Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 3,772
- 4,913
Takwimu ziko wazi kipindi Nyerere anapigania uhuru asilimia kubwa ya watanzania walikuwa wajinga
Kuwatetea kundi lenye watu wajinga wanaijiita machawa au mazuzu ni gharama kubwa sana.
Nyerere alifanya kazi ngumu sana kuongoza kundi la watu wajinga kuhusu uhuru
Aliutumia Kwa bidiii kipaji chake Cha ualimu na uongozi kuwatoa kuleta ukombozi wa fikra za watanzania
Watanzania wengi wako tayari kwenda uwanja wa taifa kushuhudia mechi ya simba na Yanga kabla ya kufuatilia mambo muhimu ya Taifa lao
Taifa la watu wenye upeo mkubwa hawawezi kuwa na vipaumbele vya ajabu ajabu
Ni zamu yako Lisu kama Nyerere kuwatetea watu wa taifa hili wenye vipaumbele vya aina yake
Lakini usikate tamaa hata kama asilimia 20 ndo wanakuelewa tutashirikiana kuwaambukiza wengine mpaka waelewe
Miaka 27 ya Nelson Mandela gerezani akashinda MAADUI zake Hadi Leo hawezi kusahuulika