SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
- Thread starter
- #21
Lissu anaongea: anasema ataongea juu ya majukumu ya vijana na ukombozi. Anatoa mfano wa Mao (China) kama kiongozi wa mapambano ya ukombozi. Countries want independence, Nations want liberation, people want revolution.