Tundu Lissu kupewa tuzo ya mwanasiasa msomi na mtetezi wa haki za binadamu barani afrika na duniani

If there is something I'm sure of ni Tundu Lissu na Zitto kuingia kwenye payroll ya Accacia, hii kitu naijua na nina uhakika 100% Tena from a very credible Source, achana na hizi porojo za wanasiasa I mean a very very credible source. Lakini Mimi huwa Ni mtabiri mzuri sana, Lissu ni moja ya Wanasiasa vichwa maji kabisa, on politics Lissu is an empty set na the guy atakuja kuishia pabaya sana if he is real serious ameamua kuwa against Watanzania, ataambulia depression na kuwa na mwisho mbaya Sana. Mark this comment bro. Kama huamini angalia thread yangu moja ya 2016 niliyowahi kusema Lowassa hawezi kugombea Urais 2020, Kama kawaida Nyumbu walitema nyongo. But it happened!
Wanasiasa wote wapinzani na tawala walikuwepo wakiongozwa na chams dume ,hadi magu alikuwa anapewa usidanganywe
 
...Sisi kama watanzania wazalendo tusio na vyama kwa umoja wetu na uzalendo kwa nchi. Kwa pamoja, tumekubaliana kumchagua mheshimiwa wakili msomi Tundu Lissu kuwa rais mnamo 2020.
Eeh, mwenyezi Mungu tufikishe salama.
 
Huyo aliyewekwa unyumba ulaya? Anayeomba kulipiwa pango na wanaume ili asife kwa baridi? Anayeomba wanaume wamnunulie chakula na kulipa karo za watoto wake? Aaah maskhara...
Hakuna choko atakaa aiongoze hii nchi, mkimpenda sana mummpe uenyekiti wa chama chenu cha mashoga period
 
Mbona wewe muandiko wako ndio wakichoko, au wewe ndie shaka yule wa uvccm?
 
Back
Top Bottom