Tundu Lissu pasua kichwa

Kiongozi hawi bora kwa kufuata katiba na sheria, hivyo zilikuwepo na vitakuwepo tu. Uongozi ni maono.
Uliwaza wakati unaandika hiki unachoandika? Unajua huyo unayemwita kiongozi amekuwa kiongozi kutokana na katiba ambayo unadhani si lazima kuifuta?
 
Unaumwa kichwa kapime malaria, typhoid au UTI
 
Lisu huyo !huyo nyuma ako πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Khebana cheki lijamaa lilivyoshituka lioga ilo liangarie.nikumbie kitu bro watu au raia wanataka fursa wataka pesa wanataka uhuru na hayo maendeleo unayosema sasa ukizuia moja au mawili kati hayo raia awawezi kukuerewa watakuona mnoko tu ataufanyaje binadamu atufanani bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…