Tundu Lissu na kampuni za madini

Tundu Lissu na kampuni za madini

MNYOO JOGOO

Senior Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
195
Reaction score
94
Katika kipindi cha kuanzia 1999 hadi 2012 Wafanyakazi wa makampuni ya madini wamelipa kodi kuwa zaidi (PAYE) kuliko makampuni yenyewe ya Madini.Kwa hisani ya Tundu Lissu bungeni jana - Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi
 
Hata waheshimiwa ( rais, mawaziri,wabunge) nao hawalipi kodi. Wananchi wanalipa PAYE kuliko viongozi wao. Kwanini? Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi.
 
Katika kipindi cha kuanzia 1999 hadi 2012 Wafanyakazi wa makampuni ya madini wamelipa kodi (PAYE) kubwa zaidi kuliko makampuni yenyewe ya Madini.Kwa hisani ya Tundu Lissu bungeni jana - Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi

Jamani hii analysis tunaichukulia ki-juu juu lakini ni ya maana na kuumiza kwa kweli...inawezekanaje walalahoi wanaofanya kazi migodini wakamuliwe kodi kubwa kuliko makampuni yenyewe yanayovuna madini yetu!? This is very serious...
 
Wahenga walisema wajinga ndio waliwao.Ni kweki hatujatoka kwenye ujinga?! kwanini tunaendelea kuliwa?! Wabunge ya CCM ni Serikali wapo wapo tu kama mazuzu,yani hayajali taifa yenyewe yako tayari kuua sababu ya chama! bure kabisa
 
Hii ina maana kwamba PAYE ndio inaendesha nchi na ndio maana hawataki kuishusha.
 
Jana kuna mtu aliandika post moja nzuri sana humu, naomba kunukuu:
"CHADEMA IANDAE SAFU MAKINI YA AG NA DPP KWANI BAADA YA KUCHUKUA DOLA KUTAKUWA NA KESI NYINGI ZA KUJIBU".
Mtazamo wangu hakuna haja ya kesi baada ya ukombozi watuachie sisi wananchi tuwahukumu hawa madhalimu CCM wafilisiwe na wanyongwe mpaka wafe.
 
Katika wabunge wa kwanza kuaga Jimboni kwake ni Tundu maana kweli ni Tundu lisilozibika
 
Hatuhitaji kupepesa macho hapo nashauri hoja hii ipewe nafasi ya kuangaliwa kwa undani zaidi kwa faida ya Tanzania.
 
Katika kipindi cha kuanzia 1999 hadi 2012 Wafanyakazi wa makampuni ya madini wamelipa kodi kuwa zaidi (PAYE) kuliko makampuni yenyewe ya Madini.Kwa hisani ya Tundu Lissu bungeni jana - Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi

Hivi......kati ya kodi/ushuru nini kinastahili kukatwa/kulipwa?I have never paid TAX.....i am just being deducted,they just take tax.Chakuzingatia hapa ni KANUNI itumikayo kukokotoa makato/malipo ya kodi kwa mwajiriwa.....haiko fair kabisa!
 
Naomba ni kuelimishe, Issue sio kuwa Paye ni kubwa, hapana issue ni kuwa Makampuni hayalipi kodi.
 
Ni kweli "WATINGAJI" wa migodini ndo wanalipa kodi (PAYE) kubwa karibu ya asilimia 70% ya pesa yote itokanayo na mapato ya madini nchini! Cha ajabu ni kwamba, Watingaji ni walipakodi wazuri lakini ajabu HAWANA hata TIN number ya TRA!

Serikali ilivyo ya kipumbavu haiwapi offer ya kuagiza magari bure bila ushuru kama walivyopewa walimu. Watingaji wanakamuliwa PAYE kubwa kuliko hata pesa wanayokatwa kwa ajili ya mafao (pension) yao ya baadaye. Kweli hii serikali hamnazo!
 
PAYE ,SDL ndiyo kodi pekee zinazotoka kwenye migodi, hii ndiyo Tanzania.
 
Katika kipindi cha kuanzia 1999 hadi 2012 Wafanyakazi wa makampuni ya madini wamelipa kodi kuwa zaidi (PAYE) kuliko makampuni yenyewe ya Madini.Kwa hisani ya Tundu Lissu bungeni jana - Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi

Yangelipaje hali kuwa yamesamehewa kodi? Lissu jenga hoja kisheria, peleka hoja binafsi ya kuvunja mikataba ya awali ya Mkapa
 
Back
Top Bottom