Tundu Lissu: Mwigulu anahusika na mauaji ya polisi CRDB Mbande?

Najua kabisa kwenye Katiba kuna sehem flan ya kumi....na inavifungu kama sita hivi na hivi vinazungumzia facts kuhusu vyama vya siasa na kuvipa haki ya kufanya mikutano....ila kwa kibali maalum na baraka kutoka jeshi la polisi.....sasa jeshi la polis haliwezi simamia ishu kama hiyo mana ishajulikana lengo la mikutano hiyo ya Ukuta ni uvunjifu wa AMANI.
Nchi hii ni ya kidemokrasia Mbon wafalme wote waliopita mikutano ilikuepo ya ndan na nje iweje leo maji yaingie mdudu na maamuz kafanya kwa sheria ipi tunapinga udi uchwa.....
 
Habari wana jamii forum, kuna kitu kina niumiza sana kichwa,kila siku tunawalaumu wasanii wetu wa bongo fleva na bongo muvi kwa kutafuta kiki zisizo kuwa na tija kwa jamii yetu.

Sasa naona hizi habari za kiki naona siku hizi zimehamia kwenye siasa.

1: kwanza zilianza kwenye kutaka kumuondoa naibu spika Dr Tulia kibabe bila kutumia kanuni zilizopo kumuwajibisha naibu spika kwa makosa aliyokuwa nayo. Baada ya kuona wameshindwa wakaanza kutiektia mapicha picha ya kuingia bungeni kisha baada ya dua wanayoombewa na huyo huyo wasiomtaka wanatoka nje,siku nyingine wanakuja bungeni na vitambaa mdomoni as if wanaenda kuzibua vyoo baada ya hapo ikafikia hatua ya baadhi ya wabunge wapuuzi kutoka upinzani wasiojua siasa ni nini wakaanza kuwanunia wabunge wa ccm na kuwashawishi wenzao nao wawanunie wabunge wa ccm.wakasahau kwamba hata majimboni kwao pia kuna wanachama wa ccm, jee nao watawanunia?

Kutokana na tatizo lilotokea hapo juu lilikuwa linahusu sheria,na kwa kuwa Tundu Lissu ni mwanasheria wa Chadema hii ilikuwa ni nafasi yake yeye kuwashauri chadema pamoja na ukawa kwa ujumla juu ya utatuzi wa kisheria. Hapa alifeli na yeye akawa miongoni mwa nyumbu waliokuwa kwenye mapichapicha.

2: Tukio la pili ni hili la juu ya Mh. Raisi kuzuia mikutano. Jee chadema pamoja na mwanasheria wao walishindwa kumuelewa Mh. Raisi au ndio kutafuta kiki kwa Tundu Lissu. Nimeona Heche akihutubia kundi la watu kwenye jimbo lake na wala hakubugudhiwa na mtu yeyote,nimemuona Ester Bulaya akihutubia jimboni kwake bilia kubugudhiwa na mtu yeyote, namuona Joseph Mbilinyi akihutubia Mbeya bila kubugudhiwa na mtu yeyote namuona Mh. Lowassa akizunguka kuhutubia baadhi ya majimbo. Tatizo hapa ni utafutaji wa kiki tu ndio ninao uona,kama kuna kitu kimekosewa na serikali wanaruhusiwa kufungua shauri mahakama kuu. Sidhani kama Lissu analijuwa hilo. Katiba haisemi kama serikali imekosea basi wewe uingiye balabalani kuandamani,huo ni ujinga na inaonesha ni kwa kiasi gani wana chadema ni Vihiyo au Viazi mbatata. Katiba inasema hivi

Ibara ya 30 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano inaongelea mipaka kwa Haki na Uhuru.

