Tundu Lissu ndani ya BBC HARDtalk

jiandaeni kukaa giza mpaka afajiri[emoji12] [emoji196] [emoji196] [emoji90] [emoji379] [emoji61]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
kama nakuona hapo bikini[emoji160] inakutetemeka [emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji216] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji61]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
Haya mambo ni mazito kulinganisha na uwezo wa akili yako. Achana nayo vinginevyo utazidi kuthibitisha umbumbumbu wako kama ulivyofanya hapa. Am certain 110% hujui hata Hardtalk iliyoongelewa ni nini.
 
Mbona umechanganya madesa? Mbowe ameanza kuwa na hela wewe hujazaliwa? Mbona hujiulizi ana nyumba masaki, obey unashangaa ofisi, tena imejengwa Hai? Maskini wa kutupwa wewe. Hushangai nyumba ya Dr wa mihogo mbweni alipewa na Mbowe, hushangai ze propesa alisema akitingwa alikuwa anakimbilia kwa Mbowe, au hujamuuliza Zitto hadi nguo alikuwa ananunuliwa na Mbowe. Pole sana, mtaishia maisha duni kwa kushindana na karma. Hapa tunaongelea Mh TAL yupo in the house BBC London!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...

Akitoka hapo anaingia HARDTALK wewe kilaza!

Hardtalk sio pa ******* kabisa nyie kukuz!

Akipanda CNN,akaja kuibukia Alijazeera....

You clowns will dirt up your panths shitlessly!
 
Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.

Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!

Next, ...
Kwani kwenye hizo nchi ulizotaja akuna binadamu?

Ebu punguza ukubwa jinga kichwani mwako we k.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnajisumbua tu nyinyi wacheza singeli ya lissu mara membe uwiii pathetic dna walahi
Kilicho muhimu mh lissu yuhai tofauti na matakwa yenu

In God we Trust
 
Mwongo mkubwa wewe, angekuwa na pesa angepanga NHC ?
Hahahaha jamaa fukara hana hata pesa za kumlipa wakili wake ana tembeza bakuli!
Hahahaha chadrama ovyo kabisa walahi
 

..mwacheni Lissu aeleze yaliyomkuta.

..mwanasiasa yeyote aliyepata matatizo kama ya Mh.Lissu lazima atatafutwa na vyombo mbalimbali vya habari ili wamhoji.

..wanaostahili lawama ni MAGAIDI waliomshambulia, na siyo Mh.Lissu anayeeleza mateso aliyopitia.
 
Wasiompenda watazima TV zao maana Mungu kawaumbua mazima,mwenye record ya Lisu ya kitu chochote alichoanzisha huyu mh akashindwa atuwekee hapa kama kumbukumbu,nijuavyo Mimi kwa uelewa wangu hajawahi kushindwa hivyo hata wabaya wake wakatili kama mawe wameshindwa swali ni je nia yake ya kuwania kiti cha ukuu atashindwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…