Tundu Lissu kuitwa na Mahakama akiwa Bungeni

Summons ni wito wa kisheria wa mahakama kwa mshitakiwa, mlalamikaji au shahidi kwenda mahakamani. Hivyo Lissu kupelekewa summons si lazima awe mtuhumiwa; hivyo tusubiri tujuwe huo wito ni wa nini!! Ni Mtuhumiwa , Mlalamikaji au Shahidi?
 
Summons ni wito wa kisheria wa mahakama kwa mshitakiwa, mlalamikaji au shahidi kwenda mahakamani. Hivyo Lissu kupelekewa summons si lazima awe mtuhumiwa; hivyo tusubiri tujuwe huo wito ni wa nini!! Ni Mtuhumiwa , Mlalamikaji au Shahidi?
Hujaelewa mtoa mada anataka nini. Suala si summons.........ila mahala alipopewa hiyo sumans, angepewa akiwa nje ya bunge
 
Lusinde went on and on about him being one of the poorest guys to hit BUNGENI..he wants some sympathy out of his heroic outsy of Mzee Malecela

To me he wants people to start associating themselves with his cheap ideologies..he's just an %&¤ kisser and a blue eyed boy of Bunge.. A status that sadly lasts in a day..

Mhandisi mwandamizi wa mifumo na njia kUu za umeme
 

huyu Livingstone ni sawa na kitunguu kwenye mboga..kunukia tuu....bora mzee mallechela
 
Tindu Lissu peke yake mbona hizo mahakama hazitoi summons kwa akina Chenge, Lowassa, Rostam na mafisadi wengine waache kutuzeveza bana. Lissu washa moto mpaka kieleweke nyang%&&*%%^ wakubwa hawa.
 

kweli Tundu Lissu anaonekana kama katoto kachanga pamoja na uanasheria wake, tatizo nikuwa yuko karibu sana na Mbowe ambaye ana jazba, hana busara za kiuongozi, anakurupuka, hivyo Lissu nae badala ya kutulia na kila jambo alichambue vizuri na kuelewa vizuri vifungu vya sheria na kanuni za bunge naye amekuwa mtu wa kukurupuka na kutafuta cheap popularity za kisiasa tu akiendelea hivi heshima yake itashuka sana
 
Ninanusa harufu ya hila za kutaka kumuua huyu tundu lissu,ccm ni zaidi ya uijuavyo.chadema na tundu lissu kuweni makini.
 
The fact is I think those who mercy up with Mh Tundu Lisu the Advocate of the High Court they are doin a very big mistake caz the guy is fit and smart on my views in regards to the alleged summons summoned to Mh Advocate Lisu it's not a threat to him caz where he is required to go ndio maeneo yake ya siku zote na ndipo sehemu yake ya kujidai na ndio area of experties so mm sina wasi wasi wowote and If anything went wrong his Learned Brother Mh Advicate Mabere Marando will be there that's. So those who thinks that they can weakened the guy they just wast their time.Long live Chadema Long live wanaharakati wooote Wa Chadema the day will come and must come.
 

Sasa Makinda alitumia ubabe sababu anayehusika ni mpinzani. Kwa kuwa mambo hayo yapo kwenye kanuni alipaswa kulitolea ufafanuzi. Kumnyofoa mbunge akiwa kwenye harakati katika muhimili wake ni dharau ambayo alipaswa kuitetea isitokee. Kesho ikitokea kwa mccm na au spika mwenyewe atatoa kauli aliyoitoa?
 
Summons ni wito wa kisheria wa mahakama kwa mshitakiwa, mlalamikaji au shahidi kwenda mahakamani. Hivyo Lissu kupelekewa summons si lazima awe mtuhumiwa; hivyo tusubiri tujuwe huo wito ni wa nini!! Ni Mtuhumiwa , Mlalamikaji au Shahidi?

Nakubaliana nawe si atasema!! tuwe na subira maybe it is not all that serious. lets not put a cart in front of a horse.
 
Hicho kifaa kimeingia kwa nguvu ya umma bungeni, acheni kabisa, atapambana mpaka mwisho.....Njaghamba iuhoma ilolo aghwida!

I am proud to be represented by honourable Tundu Lissu.
 
Tusijua sheria tunafautilia kwa kila mjadala huu, naamini tutashiriki kwenye hitimisho lake la mwisho.
 
Thats what makinda can do for you. Instead ya makinda kuingilia kati na kumtetea mbunge wa chombo cha taifa, makinda anakaa akila na Rostam pesa za Dowans. Huyu mwanamke ni empty head...
 
 
ni hatari sana kuropoka ropoka tu..... summons siyo lazima uwe na kesi... court summons unaweza pewa kwa ajili ya kutoa ushahidi kama state witness .....

wewe kishongo umerudi tena na akili yako yenye makengeza
Rimbumbu ra sheria rinakurupuka tu kuongea. Watu wengine bwana. Mpotezee tu
 

Maslahi kwa umma upi?.,yawezekana kesi hiyo ina maslahi kwa CCM ndio maana spika amekataa kukaribisha hoja ya Lissu.
 



Ndugu please hata kama umetumwa heshimu maneno yako kwani ndiyo yanakunyambua na kutueleza wewe ni mtu wa namna gani?

Simple Tueleze anakabiliwa na kesi nyingi moja wapo ni ipi be specific,tuache kupotoshana.

Tatu sheria za Bunge zinasemaje,Mahakama ni moja ya muhimili wa Dola,je ni halali kudharahu muhimili mwingine hata kama kuna demand?

Nchi hii hakuna sheria zinazofuatwa na ndiyo maana haki haitendeki kabisa.
 
Kwa anaevuta bhangi hakuna kitu bora kama bhangi... na kwa asievuta hakuna kitu cha ovyo kama hicho!

Kwanini nasema hivyo? Kwa wanasheria ni jambo la kawaida kuwa na kesi, hakuna cha ajabu. Kwani anaweza kuwa ameshtaki au ana mteja anamtetea. sasa kutokana na ubize ameshindwa kuhudhuria mahakamani ama kwa kusahau au kwa kusudi (maana ameomba mwongozo!) inawezekana kuna dhana kwamba wabunge hawashtakiwi!

Jingine: Kwa asili 'wanasheria wanapenda sana kubishana, na haiwajalishi wapi wanabishana na kwa hoja ipi! Kwa mwanasheria kuita sahani kikombe ama kinyume chake kwake si tatizo ila Tunapaswa kusubiri na na iliyo kweli itajulikana tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…