Tuanze sasa: ( 30.-(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake
imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja<br />kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
(2) Ifahamike kwamba masharti yaliyomo katika Sehemu hii ya Katiba hii, yanayofafanua misingi ya haki, uhuru na wajibu wabinadamu, hayaharamishi sheria yoyote iliyotungwa wala kuzuia sheria yoyote kutungwa au jambo lolote halali kufanywa kwa mujibu wa sheria hiyo, kwa ajili ya
(e) kuweka vizuizi, kusimamia na kudhibiti uanzishaji,uendeshaji na shughuli za vyama na mashirika ya watu binafsi nchini; au (f) kuwezesha jambo jingine lolote kufanyika ambalo linastawisha au kuhifadhi maslahi ya taifa kwa jumla.(3) Mtu yeyote anayedai kuwa sharti lolote katika Sehemu hii ya Sura hii au katika sheria yoyote inayohusu haki yake au wajibu kwake, limevunjwa, linavunjwa au inaelekea litavunjwa namtu yeyote popote katika Jamhuri ya Muungano, anaweza kufungua shauri katika Mahakama Kuu).

Samahani wakuu hayo yote yaliyokwenye mabano sio maneno yangu bali ni katiba ndio inasema hivyo. Je Lissu hakuona hizo aya kwenye katiba? Au ndio utafutwaji wa kiki on progress?

Nawashaurini Chadema nendeni mahakamani mpeleke malalamiko yenu.
Kumbukeni kuingiya balabalani kuandamana ni kuvunja sheria kwa hiyo kitakacho wakuta msije mkalaumu watu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Raisi wetu Magufuri.

By Llio 002.
Kama unaijua katiba vizuri nenda kaonane nae pale mahakamani.
 
Mimi Binafsi nimemuona Tundu lisu wa Ajabu kwa Kusema Eti itangazwe hali ya Hatari Nchini, hv huyu jamaa anaijua hali ya hatari kweli,? Au Tundu lissu anatafuta Kick?! Anadhani watanzania wote ni wa hapahapa hatumbei mpaka kwenye nchi za watu tena zenye machafuko. Awe anatembea na na Nchi zenye msala kama Sudan, Somalia, Afrika ya kati ndio aje atoe matamko yake hayo. Hali ya Hatari bus linatoka Dara mpaka kigoma salama bila hata ulinzi wa askari hata mmoja. Libya bus moja kusafiri linasindikizwa na kikosi kizima cha jeshi. Aacha kuongea ongea sana.
Ujue maswala kama haya nendeni mahakamani mkaonane nae. Hapa hamtapata muafaka
 
Habari wana jamii forum, kuna kitu kina niumiza sana kichwa,kila siku tunawalaumu wasanii wetu wa bongo fleva na bongo muvi kwa kutafuta kiki zisizo kuwa na tija kwa jamii yetu.

Sasa naona hizi habari za kiki naona siku hizi zimehamia kwenye siasa.

1: kwanza zilianza kwenye kutaka kumuondoa naibu spika Dr Tulia kibabe bila kutumia kanuni zilizopo kumuwajibisha naibu spika kwa makosa aliyokuwa nayo. Baada ya kuona wameshindwa wakaanza kutiektia mapicha picha ya kuingia bungeni kisha baada ya dua wanayoombewa na huyo huyo wasiomtaka wanatoka nje,siku nyingine wanakuja bungeni na vitambaa mdomoni as if wanaenda kuzibua vyoo baada ya hapo ikafikia hatua ya baadhi ya wabunge wapuuzi kutoka upinzani wasiojua siasa ni nini wakaanza kuwanunia wabunge wa ccm na kuwashawishi wenzao nao wawanunie wabunge wa ccm.wakasahau kwamba hata majimboni kwao pia kuna wanachama wa ccm, jee nao watawanunia?

Kutokana na tatizo lilotokea hapo juu lilikuwa linahusu sheria,na kwa kuwa Tundu Lissu ni mwanasheria wa Chadema hii ilikuwa ni nafasi yake yeye kuwashauri chadema pamoja na ukawa kwa ujumla juu ya utatuzi wa kisheria. Hapa alifeli na yeye akawa miongoni mwa nyumbu waliokuwa kwenye mapichapicha.

