Tundu Lissu: Nimemsikia Mwita Mwikabe Waitara na alichokisema juu ya jaribio la mauaji dhidi yangu la September 7 mwaka jana

Wewe usie kuwa bwege wale wa kibiti hawakuwa Watanzania? Au wao walistahili kuuwawa! Au kujeruhiwa.?
Kutokuwepo kwa Cctv camera kunaondoa ukweli wa madhira yaliyotokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kufa watanzania kila Siku wanakufa.uelewe na scenario ya jaribio la kumuua lissu. Mtu ameshambuliwa kwenye eneo lenye ulinzi wa kutosha na camera za CCTV, kwenye makazi ya naibu spika na mawaziri wa serikali.hilo halikushtui? Hivyo vichwa mnafugia nywele tu ubongo wa kuku
 
sooner or later ukweli utajulikana
Lissu ni mnyama lazima atakuja kumvua mtu mzima nguo hadharani
Ivi Lissu kwanini hajafikiria kwenda kufungua kesi kule ICC? naona ana alternative nyingi sana kumvuruga jiwe
Masiringi anajuta kufanya mjadala na Lissu
 
Wacha azurure weeee akichoka atatulia, we unadhani wazungu wanamuhitaji kichaa!! wao wana akili nzuri kuliko huyo Lissu wanamchora tu, misaada inakuja kama kawa na EU juzi tu wamemwaga mapesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafurahia misaada kabisa, unasahau kwamba wewe ni donor country. Sorry to say this, wewe ni jinga.
 
Muujiza ushatokea (16 bullets ), ole kwa wasiotaka kuamini.. Lissu is alive for a reason.
 
Wacha azurure weeee akichoka atatulia, we unadhani wazungu wanamuhitaji kichaa!! wao wana akili nzuri kuliko huyo Lissu wanamchora tu, misaada inakuja kama kawa na EU juzi tu wamemwaga mapesa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu kubwa ni jaribio la kuuawa!!
Au wewe huoni thamani ya maisha ya MTU kama Lisu?


Hivi katika hali ya kawaida ungekua ni wewe ndo umefanyiwa jaribio la kuuawa ungeiona hata siku ya leo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mdomo mchafu basi itakuwa wote, yeye na Mzee wa fenti fodi. Halafu yeye ameamua kujisemea, wewe pia unaweza kuamua kuwasemea hao wa Kibiti.
 
Aache uongo basi! Hizo hadithi anazopewa na wambea wake zinaweza kuwa na matokeo ambayo wala hakuwahi yatarajia kwa watoa taarifa wake.
Kama ni mdomo mchafu basi itakuwa wote, yeye na Mzee wa fenti fodi. Halafu yeye ameamua kujisemea, wewe pia unaweza kuamua kuwasemea hao wa Kibiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo basi likipinduka na kuua au kujeruhi watu dereva asilaumiwe? Acha hizo ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…