Ungekua na akili kama ungekua unaorodhesha sheria au katiba anayovunja.kuongea mambo ya sheria au katiba bila vifungu ni UJUHA.Lete vifungu tujadili kwa hoja, toka kelele za kuvunjwa kwa katiba au sheria sijawahi ona sio mwanasheria uchwara wala wafuasi wake uchwara wakiorodhesha kuwa Jpm anavunja sheria namba flani na flani au kifungu flani anavunja na ukiwahoji utasikia kwani we huoni?Ndio majibu yao.Kama unaakili timamu lete vifungu anavyovunja tushindane kwa hoja.