Tundu Lissu ni mshindi

Mshindi Bora m Yule anayepambania maslahi ya nchi yake na Yuko tayari age Kwa sababu ya wengi,

Kwenye hao wawili, JPM ni mshindi

Ukimwona Lissu umuulize Kwa nini ni yeye tu alipigwa lisasi na si mwingine?? Au ndio wale waliokuwa vikwazo Kwa nchi??

Kwa nini kabla ya tukio kulikuwa na kuwatia hofu viongozi eti Kwa mradi Fulani mwaweza Fanya, Ila huu msifanye Kwa sababu mtashitakiwa na mara sjui Miga

Lakini hakuna cha Miga Wala nini, Je nikweli labda alikuwa miongoni mwa waliokuwa upande wa manyonyaji na mabeberu?? Mbona hatukushitakiwa na angalau nchi INA shere na mabeberu kwenye migodi!!

Kwa nini ni yeye tu?
 
Nabii Musa alikimbia Kutoka Misri kwenda nchi ya Midian, kisa na mkasa alikimbia mkono wa Farao baada ya kumuua mmisri akiwa anamtetea muisrael mwenzake. Baadaye alirudi kuwakomboa waisrael.
Yaani wewe so crazy yaan unamfananaisha huyo taka taka Tundu lisu na Nabii Mussa ame kweli umeishiwa point kama huwezi kucomment bora ukae kimyaa........ huyo shoga ndo unamwona wa maana.
 
Nabii Musa alikimbia Kutoka Misri kwenda nchi ya Midian, kisa na mkasa alikimbia mkono wa Farao baada ya kumuua mmisri akiwa anamtetea muisrael mwenzake. Baadaye alirudi kuwakomboa waisrael.
Huyo nabii wako mwambie basi aje ata kesho akuokoe wewe na familia yako......................
 
Nabii Musa alikimbia Kutoka Misri kwenda nchi ya Midian, kisa na mkasa alikimbia mkono wa Farao baada ya kumuua mmisri akiwa anamtetea muisrael mwenzake. Baadaye alirudi kuwakomboa waisrael.
Kwahiyo nabii Mussa kumbe na yeye aliwahi kurudi Misri na kushiriki uchaguzi akafeli. Balozi wa Ujerumani enzi hizo akamsindikiza juu ya mgongo wa punda na kufanikiwa kutoroka kuelekea Galilaya. Hii story inavutia sana
 
Lissu alipinga kuuzwa kwa Rufiji Delta kunakojengwa mradi wa JNHPP
Lissu alipinga Utawala usio heshimu katiba,sheria na utaratibu
Lissu alipinga Utawala usio fuata Demokrasia
Lissu alipinga udhalimu na zuluma dhidi ya wananchi wa Nyamongo.
Yote aya yalimfanya awe adui ya watendaji wa ayo maovu.
Hivi kwanini Serikali au Viongozi wa CCM walikataa kutoa taarifa kua mpendwa wetu anaumwa ili Taifa limuombee?
Tukumbuke hayati aliwai kulalamika kua aliwai kulishwa sumu wakati akiwa waziri lakini mpaka mauti yanamfika atukuwai kusikia kuna mtu amekamatwa.
 
Kifo ni dhambi. Mauti ni matokeo ya dhambi. Mungu huondoa haraka watu waovu hapa duniani.

Lissu rudi nyumbani waovu wanapukutika kwa mkono wa Mungu kupitia covid 19
Ila wewe jamaa akili za kinyumbu kwaiyo watoto wachanga wanao kufa ni waovu
 
Ameichafuaje?
Toa mifano miwili tu au hata mmoja?
 
Meko kaondoka zake. Kamaliza safari yake ya hapa Duniani. Hakuna anaemhukumu zaidi ya Muumba wa wa yote. Mataga mnahangaika kuchafua watu.

Kifo cha Meko kiwe ni funzo kwetu sote tulio hai. Nasema hivyo kwasababu sote ni mashahidi wa matendo ya wenye mamlaka dhidi ya Wakosoaji wao.

Hebu fikiria mamlaka aliokuwa nayo Meko ulinzi wote ule ubabe wote ule kiburi chote kile na dharau kwa asiowapenda lkn mauti yamemshinda. Tubadilike hatujui siku wala saa.
 

Nimeielewa sana hii paragraph.
 
Hebu tuondolee hii kitu Meko yenu imishakwenda usituletee habar za maiti tuongelee waliohai😎
Kwanini akuondolee, si useme yako na uache na uhuru wa wengine. Kwa wengine kama mimi, mada hapo juu ni kulazimisha attention tu ili kushindana na attention anayopewa marehemu. Huo ni mtazamo wangu. Na ni mtazamo wangu pia, kama mtu anatamani sana attention ya aliyelala mauti na yeye afe atapewa stahili yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…