Tundu Lissu ni kama ameanza kampeni za urais kabla ya muda

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,302
2,000
Mbunge wa Singida mashariki mh Tundu Lisu alishatangaza nia yake ya kugombea urais wa JMT endapo chama chake cha Chadema kitampa ridhaa.

Lisu ambaye kwa sasa yuko Marekani akifanya mikutano ya kisiasa na wanachadema waishio huko akina Ngabu amekuwa akiishambulia sana serikali pamoja na chama tawala. Na wakati mwingine ukimsikiliza kwa makini ni "kama" tayari ameanza kampeni za uchaguzi.

Nimkumbushe tu mh Tundu Lisu pamoja na ukweli kwamba pale Ufipa hakuna mwingine maarufu wa kugombea urais zaidi yake kwa sasa, lakini ni muhimu akaheshimu sheria juu ya muda wa kuanza kampeni na kujipitishapitisha.

Niishie hapo
Maendeleo hayana vyama!
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
3,841

shida yako huwezi kumaliza siku bila kumtaja lisu hasa kwa mambo mabaya na hii ni kwasababu ya roho mbaya kama ya mwenyekiti wako bwana magufuli. tofautisha kati ya kutangaza nia na kufanya kampeni rudi shule ukajifunze kampeni maana yake ninini poyoyo wewe? ati maendeleo hayana chama NDIO MAANA MKAPORA KOROSHO ZA WATU KISINGIZIO CHA KUHAKIKI MBONA SASA HAMHAKIKI MNAWAITA TU MAJINA?
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
26,180

Kwa akili yako ya kijinga hata hujui maana ya kampeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
9,218
2,000
Kampeni huwa zinafanyika ndani ya mipaka ya Tanzania au nje? Mbona walisema huko anakozunguka anapoteza muda kwa sababu watanzania hawamsikii?
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,302
2,000
shida yako huwezi kumaliza siku bila kumtaja lisu hasa kwa mambo mabaya na hii ni kwasababu ya roho mbaya kama ya mwenyekiti wako bwana magufuli. tofautisha kati ya kutangaza nia na kufanya kampeni rudi shule ukajifunze kampeni maana yake ninini poyoyo wewe? ati maendeleo hayana chama NDIO MAANA MKAPORA KOROSHO ZA WATU KISINGIZIO CHA KUHAKIKI MBONA SASA HAMHAKIKI MNAWAITA TU MAJINA?
Mbwiga bwashee nimesema ni " kama " uwe unaelewa!

Maendeleo hayana vyama!
 
Mhadzabe

JF-Expert Member
May 20, 2009
2,921
2,000
Ni kweli. Maana naona Katibu Mkuu wa Chama anazunguka nchi nzima, Mwenezi wa chama vilevile na hata mwenyekiti wa chama nae kila siku yupo live kwenye vyombo vya habari!

Na chama chake ni kweli kabisa kimeanza kampeni. Kwani hata wafuasi wa chama chake ni ruhusa kufanya maandamano na mikutano ila wale wa upande wa pili hawatakiwi kabisa hata vikao vya kikatiba vya ndani vya chama chao huyu Tundu Lissu na chama chake wanawazuia!

Ifikie mahali huyu Tundu Lissu tumueleze aacha kufanya kampeni hata kabla ya uchaguzi!
 
Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
6,998
2,000
Yaani anawakaanga kweli hii kuongea tu na vyombo vya habari mnaumia ,huku Tanzania si mmewafunga midomo .Sasa akianza kampeni sijui utasemaje mataga ?
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
38,382
2,000
ndio amesharahisisha kazi.ni pingamizi tu

Namna pekee ya kumnusuru Magufuli ni udhaifu wa siasa za ushawishi ni kuhakikisha hapati mshindani. Sipati picha kwenye kampeni jiwe atakuwa anazungumza nini akiangalia nyomi kwenye kampeni za Lissu. Atakuwa anataja mandege, sijui reli kwa watu aliowakuta kuja kumsikiliza, lakini mtaa wa pili kutakuwa na nyomi la kufa mtu likiahidiwa bei nafuu ya vifaa vya ujenzi, kilimo nk. Ajira za kumwaga na demokrasia ya ukweli.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom