Tundu Lissu karibu CCM

Ile sala ya kitubio ya Roman Catholic ina maneno kama haya;
Je, unamkataa Shetani na mambo yake yote? Muumini anajibu, "Ndiyo namkataa". Yaani unaulizwa kama unakataa mambo yote ya Shetani yawe mazuri au mabaya. Kwa hiyo hapa umemaanisha CCM na Sheitwan ngoma droo?
 
Chama cha watu wa chattle hicho na udikteta wa kisukuma.
 
Nataka nikija dar isimame kaka............in Tunduz voice
 
Baada ya kumkosakosa sasa mnaona njia iliyobaki ni hiyo. Unafiki hauna baraka.
 
Bangi mbichi mbaya sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…