalani tumeshamjua ila hatukujua kuwa TL ndio wa kwenye nyumbaKuwa fuatilia wanasiasa ni kazi sana.
Lisu na Kabudi wote ni wale wale, kama ni mbwa wote ni mbwa sema tofauti yao mmoja yupo kwenye nyumba mwingine anaishi na kuokoteza jalalani.
Profess kabudi katengeneza ajira kwa watanzania nje wakati Yeye Tundu Lisu anazurura na bakuli kuwaomba walioajiriwa wamchangie pesa ya pango,nguo na ada za kusomesha watoto!!! Anayeaibisha happy Ni Nani Ni Lisu.Tabia ya kuomba omba sio ya wanyaturu.Lisu ndie omba omba wa kwanza mnyaturu Mimi kumwona toka nizaliwe.Sijawahi kutana na omba omba wa kinyaturu zaidi ya Tundu Lisu
HujaelewaHuyo wa jalalani tumeshamjua ila hatukujua kuwa TL ndio wa kwenye nyumba
Duuu naona mh Lissu hakujua kuwa tayari hilo neno pumbavu kwa kabudi ni sifa?*Inaandikwa na Mhe Tundu Lissu*
Katika kitabu chake 'Intellectuals at the Hill' (kilichapishwa miaka ya kati ya '90), Prof. Issa G. Shivji aliwahi kusema kuwa kuna tabia ya wasomi wetu kujipendekeza na kujikomba kwa watawala na kufanya mambo ya hovyo kuliko warasimu wa kawaida, hasa wanapopewa vyeo vya uteuzi na Rais.
Prof. Pala Kabudi ni mfano mzuri wa wasomi wa aina hii. Ni mtu ambaye amejipendekeza na kujikomba kwa wanasiasa walioko madarakani miaka yake yote ya kitaaluma.
Ukiachia msimamo wake akiwa kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ambao mimi binafsi niliushangaa sana, Prof. Kabudi hana historia yoyote ya msimamo huru katika masuala muhimu ya nchi.
Ana akili za kitaaluma nyingi sana, lakini ana tabia ya kujikomba na kujipendekeza inayotia kinyaa na kufuta sifa zote za usomi wake.
Alitumiwa sana na Serikali ya Jakaya Kikwete na ya Ben Mkapa kabla ya hapo kama consultant wa masuala mbali mbali ya kisheria. Kwa hiyo anahusika kwa kiasi fulani na uchafu wa Kikwete na Mkapa ambao yeye na Magufuli wanajifanya kuukataa sasa.
Alikuwa mwandishi habari wa Uhuru/Mzalendo wakati wa Vita ya Kagera na, aliwahi kutuambia akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya LEAT, alitunukiwa zawadi na Mwalimu Nyerere kwa uandishi wa makala za propaganda zilizokuwa zinahusu Vita hiyo.
Prof. Kabudi amekuwa Chuo Kikuu cha Dar, kama mwanafunzi na kama mwalimu, tangu mwaka '80 hadi alipostaafu mwaka '16. Amekaa Ujerumani na kusomea Frei Universiteit Berlin, mojawapo ya vyuo vikuu maarufu kabisa barani Ulaya na duniani, kwa miaka 9.
Amekuwa Mkuu wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar, na mjumbe wa Tume ya Katiba aliyeteuliwa na Rais Kikwete.
Huyu mtoto wa Mchungaji wa Kanisa la Anglican, sio mtu aliyezaliwa kwenye vumbi na kuishi kwenye ufukara. Hakutolewa jalalani kokote na Rais Magufuli. Amekuwa na bado ni sehemu ya top elite ya Tanzania.
Alichokisema mbele ya Rais Magufuli sio cha kweli hata kidogo, lakini ni ishara kamili ya hulka yake ya kujidhalili na kujikomba ili aendelee kutumikia Jimbo lake kuu la uchaguzi: tumbo lake.
Pamoja na kuwa ni Mgogo, Prof. Pala Kabudi ni Msingida mwenzetu. Bibi yake ni Mnyaturu wa kwetu. Baba na Mama yake ni wazaliwa wa Kilimatinde, na yeye mwenyewe amesomea shule ya msingi mojawapo ya Singida mjini.
Kujikomba na kujidhalili mbele ya Rais Magufuli kumechafua sifa na hadhi ya wasomi wetu kwa ujumla. Kwa sisi Wasingida wenzake, ametushushia heshima yetu sana. Tuna kila sababu na haki ya kumzodoa na kumkanya kwa upumbavu wake huu.
Kawadhalilisha watoto wake na ndugu zake woteDuh, kumbe anavijinasaba vya kinyatuturu! What happen, mbona yiko rojo hivyo?!
Anyway, prof jalala amechafua hali ya hewa.
Anajipendekeza mpaka unayemsikiliza unaona aibuBwaaahaaa bwaaahaa, nimecheka ile mbaya, eti jimbo lake la uchaguzi eti tumbo lake. Nimesema na ninarudia tena hata kwa wale wanaomtetea Kubudi, jamaa anajipendekeza kupita kiasi mpaka rais mwenyewe anajua kwamba Kabudi anajipendekeza, ndio maana anafikia mahali anasema hadharani kuwa huwa anamtukana.
Alimaanisha labda DodomaBy the way, hilo jalala alilolizungumzia ni lipi...!? Uraiani huku mtaani, UDSM au huko Singida............!!? Maana huko Singida kuna vumbi la kufa mtu!!
