Tundu Lissu ni mshindi

Nchemba hajijui na hajielewi ; ni fundinwa kujikomba - kwanza kafurahia maana taliyomkuta nanyeye ni makubwa; kilichomuokoa na kwenda kupiga magoti kuomba msamaha!!
 
Leteni ushahidi badala ya hisia na umbea. Kwani Lissu ni malaika? Vinginevyo tunachoweza kufanya ni kuwapuuza.
Mshindi hatishiwi na jeshi
Mshindi hatishiwi na silaha
Mshindi hatishiwi na jela
Mshindi hatishiwi na maneno ya kipuuzi kama yako
Mshindi hatishiwi na matokeo ya kutetea haki
Nami haya nimeyashuhudia kwa macho yangu, Ole wangu nisipompa Mungu utukufu kwa yale niliyoyaona kwa macho yangu.
Mwisho
 
Not necessarily..
Mbona Farao na jeshi lake looote WALIANGAMIA pale bahari ya Sham kabla ya wana wa Israel kuwasili nchi ya ahadi, ya maziwa na asali?
Sio kila kitu lazima kiwe na reference
 
Hatumuitaji Lissu wala Lema, uko walikokimbilia ndiko wanakostahili kuishi.
 
Yaonekana ulioteshwa na shetani kuota
 
Kwani mtu kufa ndo inamaanisha umemshinda? vp na yeye sku yake kuaga itakua ushindi wa nan
 
Kama ilivyokuwa kwa wasaidizi wa Herode kutokufa nae, wasiojulikana bado wapo na hasira za kufiwa bila kupata malipo ya kukamilisha kazi. Always down payment ni ndogo kuliko final payment payable after completion of assignment!
Mungu ameishawainyesha utukufu wake
 
Ndiye mtu wa kwanza kupinga miswada mibovu ya madini
Labda uwe kijana wa bongo freva ndio huwezi elewa mambo haya
 
Yule pepo Beelzebub kishakufa.
Tuliposema kuwa asipotubia ile dhambi ya Kaini hadharani hakika atakufa mlidhani utani.
Hatuna Watanzania wenye roho chafu kiasi kile
 
Yule pepo Beelzebub kishakufa.
Tuliposema kuwa asipotubia ile dhambi ya Kaini hadharani hakika atakufa mlidhani utani.
Hatuna Watanzania wenye roho chafu kiasi kile
Umenena
 
Vitani inaeleweka Binadamu akiwa ametumwa na kupewa silaha na Mamlaka kwenda kuua watu (adui) na kila anapoua mmoja anafurahi sana maana asingemuua angeuawa yeye. Binadamu yuleyule aliyetumwa na Mamlaka akiona mmojawao ameuawa, atachukua maiti kuirudisha nyuma ili ikiwezekana irudi nyumbani ili ndugu zake wazike kwa heshima zote. Watanzania wanaheshimu sana maiti bila kujali ni ya nani wala amekufaje lakini hata ikiokotwa wakajaribu kutafuta ndugu zake wafuatilie kifo chake hatimaye azikwe kwa heshima ikishindikana taarifa inatolewa kwa walinda raia na mali zao. Inapotokea taarifa ikisha tolewa hakuna hatua yoyote inachukuliwa na wenye mamlaka ya kufanya hivyo, watu huchukia sana na kuwaweka wahusika katika kundi moja na mmoja wao nae akifa watu wengi hufurahia kuonyesha tu kuwa na wao hufa. Awamu hii tumeona watu wengi wakiuawa, maiti zikiokotwa ufukweni, wakipotea, wakiteswa na kutekwa bila Mamlaka husika toka juu hadi chini kuchukua hatua. Pythagoras na wengine wa CCM wanataka hawa wakifa, ndugu wa wahanga walie na kuomboleza!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…