Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,262
Mkuu kwa kawaida wapambanaji shujaa huwa wako hivyo maana hayo yanatoka moyoni kwa nia ya kutupa nguvu ili tuiadhibu ccmKamanda ungetulia kwanza moyo upoe,haya maCCM tuachie sisi kwa mda
Ha ha ha ha ha ha ha ha...haaaaaaa! Haaaaaaa...eti tundu lisu ni mpambanaji shujaa, unakipaji cha kuchekesha wewe!Mkuu kwa kawaida wapambanaji shujaa huwa wako hivyo maana hayo yanatoka moyoni kwa nia ya kutupa nguvu ili tuiadhibu ccm