Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa

Unatema bigijii [Dk Slaa] kwa Karanga za Kuonjeshwa [lowasa]...chama cha kibiashara asante Mungu kwa kutuonyesha
Tehetehetehetehe. Usiache Mbachao kwa Msala upitao
 
Maccm yatakoma huku kila siku ni kupiga kampeni watu wasiyachague
 
Kila siku tetesi,kila uchao unakuja na jipya...hata limoja halijatimia kibuyu wewe,huna jipya zaidi yakujishushia hadhi na umbea tu..unanikera mno we jamaa.
 

Dr.W.Slaa

Today 06:20
#1
​
JF Senior Expert Member
Array


Join Date : 1st July 2008
Posts : 681
Rep Power : 0
Likes Received1360
Likes Given282​


[h=2]
Re: Dr. Slaa kuwasilisha leo mpango mkakati wa ushindi mbele ya Sekretarieti[/h]
Yericko,

Siasa ya unafiki sipendi. Nimenyamaza lakini naona mnazidi kunichokoza. Ni afadhali mngelikaa kimya kama nilivyonyamaza mimi. Uwongo wowote na upotoshwaji wowote sitauvumilia. Nitaukanusha hapo hapo. Hata kama una lengo lako ambalo silifahamu naomba sana usitumie jina langu. Nimefundishwa uwongo ni dhambi siko tayari kushiriki dhambi hiyo.

sina kikao chochote cha Secretariat sina mpango wowote ninaopanga kuwasilisha popote. Naomba watanzania wapuuze propaganda zote zinazofanyika kwa jina langu.

Ningehitaji kutuma taarifa yoyote kwa umma ningeliita Press Conference Mwenyewe au ningelitumia utaratibu wowote uliouliozoeleka.

Naomba kutoa onyo kwa mtu yeyote awaye, matumizi ya jina la Dr Slaa yakome.​


 
Nafikiri Mr nobody sijui lazy bone or whatever, kuna mtu kweli anahaja na hizi balabala zako, fanya yako tuache wafu tuzike wafu wetu
Kwn we ndio msemaji wa CDM, kwenye hii nchi hakuna those fucken news zaidi ya za CDM, be civilised men
 
Mkuu, utatapatapa sana!! hadi sasa umekuwa kama umechanganyikiwa, kwani hata hueleweki, kila dk una ibuka na upuuzi mpya, baada ya muda tena unaukana, unakuja na jingine. pichu zitawabana sana.

Mkuu wakakata roho hao.
 

Mtasubiri sana. Tamaa za fisi hizo, na mkono haukatiki ng'oooo!!!
 
Lowasa is just a new character with no political value added to a crumbling block of people who had lost hope with the intention of rejuvenating its political position which will in turn continue protecting the interests of the selected few.
I can't keep on argueing with you because it is part of your work to fight on protecting your party.
 
Mkuu, utakuja kunieleza.

Mkuu nitakuelaza nini tena?Labda ukimbie nchi kwa hofu,maana ulishasema Rais hawezi kutoka kaskazini ikiwa Taifa hili ni letu sote,mwalimu alishasema ukizoea kula nyama ya mtu utaendelea tu.Hivi wewe ulietaka kumrithisha mdogo wako ukuu wa kaya,na wenzako wakakuzidi ujanja.Sasa unatuona woooote tunatabia kama yako.Mtasubiri saaaaaaaaana.
 
Nafikiri imefika wakati na Dr Slaa anatakiwa avunje ukimya ili kuepusha uzushi usio wa maana, mimi naamini ukimya wake utakuwa una jambo, lakini ni lipi? Kwani Dr Slaa si member wa JF unashindwa kutumia dk 5 kuvunja kukemea hadi wakusemee mengi umeyasema hili la uzushi unashindwa kusema msimamo wako?

Mimi ni mmoja wao natamani useme nini msimamo wako hata juu ya uzushi huu ukiachilia mbali ujio wa lowasa chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…