Jamaa anajua kweli kupalilia na kulinda kibarua chake kisiote nyasiHahaha eti Jimbo lake kuu la uchaguzi ni Tumbo lake
Professor Kabugi, The Modern day UNCLE TOM
*Inaandikwa na Mhe Tundu Lissu*
Katika kitabu chake 'Intellectuals at the Hill' (kilichapishwa miaka ya kati ya '90), Prof. Issa G. Shivji aliwahi kusema kuwa kuna tabia ya wasomi wetu kujipendekeza na kujikomba kwa watawala na kufanya mambo ya hovyo kuliko warasimu wa kawaida, hasa wanapopewa vyeo vya uteuzi na Rais.
Prof. Pala Kabudi ni mfano mzuri wa wasomi wa aina hii. Ni mtu ambaye amejipendekeza na kujikomba kwa wanasiasa walioko madarakani miaka yake yote ya kitaaluma.
Ukiachia msimamo wake akiwa kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba, ambao mimi binafsi niliushangaa sana, Prof. Kabudi hana historia yoyote ya msimamo huru katika masuala muhimu ya nchi.
Ana akili za kitaaluma nyingi sana, lakini ana tabia ya kujikomba na kujipendekeza inayotia kinyaa na kufuta sifa zote za usomi wake.
Alitumiwa sana na Serikali ya Jakaya Kikwete na ya Ben Mkapa kabla ya hapo kama consultant wa masuala mbali mbali ya kisheria. Kwa hiyo anahusika kwa kiasi fulani na uchafu wa Kikwete na Mkapa ambao yeye na Magufuli wanajifanya kuukataa sasa.
Alikuwa mwandishi habari wa Uhuru/Mzalendo wakati wa Vita ya Kagera na, aliwahi kutuambia akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya LEAT, alitunukiwa zawadi na Mwalimu Nyerere kwa uandishi wa makala za propaganda zilizokuwa zinahusu Vita hiyo.
Prof. Kabudi amekuwa Chuo Kikuu cha Dar, kama mwanafunzi na kama mwalimu, tangu mwaka '80 hadi alipostaafu mwaka '16. Amekaa Ujerumani na kusomea Frei Universiteit Berlin, mojawapo ya vyuo vikuu maarufu kabisa barani Ulaya na duniani, kwa miaka 9.
Amekuwa Mkuu wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Dar, na mjumbe wa Tume ya Katiba aliyeteuliwa na Rais Kikwete.
Huyu mtoto wa Mchungaji wa Kanisa la Anglican, sio mtu aliyezaliwa kwenye vumbi na kuishi kwenye ufukara. Hakutolewa jalalani kokote na Rais Magufuli. Amekuwa na bado ni sehemu ya top elite ya Tanzania.
Alichokisema mbele ya Rais Magufuli sio cha kweli hata kidogo, lakini ni ishara kamili ya hulka yake ya kujidhalili na kujikomba ili aendelee kutumikia Jimbo lake kuu la uchaguzi: tumbo lake.
Pamoja na kuwa ni Mgogo, Prof. Pala Kabudi ni Msingida mwenzetu. Bibi yake ni Mnyaturu wa kwetu. Baba na Mama yake ni wazaliwa wa Kilimatinde, na yeye mwenyewe amesomea shule ya msingi mojawapo ya Singida mjini.
Kujikomba na kujidhalili mbele ya Rais Magufuli kumechafua sifa na hadhi ya wasomi wetu kwa ujumla. Kwa sisi Wasingida wenzake, ametushushia heshima yetu sana. Tuna kila sababu na haki ya kumzodoa na kumkanya kwa upumbavu wake huu.
Chezea tumbo weweProfessor anaibagaza taaluma yake!
Profess kabudi katengeneza ajira kwa watanzania nje wakati Yeye Tundu Lisu anazurura na bakuli kuwaomba walioajiriwa wamchangie pesa ya kula,pango,nguo na ada za kusomesha watoto!!! Anayeaibisha hapo? Ni Nani Ni Lisu.Tabia ya kuomba omba sio ya wanyaturu.Lisu ndie omba omba wa kwanza mnyaturu Mimi kumwona toka nizaliwe.Sijawahi kutana na omba omba wa kinyaturu zaidi ya Tundu Lisu
Hivi wewe unatumiaga akili kweli wewe?Kuwa fuatilia wanasiasa ni kazi sana.
Lisu na Kabudi wote ni wale wale, kama ni mbwa wote ni mbwa sema tofauti yao mmoja yupo kwenye nyumba mwingine anaishi na kuokoteza jalalani.
Mkubali kuaibishwa tuTuliopitia Jalalani ( Udsm) tuna comment wapi?
Mkuu Pohamba leo unamkataa poropesa wenu?Tafadhali ondoa neno la mwisho hilo ‘ wetu’
Hakuna aliye ingilia mawazo ya mtu na kama ni huyo Kabudi kajisema mwenyewe kuwa kaokotwa jalalaniNi nani msomi aliyeteuliwa na Rais Magufuli yuko tofauti na Professor Kabudi ? Je ! Dk. Kitila Mkumbo kutoka Singida kama Tundu Lissu ? TUSIINGILIE UHURU WA MAWAZO YA WATU KWA MISINGI YA UBAGUZI.
... sio zote ila PhD na professors Mkuu.Product za UDSM zinatia mashaka..
Tena akimtukana jamaa anafurahia kutukanwaBwaaahaaa bwaaahaa, nimecheka ile mbaya, eti jimbo lake la uchaguzi eti tumbo lake. Nimesema na ninarudia tena hata kwa wale wanaomtetea Kubudi, jamaa anajipendekeza kupita kiasi mpaka rais mwenyewe anajua kwamba Kabudi anajipendekeza, ndio maana anafikia mahali anasema hadharani kuwa huwa anamtukana.