Tundu Lissu na kampuni za madini

Tundu Lissu na kampuni za madini

Katika wabunge wa kwanza kuaga Jimboni kwake ni Tundu maana kweli ni Tundu lisilozibika

Ikiwa wako kama pinda, basi ataaga na watajutia milele. Hata rais anajua hilo kuwa, kuingia kwa Tundu bungeni kumempa wakati mgumu sana kuongoza nchi.
Mawaziri au wabunge ccm 10 = tundu lisu
 
Ni kweli "WATINGAJI" wa migodini ndo wanalipa kodi (PAYE) kubwa karibu ya asilimia 70% ya pesa yote itokanayo na mapato ya madini nchini! Cha ajabu ni kwamba, Watingaji ni walipakodi wazuri lakini ajabu HAWANA hata TIN number ya TRA!

Serikali ilivyo ya kipumbavu haiwapi offer ya kuagiza magari bure bila ushuru kama walivyopewa walimu. Watingaji wanakamuliwa PAYE kubwa kuliko hata pesa wanayokatwa kwa ajili ya mafao (pension) yao ya baadaye. Kweli hii serikali hamnazo!
Jina na picha hii nimewahi kulisikia kule Geita, well said Mtingaji! anyway Wabunge wa CDM wamerudi mjengoni naona hata point zimeanza kutoka sasa, hata jana Bunge lilichangamka, ni kweli Mbunge 1 wa CDM sawa na wabunge 100 wa magamba, ukizingatia tayari tunalo tusi jipya siku hizi linaitwa PINDA! Wabunge wote wa ccm ni PINDA tu.
 
Katika wabunge wa kwanza kuaga Jimboni kwake ni Tundu maana kweli ni Tundu lisilozibika

Wewe ni debe tupu ambalo haliachi kutika.Na wewe cyo wewe ni wazazi wako walivyokulea.
 
Katika kipindi cha kuanzia 1999 hadi 2012 Wafanyakazi wa makampuni ya madini wamelipa kodi kuwa zaidi (PAYE) kuliko makampuni yenyewe ya Madini.Kwa hisani ya Tundu Lissu bungeni jana - Serikali ya wala rushwa haiwezi kukusanya kodi
Juzi Prof Shivji karudia hii
 
Daahhh!
Inaumiza sana, kila kona walalahoi wanaminywa tu
 
Back
Top Bottom