2: Tukio la pili ni hili la juu ya Mh. Raisi kuzuia mikutano. Jee chadema pamoja na mwanasheria wao walishindwa kumuelewa Mh. Raisi au ndio kutafuta kiki kwa Tundu Lissu. Nimeona Heche akihutubia kundi la watu kwenye jimbo lake na wala hakubugudhiwa na mtu yeyote,nimemuona Ester Bulaya akihutubia jimboni kwake bilia kubugudhiwa na mtu yeyote, namuona Joseph Mbilinyi akihutubia Mbeya bila kubugudhiwa na mtu yeyote namuona Mh. Lowassa akizunguka kuhutubia baadhi ya majimbo. Tatizo hapa ni utafutaji wa kiki tu ndio ninao uona,kama kuna kitu kimekosewa na serikali wanaruhusiwa kufungua shauri mahakama kuu. Sidhani kama Lissu analijuwa hilo. Katiba haisemi kama serikali imekosea basi wewe uingiye balabalani kuandamani,huo ni ujinga na inaonesha ni kwa kiasi gani wana chadema ni Vihiyo au Viazi mbatata. Katiba inasema hivi

Ibara ya 30 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano inaongelea mipaka kwa Haki na Uhuru.

Tuanze sasa: ( 30.-(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake
imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja<br />kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
(2) Ifahamike kwamba masharti yaliyomo katika Sehemu hii ya Katiba hii, yanayofafanua misingi ya haki, uhuru na wajibu wabinadamu, hayaharamishi sheria yoyote iliyotungwa wala kuzuia sheria yoyote kutungwa au jambo lolote halali kufanywa kwa mujibu wa sheria hiyo, kwa ajili ya
(e) kuweka vizuizi, kusimamia na kudhibiti uanzishaji,uendeshaji na shughuli za vyama na mashirika ya watu binafsi nchini; au (f) kuwezesha jambo jingine lolote kufanyika ambalo linastawisha au kuhifadhi maslahi ya taifa kwa jumla.(3) Mtu yeyote anayedai kuwa sharti lolote katika Sehemu hii ya Sura hii au katika sheria yoyote inayohusu haki yake au wajibu kwake, limevunjwa, linavunjwa au inaelekea litavunjwa namtu yeyote popote katika Jamhuri ya Muungano, anaweza kufungua shauri katika Mahakama Kuu).

Samahani wakuu hayo yote yaliyokwenye mabano sio maneno yangu bali ni katiba ndio inasema hivyo. Je Lissu hakuona hizo aya kwenye katiba? Au ndio utafutwaji wa kiki on progress?

Nawashaurini Chadema nendeni mahakamani mpeleke malalamiko yenu.
Kumbukeni kuingiya balabalani kuandamana ni kuvunja sheria kwa hiyo kitakacho wakuta msije mkalaumu watu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Raisi wetu Magufuri.

By Llio 002.
Mimi sio mwanasheria lakini wewe ndo kabisa uko empty, unazichanganya sheria zilizopo, yaani hujui matumizi yake, kwa kukusaidia tu jaribu kutofautisha sheria ya vyama vya siasa na sheria ya binadamu (mtu). Hizi ni sheria mbili ambazo kwenye hili bandiko lako umezichanganya, yaani umeshindwa kuzielewa na jinsi zinavyofanya kazi.
 
Ina maana hakuna askali hata mmoja aliyekufa katika tukio hilo? Mnataka kuwaeleza Watanzania kwamba yale yalikuwa ni maigizo ya Bongomovie - sisi watu wa ajabu sana!!
Humu ndani viwango vya uelewa watu wanatofautiana kumbe kwa kiasi kikubwa hivi?Mkuu kwa maelezo ya Lissu sikuwa hakuna askari aliyekufa bali ni kuwa huyo anayesema ndiye huenda akawa mtekelezaji jambo hilo,ili aje alitumie kama ground ya kusitisha shughuli zote za kisiasa.
 
Back
Top Bottom