Wewe mleta hii thread ni MNAFIKI tu. Wewe ni CCM ila umejifanya kubalance katikati.
Humpendi Lowassa ila umejifanya kujificha kwenye fasihi. Mungu bariki nimeisoma yote na kuielewa.
Upande wa Zanzibar umemalizia vizuri sana kuwa kama serikali na ZEC ni ya CCM na wameibiwa kura basi hawafai kuongoza nchi na hili nakubakiana na wewe. CCM wameonyesha udhaifu.
Inapokuja kwa NEC, hukusema lolote kuwa NEC yote wamechaguliwa na CCM. Umewashambulia Tundu Lissu, Mbowe n Lowassa kama walafi wa madaraka na kwa CCM umemtaja Nape pekee na goli la Mkono.
Umeshindwa kabisa kuweka nendo linaloliliwa na wengi kuwa iwepo NEC huru ambayo haijawekwa na Mwenyekiti au Mwanachama wa CCM au Serikali. Na hili lingelikuwa ranisi kama NEC wangelichaguliwa na Majaji na kutangazwa na Jaji Mkuu. Majaji hawa hata vyama wanatakiwa wasiwe navyo.
Hii kufanya uchaguzi chini ha NEC iliyochaguliwa na Mwenyekiti wa CCM na huku Mwenyekiti huyohuyo yaani Kikwete ni mgombea wa Urais, inakuwa ni kichekesho.
Labda msamiati NEC Huru mwanao bado mdogo sana kuufahamu. Au akisikia NEC anafikiri ni ile ya CCM.
Hilo toto litakuwa JINGA sana kuwajua akina Garincha na Machinga Eusebio et el ila haifahamu NEC ya Kikwete.