Tundu Lissu ni mshindi

Turudi kwenye mada, huyo jamaa kutetea ushoga ndio ushindi?!
Umeleta habar ya ushoga nami nimekuonyesha uliporuhusiwa hukooo mnakoabudia ili ujue ushoga sio ishu
 
Nanyinyi leteni ushahidi wa hao waliopanga mauaji yake. Yote anayoongea Lissu kwenye media za nje huyaoni wala huyaskii? Au unataka ushahidi gani?
 
Mara nyingi jiwe linalokataliwa hugeuka kuwa jiwe KUU LA PEMBENI
 
Rais yeyote akifa madarakani akiwa na kila kitu cha kumuweka hai mpaka hata akiwa mstaafu, asitafutwe mchawi kujua kilichosababisha kifo ni Mungu aliyemuweka pale amemuondoa duniani kwa madhambi yake aliyowatendea kondoo wa BWANA aliyehai. Rais au Mfalme aliyeteuliwa na Mungu na kupakwa Mafuta ili awaongoze watu wake kwa haki kama yeye alivyo Mungu wa Haki, akikiuka maagizo toka juu, hakuna uwezo wa Binadamu unaweza kumuokoa toka hasira ya Mungu. Kwa gharama za wanyonge aliokabithiwa na Mungu, Rais wetu mpendwa angeweza kupata Bingwa wa Afya toka popote duniani, Marekani, Uingereza alikowekewa Pacemaker, Japan hata Madagascar, madege yapo. Tegemeo la umri wa kuishi Tanzania ni zaidi ya miaka 60 lakini kwa Rais kufariki katika umri huo badala ya 100, Viongozi wajao wajiepushe kabisa na aina yake ya uongozi ili wapate baraka za Mungu. Ubabe na kiburi Mungu hapendi!
 
huyu naye sijui kaamkia na maharage ya wapi yaani kaja kujamba tu humu
 
SIKU baadhi ya watu humu watajua tabia za viongozi wanaoongoza nchi za kijamaa,na wanavyobadili tabia na fikra za wananchi kuwa zenye mitazamo ya chini,wengi watajuta.
Haya ni baadhi ya madhara
 
Lisu ni kibaraka! Sana Sana atakachokifanikisha huko ughaibuni ni kuwa Rais wa LGBT+!!!!!. Mabeberu wanamwandaa kwa hilo!!
 
Itachukua zaidi ya miaka 40 watanzania waje kuamini katika siasa za upinzani.
 
Mkuu Waberoya najutia ile kura niliyompa lisu, bora ningekaa nyumbani nifanye mambo mengine Daudi hakuwai kufurahia kifo cha sauli adui yake.
 
Ni Mshind wa kupambania ushoga mnao uita faragha za mtu Binafsi Yan uyo Tundulisu unao mfananisha nao Wana kulani sana
 
Tundu Lissu ni raiya aliyetengenezewa propaganda za kila aina lakini hajawezekana.

Kila anayeshindana na Lissu lazima aanguke, ata akipata ushindi huo ushindi haudumu.

Alimsema Baba wa taifa tukajua hilo litakuwa anguko lake la kisiasa lakini wapi.

Lissu husimama upande wa ukweli na kweli humweka huru
 
Watoto wa marehemu Jiwe hawalii Wala kuzimia huku nyinyi mataga mnalia na kuzimia huku mmeshikili a mifuko na juice mkononi
 
na wiwa kusema kuwa, Mungu wa mbinguni utukufu wake uwe pamoja nasi, andiko limekua kweli tupu kwa sababu Mungu wetu hakuficha madhaifu ya dhambi za manabii wake, hata wafalme aliandika. Tunaposoma madhaifu ya musa, daudi tunapata fundisho. Hata lisu madhaifu yake yaliandikwa na wengne na wengi tumejifunza. Lakini madhaifu ya aliyesabbisha hayakuorotheshwa je sisi hamtaki tujifunze. Ili tuikimbie dhambi isije ikatutafuna kama ilivyomtafna mpinzani wa lisu?
 
na wiwa kusema kuwa, Mungu wa mbinguni utukufu wake uwe pamoja nasi, andiko limekua kweli tupu kwa sababu Mungu wetu hakuficha madhaifu ya dhambi za manabii wake, hata wafalme aliandika. Tunaposoma madhaifu ya musa, daudi tunapata fundisho. Hata lisu madhaifu yake yaliandikwa na wengne na wengi tumejifunza. Lakini madhaifu ya aliyesabbisha hayakuorotheshwa je sisi hamtaki tujifunze. Ili tuikimbie dhambi isije ikatutafuna kama ilivyomtafna mpinzani wa lisu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…