Tundu Lissu ni mshindi

Wafalme wa kale walipofanya makosa basi walitubu tena hadharani..kuomba msamaha wa mwenyezi Mungu
.mfalme Daudi wa Islael ni mfano baada ya kumtanguliza Mume ili auawe apate kumwoa mke wake.

Risasi 24 mwilini zikuingie then ukapona ni unabiii wa waziwazi maana Mungu aliweka mkono wake pale!!

Sasa kama hutaki kutubu na kuacha maovu yote basi Mungu anakuondolea ulinzi wake na unaweza kushambuliwa mwili na hata nafsi yako kirahisi mno

Ni kweli katika vita hii Lissu ni mshindi tena kashinda kwa alama nyingi.
 
Herode amekufa Lissu anaweza kurudi nyumbani
Kama ilivyokuwa kwa wasaidizi wa Herode kutokufa nae, wasiojulikana bado wapo na hasira za kufiwa bila kupata malipo ya kukamilisha kazi. Always down payment ni ndogo kuliko final payment payable after completion of assignment!
 
Watanzania sijui tuko na akili gani.mwenzenu Yuko Beregiji anakula hata sio huku kila kukicha tumekalia kusifia MTU hata akusaidii kutafuta mkate wa familia .kila kukicha mala nafanya hivi mala hivi.tutafute mikate ya familia nae kule anatafuta mkate wa familia shauri yenu.
 
Nabii Musa alikimbia Kutoka Misri kwenda nchi ya Midian, kisa na mkasa alikimbia mkono wa Farao baada ya kumuua mmisri akiwa anamtetea muisrael mwenzake. Baadaye alirudi kuwakomboa waisrael.

Nani atampa kura sasa🙄🙄🙄🙄
 
Nanyinyi leteni ushahidi wa hao waliopanga mauaji yake. Yote anayoongea Lissu kwenye media za nje huyaoni wala huyaskii? Au unataka ushahidi gani?
Kwanza nikuindolewa walinzi eneo linalolindwa massa 24 wakati wakutakakutokea tukio lá mauwaji yake.

Kuondolewa kwa ushahidi (cctv) baada ya tukio zilizokuepo eneo lá tukio.

Policcm kukamata watu waliojitolea kumuombea baadaya tukio.

Kutokufanyika uchunguzi hadi leo na serikali kupinga wachunguzi kutoka nje. Kama haihusiki kwanini walikataa hutaki chadema iumbuke kama walipanga wao mauaji hayo?

Hayo ni baadhi tu.

Aliyoongea Lissu kwenye media za nje sijayaona hebu tuambie aliiichafua vipi nchi ya Tanzania alipokuwa kwenye media za nje.
 
Pamoja na yote ila hana athari kwa watanzania kuzidi wapinzani wenzie tu na ndio maana hata yeye alipoitisha maandamano hayakufanikiwa kama wenzake wengine,hivyo hakuna cha ajabu kwa Lissu. Matatizo yake tu ya akili ndio humfanya kusema hivyo na ndio wengine humsifia kuona ni msema ukweli. Alipomsema Baba wa taifa ilikuwa ni ishara ya wazi ya matatizo ya akili ya Lissu kwahiyo matatizo ya akili ndio huumpa ujasili Lissu kufanya ambayo wenzie hawawezi kufanya pamoja na kuwa ni wapinzani kama yeye.
 
Nabii Musa alikimbia Kutoka Misri kwenda nchi ya Midian, kisa na mkasa alikimbia mkono wa Farao baada ya kumuua mmisri akiwa anamtetea muisrael mwenzake. Baadaye alirudi kuwakomboa waisrael.
swadakta !
 
Kwanini mwandishi asingesubiri kwanza mpaka Lissu atakapokuja "kuikomboa" Tanzania ndio aje na hili bandiko lake ili liwe limekamilika zaidi?

Hiyo mifano yake yote aliyoitoa ya kwenye biblia naiona ni ya watu ambao walikamilisha kazi walizotumwa na Mungu, sasa Lissu yeye kazi yake aliyotumwa na huyo mungu wenu anaewatuma watu wake kufanya kazi nusu nusu ni ipi? kuwakomboa wakina nani? na walioko utumwani wapi?

Mfano, habari ya Daudi kumshinda Goliath, hawa walipigana physically, ila Daudi kwa uwezo aliopewa na Mungu akamshinda Goliath, then after, Daudi akawa mtawala, vipi Lissu yeye anatawala wakina nani?

Ni kipi kinachowafanya muamini Lissu ndie alietumwa na Mungu kuwakomboa watanzania tofauti na waliowahi kuwa wagombea wengine wa upinzani/Chadema? nawashangaa wengi badala ya kumtukuza Mungu aliemponya mnamtukuza yeye kama ndie alijiponya.
 
Kumbe wale waliofunga faili la upelelezi juu ya tukio la LISSU hawana uhusiano na serikali? Pumbazu kabisa weye, sasa kama mtu akisikia kifo cha mchepuko wa mkewe anafurahi sembuse mtu aliyetaka kukutoa uhai? halafu wewe ni Daudi Albert Bashite uliyeongoza mission impossible tunafahamu sana ulichofanya usidhani hatujui.
 
Mnatapatapa Mungu kawapiga za uso.
 
Nabii Mussa alikimbia Misri kwenda mbalije alishinda nn?
 
Ukweli upi tena unaoutaka juu ya shambulio la Lissu?
Aliyetoa amri ya kuwaondoa walinzi getini pale mchana ule, aliyewapa traffic- line-clear wauaji baada ya kutekeleza udhalimu huo ili watoke kwa urahisi eneo la tukio, aliyegoma tukio hilo kuchuguzwa, aliyegoma kumpa matibabu, aliyetoa amri kunyofolewa kwa camera zilizorecord tukio zima zifichwe; aliyemfukuza ubunge.....

Kwa hiyo aliyetaka kumuua Lissu yupo wazi wazi kabisa!!

Kajiondolea ulinzi wa Mungu sababu ya dhambi hizo za kuua ama kujaribio ya kuua, kupoka haki za kikatiba kwa baadhi ya makundi nchini - unapofanya hivyo unapokosa ulinzi wa Mungu existence yako hapa duniani inakuwa ndogo mno, adui anaweza kushambulia mwili ama nafsi yako kwa wepesi sana.

Hiki ndicho kikichotokea!!
 
Ambao hawamtaki LISSU waliobaki duniani ni ;
1. Bashite
2. Nchemba
3.Heri James (mzee wa sindano ya sumu)

Wanao mpenda LISSU na waliopo duniani ni pamoja na;
1. Her Excellence Samia Suluhu Hassan
2. Mh Jakaya Mrisho Kikwete
3. Ali Hassan Mwinyi

Nadhani umepata picha
 
Kwahiyo huyo mshindi wenu ni maslahi gani kapambania watu wake,mbona watumishi wa umma wanalia njaa hawajawahi kupandishwa mishaara miaka sita yote? Wafanya bihashara wanalia mitaji yao imekata?Yataje hayo maslahi ambayo yameabadilisha watanzania kuwa na maisha mazuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…