Tundu Lissu: Kuongoza Watu Wajinga ni rahisi sana, tumekuwa Taifa la kuogopa miungu Watu badala ya kumtegemea Mungu wa Mbinguni!

Una uhakika shujaa Magufuli aliamuru hicho ulichosema?!
Siku ile anapokea ripoti ya madini alisema kuwa ameidukua simu ya Lissu na amegundua kuwa alikuwa anawasiliana na Mwanyika aliyekuwa mwanasheria wa Barrick,na akamaliazia kuwa kwa askari mnajua mtu wa namna hiyo huwa anafanywa nini wakati wa vita na ni siku Lissu alipigwa risasi. Ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa alitoa yeye amri ya Lissu kupigwa risasi.
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Jukumu kubwa lililo mbele ya Watanzania wote wakati huu tunapoisaka Katiba Mpya ni Kufuta Ujinga, kwa sababu Ujinga wa Taifa unawarahisishia Watawala kutenda wapendavyo

Lisu anasema Tanzania imegeuka kuwa Taifa linaloabudu miungu Watu ambao ndio huwapangia wengine maisha yao yaweje

Akihutubia maelfu ya Wananchi kwenye Viwanja Vya Mwembeyanga Tundu Lisu amesema miaka 17 iliyopita walitangaza orodha ya Mafisadi Uwanjani Hapo wakiwemo Marais wawili na Waziri mkuu mmoja ambaye alijiuzulu baadae, lakini Ufisadi uliopo sasa unazidi mara mia ya Ule

Lisu ametoa mfano wa vifo vya Watu waliokufa Rufiji kwa Mafuriko na kuhoji ni nani aliyeruhusu bwawa lifunguliwe?

Aidha Lisu amesema kuna Wizi wa kutisha kwenye Halmashauri zetu lakini kwa sababu Taifa limemwacha Mungu wa Mbinguni na Kuabudu miungu Watu hakuna anayehoji na badala yake wanajinyenyekeza kwa Wezi Ili nao waonekane wa maana mtaani

Katika mkutano huo Wananchi wameazimia Tundu Lisu anunuliwe Gari Imara litakalomwezesha kuzunguka Nchi nzima kuwafuta Tongotongo Wananchi Ili macho yao yaweze kuona tena kama ilivyokuwa wakati wa Nyerere

Tundu Lisu amezungumza mambo mengi lakini kama mjuavyo mimi siyo Mwandishi wa Gazeti kama Lucas

Ahsanteni na Pokeeni Baraka za Mungu wa Mbinguni 😀😀

Kwako Erythrocyte pale Kajunjumele - Kyela 😂😂🔥
angeweza kudhibiti, uropokaji, mihemko na matusi ya makamanda wake na yake mwenyewe, angalau angeweza kuaminika kwamba ameanza kua muhubiri sasaivi 🐒
 
Yeye ndiye mjinga wa kwanza. Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi. Yaani lisu ni jinga sana na mla rushwa mkubwa. Kipindi cha Dkt Magufuli ndipo ujinga wake ulijiweka bayana. Ni Dkt Slaa tu ndiye aliyesimamia haki na unyoofu. Huwezi sema leo fulani ni fisadi then kesho upo naye jukwaani au huwezi yasema makampuni ya madini then kesho unasema yanaonewa. Huyo lisu wenu muulizeni ni lini katoa kauli mauaji ya wananchi kwenye migodi huko mara?? Yaani ana viajenda vya ki NGO tu ili mabeberu waone anafanya kazi.
Makasiriko ya Kishoshang'ombe
 
Siku ile anapokea ripoti ya madini alisema kuwa ameidukua simu ya Lissu na amegundua kuwa alikuwa anawasiliana na Mwanyika aliyekuwa mwanasheria wa Barrick,na akamaliazia kuwa kwa askari mnajua mtu wa namna hiyo huwa anafanywa nini wakati wa vita na ni siku Lissu alipigwa risasi. Ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa alitoa yeye amri ya Lissu kupigwa risasi.
Unajua kuwa hadi anashambuliwa Lisu alikuwa ni mtumishi wa Serikali anayepikiwa hadi kufuliwa nguo na mabeki 3 wa serikalini?
 
Kwa logic ya Lissu, Fisadi akishajiuzulu basi anafaa kupokelewa , kupigiwa kampeni ili awe rais wa nchi!.

Kwenye Ishu ya Lowasa kuwekwa na CHADEMA katika list of shame na huyuhuyu Lissu, halafu baadae kuja kumpigia kampeni ili awe rais, Lissu inabidi auombe msamaha umma au aiombe msamaha familia ya Lowasa kama alimuingiza ktk hiyo list kwa hila!
 
Kumbe ni rahisi tu?Hebu jaribu na wewe uombe kuchangiwa ununue baiskeli tu.
Mwanaume lijali hawezi kuchangiwa fedha kamwe, ni kufuru kwa muumba na fedheha, Mungu aliumba mwanadamu afanye kazi apate riziki yake ale kwa jasho, hii tabia hii, ushoga hautakwisha kwa tabia hii.
 
Yeye ndiye mjinga wa kwanza. Kwanini alishindwa kumsapoti Dkt Magufuli kwenye makinikia, akawa anachukua hela kwa wazungu ili akwamishe zoezi. Yaani lisu ni jinga sana na mla rushwa mkubwa. Kipindi cha Dkt Magufuli ndipo ujinga wake ulijiweka bayana. Ni Dkt Slaa tu ndiye aliyesimamia haki na unyoofu. Huwezi sema leo fulani ni fisadi then kesho upo naye jukwaani au huwezi yasema makampuni ya madini then kesho unasema yanaonewa. Huyo lisu wenu muulizeni ni lini katoa kauli mauaji ya wananchi kwenye migodi huko mara?? Yaani ana viajenda vya ki NGO tu ili mabeberu waone anafanya kazi.

Wewe kweli hamnazo. Yawezekana hujitambui kuwa umgonjwa wa akili. Wenzako wanaleta hoja, wewe unaleta porojo.

Hakuna mtu hata mmoja anayeweza kuleta uthibitisho wa Lisu kupokea rushwa au kudai rushwa kutoka kwa mtu yeyote katika maisha yake.

Katika masuala ya rushwa, ufisadi na unafiki, Lisu ni mtu anayeweza kusimama mahali popote Duniani kuthibitisha kuwa ni mtu safi.
 
Back
Top Bottom