johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,119
Tunaweka tu kumbukumbu sawa!Hahaaha, kaeni kwa kutulia
Sent Using Kitochi
shida yako huwezi kumaliza siku bila kumtaja lisu hasa kwa mambo mabaya na hii ni kwasababu ya roho mbaya kama ya mwenyekiti wako bwana magufuli. tofautisha kati ya kutangaza nia na kufanya kampeni rudi shule ukajifunze kampeni maana yake ninini poyoyo wewe? ati maendeleo hayana chama NDIO MAANA MKAPORA KOROSHO ZA WATU KISINGIZIO CHA KUHAKIKI MBONA SASA HAMHAKIKI MNAWAITA TU MAJINA?Mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Lisu alishatangaza nia yake ya kugombea urais wa JMT endapo chama chake cha Chadema kitampa ridhaa.
Lisu ambaye kwa sasa yuko Marekani akifanya mikutano ya kisiasa na wanachadema waishio huko akina Ngabu amekuwa akiishambulia sana serikali pamoja na chama tawala. Na wakati mwingine ukimsikiliza kwa makini ni "kama" tayari ameanza kampeni za uchaguzi.
Nimkumbushe tu mh Tundu Lisu pamoja na ukweli kwamba pale Ufipa hakuna mwingine maarufu wa kugombea urais zaidi yake kwa sasa, lakini ni muhimu akaheshimu sheria juu ya muda wa kuanza kampeni na kujipitishapitisha.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Kwa akili yako ya kijinga hata hujui maana ya kampeni.Mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Lisu alishatangaza nia yake ya kugombea urais wa JMT endapo chama chake cha Chadema kitampa ridhaa.
Lisu ambaye kwa sasa yuko Marekani akifanya mikutano ya kisiasa na wanachadema waishio huko akina Ngabu amekuwa akiishambulia sana serikali pamoja na chama tawala. Na wakati mwingine ukimsikiliza kwa makini ni "kama" tayari ameanza kampeni za uchaguzi.
Nimkumbushe tu mh Tundu Lisu pamoja na ukweli kwamba pale Ufipa hakuna mwingine maarufu wa kugombea urais zaidi yake kwa sasa, lakini ni muhimu akaheshimu sheria juu ya muda wa kuanza kampeni na kujipitishapitisha.
Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
Mbwiga bwashee nimesema ni " kama " uwe unaelewa!shida yako huwezi kumaliza siku bila kumtaja lisu hasa kwa mambo mabaya na hii ni kwasababu ya roho mbaya kama ya mwenyekiti wako bwana magufuli. tofautisha kati ya kutangaza nia na kufanya kampeni rudi shule ukajifunze kampeni maana yake ninini poyoyo wewe? ati maendeleo hayana chama NDIO MAANA MKAPORA KOROSHO ZA WATU KISINGIZIO CHA KUHAKIKI MBONA SASA HAMHAKIKI MNAWAITA TU MAJINA?
Bwashee Lisu mwenyewe ameshanielewa wewe endelea kufakamia kisusio hapo machame!
Tunaweka tu kumbukumbu sawa!
ndio amesharahisisha kazi.ni pingamizi tu