MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Vipi wakulima wa Koroshow mmeshamaliza kuwalipa??Siteseki nawaonea imani mnavyohangaika kuuza bidhaa isiyouzika, I mean labda hiyo nguvu mngeiwekeza hapa nyumbani ingewaongezea hata idadi ya Wabunge/ Madiwani, huyo TundubKisu atafilisi tu lkn hatoleta jipya!
Umbumbumbu unakutesa, Hard talk ina global audience, sema Stephen Sucker hawezi kumuhoji mtu anayesema kingereza bomu eti "interprenyuta" mfyuu!
Imeingia hiyo......Subiri ukazaeNilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Unataka akupe uvue suruali ili uyakalie?!Magongo kayaficha wapi sasa?
niangalie nini sasa?Angalia sana Bwana wewe
Wafanye jitihada za kuongeza wabunge na madiwani wakati kila siku mnahangaika kuwaua na kuwafunga?Siteseki nawaonea imani mnavyohangaika kuuza bidhaa isiyouzika, I mean labda hiyo nguvu mngeiwekeza hapa nyumbani ingewaongezea hata idadi ya Wabunge/ Madiwani, huyo Tundu Lisu atafilisi tu lkn hatoleta jipya!
Wewe ndiyo zako ukiwa kwenye siku zako.Nilifikiri BBC- Muzungu kumbe BBC- house negroes? Hamna kitu hapo, targeted audience ni TZ, Kongo, Kenya na labda kidogo Burundi lkn wana yao BBC Kinyarwanda.
Hakuna Muzungu ataangalia huo ujinga!
Next, ...
Hakika mkuu, Mungu hadhiakiwi.Amekuwekea wewe maana sasa itakuwa zamu yako kuyashika hayo kwa maisha yako yote
In God we Trust
Wewe lofa hao ninaowajibu huwaoni?Hivi @Mods huyu mtu hamumuoni?
Halafu ukijibiwa unaanza kulia lia kwa Mods.Unataka akupe uvue suruali ili uyakalie?!
Mungu tunusuruWafanye jitihada za kuongeza wabunge na madiwani wakati kila siku mnahangaika kuwaua na kuwafunga?
Nchi ipo katika laana kwa sababu shetani na mawakala wake wanahangaika kutekeleza mapenzi ya shetani. Hakuna kiongozi mwenye roho ya Mungu anayeua watu wake, kuteka au kuwapoteza watu. Maombi yetu kwa Mungu yawe ni kuondokana na roho ya shetani kwa watawala wetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamuonea nani imani muuwaji wewe?!!Siteseki nawaonea imani
WANALIA HADI MAKANISANI NA KUHUDHURIA KILA SUNDAY WAKIOMBA TUWAOMBEEE,SHITKuna watu wanateseka huko,wakimuona lissu
#My God Iz Awesome [emoji123]