Tundu Lissu, Mtema ndani ya UDOM

Nilishaandika sana hapa jamvini juu ya Muafaka wa Arusha Cdm walichemsha na mpaka leo hatukusikia tamko lolote kutoka kwa kiongozi yeyote wa juu ndani CDM hali kadhalika kulikuwa na mazungumzo ya siri kati ya Mbowe na Pinda yaliyopelekea muafaka. Cdm kama hamna majibu ya kuridhisha juu ya hili wananchi hatutawaamini tena.
 
Watu kama Ritz1,sokomoko, MS,kishongo na wengine mimi nawapenda sana kwani jinsi wanavyokuwa anti Chadema wanachangia watu kuielewa zaidi chadema .hongereni kwa kazi nzuri ya kuipamba chadema na nawatakia kazi njema. Kazi mnayoifanya inatusaidia sana
jamaa hawa wamewekwa maalumu hum jf, baada ya ushauri wa W. Malecela. Wanajiita eti na wao ni g thinker! Kama wanawategemea na wao kuwakilisha mawazo ya chama chao, bas, hawa jamaa hamna kitu. Jf isha vamiwa.
 
Silinde (simba wa nyika) anaongea: Anasema vijana wakiamua ktk walitakalo lazima watafanikiwa.
Wamejipatia KIJIWE CHA POROJO! Angalieni wasije na USHAWISHI NA HAMASA ZAO,mkafikiri WANAWATAKIA MEMA KTK KIPINDI HIKI CHA MITIHANI KUMBE NI KUWAHARIBIA FUTURE na Mkaangukia PUA km wengine ambao hadi sasa HAWANA PAKWENDA na wala HAWAJUI LA KUFANYA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom