Tundu Lissu: Kama risasi 16 za 'watu wasiojulikana' waliotumwa kuniua hazikuninyamazisha, kuninyang'anya mshahara hakutaweza kuninyamazisha

Mtampangia hadi kuoga nyie .. akili ndio hamna
 
Mpumbavu ni wewe na yule aliyetumia risasi nyingi bila kupata alichotarajia.
K¥ma wewe
 
Ndugai na vibaraka wake anajua TL anaendeleaje hadi useme amepona?... kumbe ukiwa mgonjwa unajifungia tu ndani hupashi misuli kwa mazoezi?
K¥ma wewe
 
Nimekuwa nikimsikiliza sana mheshimiwa TL. Ninakiri kuwa ni political strategist mzuri sana kwani hadi sasa anaelea kwenye dimbwi la huruma za watanzania na anazidi kukoleza moto ila sijui mwisho wa siku itakuwaje maana ameonyesha nia hadharani ya kugombea urais kupitia chama chake kabla ya wakati muafaka[Mh. Nyalandu alipokosoa taratibu za uteuzi kugombea nafasi hiyo aliambiwa anyamaze kwa kuwa chama kina taratibu zake na wakati ukifika maamuzi yatafanyika]
Nina wasiwasi iwapo chama chake kisipomteua kugombea itakuwaje au pengine atafanya
kama alivyofanya Mh. EL? I am just thinking out loud after a heavy meal!!!!!!
 
Tatizo la lissu ni ubinafsi anaangalia maslahi yake binafsi na sio maslahi ya taifa, marazote anaponyimwa kitu anadai mbona fulani anapewa? Huo ni utoto, badala ya kupigania yeye kama yeye anaanza kuingiza na wengine.
Amekuingizia??
 
Mnaomzungumzia mkono, kwani ameonekana cnn? Tatizo wakwenu kaonekana cnn, sasa ulazwe muhimbili uonekane kwenye kitchen party arusha halafu useme unaonewa? Kivipi?
CNN pamewauma kama watoto wa msimbe... na bado
 
Sasa km anaishi unalalamika nn!?Mwenzio TL amechoka kutoa tigo...maana pesa ya bepar haitoki buree...najua mnampenda rungu limeishamuangukia nakushauri wewe na mnaomuhurumia kamsaidieni kutoa tigooo
Serikali inapolilia misaada ya wahisani MAGUFULI kumbe huwa anatoa Tigo?
 
Ulikuwa utaelewa.
 
Mpumbavu ni wewe na yule aliyetumia risasi nyingi bila kupata alichotarajia.
K¥ma wewe
Mpumbavu ni wewe unayeamini mtu anaweza pigwa risasi 16 na bado akawa Hai. Au risasi za mabua. Wenye akili TIMAMU wako wana doubt juu ya hizo risasi ila WAPUMBAVU wanakata mauno kushangilia.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Hicho ndio kinawatesa hakuna kingine..
KANGI, MWIGULU nao hawajui risasi za mabua?
Mbona mnaficha cctv.. NDUGAI alikuwepo pale dodoma akishuhudia TL anapewa huduma ya kwanza nae hajui?
Ccm majinga kweli
 
Nashukuru sana umeliona hili pamoja na kuwa uko upande huo!
 
Inatiia simanzi....inatia uchungu! Hivi nyie ni binadamu wa ulimwengu upi ? Kama Mungu wa Eliiya aishivyo hamtakuwa na amani mioyoni mwenu mpaka mtubu dhambi za ukatili wenu kiasi hicho. Mnatengeneza Tanzania ambayo haijawai kuwako...mark my words..
 
Tatizo watu wasilo elewa ni hili. Wewe unapofanya kwaajili ya wengi ukiumiza watu Wengi aither kwa kutumwa au kwa kutaka popularity Mungu anashughulika na individual, kama kuweweseka utaweweseka peke yako kama kuhisi guilt itakupata peke yako kwasababu Mungu sio wa magurupu. Haya upandayo utayavuna maana watu wanaomba sana Mungu mtoa haki atafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…