Tundu Lissu kumburuta Kinana mahakamani

Tundu Lissu kumburuta Kinana mahakamani

kinana ameshamaliza tembo wote tz anatakiwa kushtakiwa
 
Mkuu Bosi wako Kinana kashikwa pabaya sana.Mwambie hapana chezeya Lissu siku ingine...
Tatizo lako unajibu hoja bila kujua mantiki ya hoja yangu.

Nimesema pesa zitakazolipwa kama faini zitatoka kwenye coffer ya CCM, kwa maana nyingi hizi ni pesa za wafanyabiashara na wananchi walalahoi zinazoingia kwenye coffer ya CCM kama ruzuku ya vyama.

Badala ya kusikitika kuwa vyama vinatumia pesa za ruzuku vibaya wewe unashangilia. Watu wengine tabu sana.

Kama hujanielewa mpaka sasa, I'm out and have a good one!
 
Kwa hiyo unashauri Lissu amsamehe Bosi wako Kinana kwa vile hela atakayolipa Fidia itatoka kwenye Ruzuku ya CCM.

You are kidding...!!!
 
Kwa hiyo unashauri Lissu amsamehe Bosi wako Kinana kwa vile hela atakayolipa Fidia itatoka kwenye Ruzuku ya CCM.

You are kidding...!!!
Umeshika bango kuwa Kinana ni Boss wangu. Ulinipeleka kwake kupata ajira?. Hunifahamu sikufahamu na wala sihitaji kukufahamu.

Ndiyo maana nikasema uwezo wako wa kuongea trash ni mkubwa kwa sababu uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Hata debe tupu nalo huwa lina kelele nyingi.

Wewe niwa kupuuzwa tu.
 
Nakuhakikishia chezeeni mtu mwingine yeyote lakini siyo Tundu Antipass Lissu...

Mtaisoma namba!!!
 
Naunga mkono..akiweza mkona vizuri kinana..balaa litamwanzia hadi tufikie ktk tembo wetu......saafi sana Lissu..ukimpa kichapo haswa Nyumba ya kinana itabomoka km ya mchanga beach.

Hao ndio CDM ..wanafanyia magamba dissection
 
safi sana maana wamezidi kuupotosha uma na kumissuse reaources za taifa na tena arudi kwao!
 
Awadai fidia ya fedha nyingi sana ili wauze chama chao cha CCM kupata hizo fedha maana wamezoea hao

Kinnana hawezi shindwa kulipa faini mbona tembo bado wengi sana kumkomoa huyu ni kumrudisha kismayu
 
Nikifikiria tu hizo fedha zitatoka wapi, natamani kumpigia magoti Mh. Tundu Lisu aache huo mpango.

African_Bush_Elephant.jpg

Huruma!
​
Sio zitatoka wapi bali zile ambazo tayari zilishapatikana kwa kunanihii huyu hapo na kuuza hiyo mifupa hapo usoni na zile za kuuza sembe zilipie janga hilo la kuamuru kufungua makesi yasiyo na kichwa wala miguu kwa wapinzani.
 
Hivi hizi kesi haziwezi kufunga mtu? natamani wangefungwa huyu Kinana na kaka yake Makamba
 
Nakuhakikishia chezeeni mtu mwingine yeyote lakini siyo Tundu Antipass Lissu...

Mtaisoma namba!!!
Mkuu Greenwhich wasiwasi wangu fidia itakapokuwa kubwa sana tembo hawatatosha kwahiyo itabidi aanze kuwinda Sokwe unafikiri yule jamaa yao anayefanana na hao wanyama wa Gombe kwenye kikao cha NEC atapona kweli?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu mama toto unanivunja mbavu kwa kicheko!
 
Last edited by a moderator:
aje Nape Nnauye kuja kukanusha,maana hawa MACCM ni hatari sana zaidi ya ukoma,wameshazoea kula nyma za watu mfano ni MREMA eti naye anajiita mpinzani,sasa wanataka nchi hii wasie na wapinzani wa kweli ila vyama kwa masilahi yao kumbuka chama cha DOVUTWA FAHIM NASSORO, UDPP HEKO Tundu LISSU na wataisoma namba katika bunge la katiba
 
Back
Top Bottom