Ushauri kwa wapenda mabadiliko wote Tz na hasa kwa namna ya pekee chadema, ukawa, vyama vya ccm B na mwisho kabisa kwa umuhimu baadhi ya watu ndani ya ccm
Watz wengi ni hawajui jinsi nchi inavyoendeshwa zaidi wanaelewa taratibu sana (slow learners, kwa mfano uchaguzi wa 2015 ilikuwa vigumu kwa wengi kuelewa tofauti ya Lowassa wa ccm na Lowassa wa Chadema ukawa, matokeo yake wapo wapinzani wengi walioishabikia na kuichagua ccm na uchwara wake wote.
Logic ni kwamba kusubiri mpaka karibu na 2020 ndiyo tumjue mgombea watz wengi hawaelewi haraka kwa hiyo itakuwa kazi ngumu sana kumuuza, elewa kuwa 75% wapo vijijijni where poverty and ignorance are main features.
Kwa hiyo ushauri rahisi kwa maoni ni kwamba upinzani uwe na mgombea kuanzia sasa ili wanaoelewa taratibu wapate mda wa kutosha kujenga imani lakini zaidi kumfahamu yeye ni nani, 2010 Slaa aliingia dakika za mwisho wakaibuka na habari ya kupora mke wa mtu, 2015 Lowassa wakaibuka na fisadi amekimbia mara anaumwa etc etc.
Kwa siasa za upinzani Tz mpaka leo, mtu pekee ambaye ameonesha kwa vitendo kwamba anaweza kuongoza kujenga Tz endelevu ni Tundu Lissu. Akiwekwa sokoni leo, kabla ya 2020 mchezo utakuwa tayari umeisha. Inaweza kuwa mtu lakini ni lazima kumuweka sokoni sasa.