Tundu Lissu kweli ni mtabiri mzuri

Tundu Lissu kweli ni mtabiri mzuri

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Yanayotokea leo hii kule Ngorongoro tayari mh Lissu alisha yasema bungeni kitambo.

Sema tu ni kwakuwa alikuwa anachukuliwa poa kisa ni mpinzani lkn kama serikali ingelifuata mawazo yake na kuyafanyia kazi hili tatizo la leo lisingekuwepo.

Hakika CDM ina hazina ya viongozi wenye maono na akili kubwa sana hapa nchini.
 
Muda Lisu anatowa nondo kama hizi badala ya serikali kuwa makini kumsikiliza lakini hado utakuta mibunge posho ya ccm inajiandaa kumkatisha kwa taarifa au muongozo wa spika.

Ccm ni laana kwa Watanzania.
Ipo siku Mungu atatuondolea hili dude ili tuishi kwa amani
 
Watu walichomewa nyumba zao na kunyang'anywa mifugo na kupigwa vibaya - 2009,

Hiyo ilikuwa mwaka gani?
 
Yanayotokea leo hii kule Ngorongoro tayari mh Lissu alisha yasema bungeni kitambo.

Sema tu ni kwakuwa alikuwa anachukuliwa poa kisa ni mpinzani lkn kama serikali ingelifuata mawazo yake na kuyafanyia kazi hili tatizo la leo lisingekuwepo.

Hakika CDM ina hazina ya viongozi wenye maono na akili kubwa sana hapa nchini.View attachment 2257618
Badala ya kukitumia hicho kichwa kama wenzetu wengine wenye akili nzuri hawa wakwetu wakaona wamuue kabisa ili waendelee kupandisha mabega katika ujinga na upumbavu wao!
sasa leo tumepoteza mlinzi wa taifa kwa sababu ya ujinga mtupu!
 
Ni mawazo ya kijinga kudharau mtu mwenye akili zake kisa ni mpinzani wako.
 
Back
Top Bottom