Tundu Lissu please, acha kumuibia Lowassa!

Tundu Lissu please, acha kumuibia Lowassa!

Ni ndefu ila Interesting.Hiyo ndiyo siasa.
Mwambie Captain Nyambo kuwa siasa sio dhehebu la dini.
 
Uko vizuri sana na hujaengemea upande wowote hongera sana
 
Kazi nzuri kwa kuleta ujumbe mzuri kwa kutumia sanaa ya burudani
 
Natamani Nyambari Nyangwine apite hapa afanye summary ya hii post kwani ni ndefu mno.
 
Uko vizuri sana mkuu.
Ila bahati mbaya wasio na akili aka MANYUMBU hawatakuelewa ila nashukuru kumbe wapo watanzania wenye uwezo wa kufikiri.

bahati yako nejaliwa matusi, lakini kichwani!
 
Hii inadhihilisha kuwa watanzania wengi hawana kazi za kufanya.

Kama una kazi usingepoteza muda kwa kuandika utumbo mrefu kiasi hicho

Wewe una tabia mbaya, amefikirisha, haja kariri lolote kutoka kwa yeyote. Anayo sanaa na uamdishi. Hongera sana mtoa mada.
 
Nimeipenda ni nzuri inafurahisha Na kufundisha zaidi inawaumbua wanasiasa wetu kwa umbumbu wao Na ukigeugeu wao.

Nimeirudia mbili kuisoma!
 
Hii inadhihilisha kuwa watanzania wengi hawana kazi za kufanya.

Kama una kazi usingepoteza muda kwa kuandika utumbo mrefu kiasi hicho
Na ukitaka kumwibia Mwafrika ficha mali kwenye maandishi, atakazana kutumia nguvu ya mwili wakati kitu kipo kwenye maandishi kinahitaji utulivu wa akili tu!
 
Hii inadhihilisha kuwa watanzania wengi hawana kazi za kufanya.

Kama una kazi usingepoteza muda kwa kuandika utumbo mrefu kiasi hicho

ungemjua luqman na ungeijua taaluma yake Usingeandika huu Ujinga hapa.. Kazi Anayoifanya Kubenea ndio anayoifanya huyu. Punguza Unyumbu kama Hujaelewa sema uambiwe
 
ungemjua luqman na ungeijua taaluma yake Usingeandika huu Ujinga hapa.. Kazi Anayoifanya Kubenea ndio anayoifanya huyu. Punguza Unyumbu kama Hujaelewa sema uambiwe

Kubenea ni kanjanja tu hana lolote!
 
daah huu uzi umesimama captain nyambo umechambua katika umakini na uhalisia wa hali ya juu kuhusu siasa zetu hapa nchini big up broo
 
Back
Top Bottom