Tundu Lissu: Kama risasi 16 za 'watu wasiojulikana' waliotumwa kuniua hazikuninyamazisha, kuninyang'anya mshahara hakutaweza kuninyamazisha

JIDONDOFILA

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
269
225
Jiwe anachekesha kweli ,sijui anafikiri yeye ni Mungu hata akimnyima mshahara wake atashindwa kuishi .Amefukuza na kutumbua wangapi kwa kuwaonea lakini mpaka Leo wanaishi wao na familia zao yeye sio Mungu ni rais tu na wala hafiki popote .

Sasa km anaishi unalalamika nn!?Mwenzio TL amechoka kutoa tigo...maana pesa ya bepar haitoki buree...najua mnampenda rungu limeishamuangukia nakushauri wewe na mnaomuhurumia kamsaidieni kutoa tigooo
 

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Jan 1, 2019
7,428
2,000
Hakuna majibu , nani wa kuandaa majibu zuzu anawapelekesha vibaya hata akiwaambia kufanya vitu vya ajabu wao wanafanya tu Hakuna kuhoji .
 

3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
6,050
2,000
Hatutakusaidia kwa ombi hilo - rudi bungeni ututumikie:-
(i). Mbona nguvu ya kwenda kwenye mikutano USA, UK unayo!
(ii). Unashindwa nini kuhudhuria vikao vya Bunge?
(iii). Kama ni mgonjwa kwa nini usibakie hospitali iwapo waandishi wa habari watakutaka wakukute hosipitalini - kitendo chako cha kuwafuata BBC, CNN, VOA, DW huoni kama unatukosea heshima na kutafisiriwa kama mtoro?

Lissu rudi jimboni, utalipwa stahiki zako zote!
Mtampangia hadi kuoga nyie .. akili ndio hamna
 

3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
6,050
2,000
Huyu mtu ni MPUMBAVU KIWANGO CHA SGR. Mambo ya Mahakama huwa anaita waandishi wa Habari, kila jambo ambalo kisheria linatakiwa lifafanuliwe kisheria na katiba ye anakimbilia tweeter au fb.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Mpumbavu ni wewe na yule aliyetumia risasi nyingi bila kupata alichotarajia.
K¥ma wewe
 

3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
6,050
2,000
Hoja iko palepale kwanini mtu alipwe posho wakati hayuko kazini? Kwanini posho ya dereva ilipwe wakati dereva hayuko ubelgiji? Na bosi wake hana gari huko? Kwanini alipwe posho ya mafuta wakati kalazwa wodini? Mbona watumishi wengine wakiugua posho zinasimama na analipwa nusu mshahara na badae anafutwa kazi?

Mgonjwa yuko wodini cnn alikuwa anatibiwa nini? Tena balozi wetu masilingi alienda akamwona hapohapo cnn.
Ndugai na vibaraka wake anajua TL anaendeleaje hadi useme amepona?... kumbe ukiwa mgonjwa unajifungia tu ndani hupashi misuli kwa mazoezi?
K¥ma wewe
 

Abunwasi

JF-Expert Member
Jun 25, 2009
5,497
2,000
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameibuka tena na waraka mwingie kuhusu kunyanganywa mshahara wake pamoja na posho zote
Tundu Lissu anasema alikuwa ameshasitishiwa mshahara wake huo kabala hata ya Spika Ndugai kutangaza Bungeni
Lissu ameeleza kuwa kama hawkumtingisha kwa kukosa kosa kumuua kwa risasi 16 basi hawatamtingisha kwa kumnyima mshahara wala posho
Tundu Lissu ameendelea kusema mshahara wake umesitishwa kwa chuki tu na wala hajavunja kanuni wala sheria yoyote ambayo angestahili kuondolewa mshahara na posho

Hado sasa hajaandikiwa barua yoyote ya kumueleza kuwa sababu ya mshahara wake kusitishwa

Tundu Lissu amemtaka Spika Ndugai kumrudishia mshahara wake huo kwa kuwa ameuondoa isivyo halali
pia amewaomba watanzania kumchangia ili aendelee na matibabu yake kama walivyofanya awali

Nimekuwa nikimsikiliza sana mheshimiwa TL. Ninakiri kuwa ni political strategist mzuri sana kwani hadi sasa anaelea kwenye dimbwi la huruma za watanzania na anazidi kukoleza moto ila sijui mwisho wa siku itakuwaje maana ameonyesha nia hadharani ya kugombea urais kupitia chama chake kabla ya wakati muafaka[Mh. Nyalandu alipokosoa taratibu za uteuzi kugombea nafasi hiyo aliambiwa anyamaze kwa kuwa chama kina taratibu zake na wakati ukifika maamuzi yatafanyika]
Nina wasiwasi iwapo chama chake kisipomteua kugombea itakuwaje au pengine atafanya
kama alivyofanya Mh. EL? I am just thinking out loud after a heavy meal!!!!!!
 

3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
6,050
2,000
Tatizo la lissu ni ubinafsi anaangalia maslahi yake binafsi na sio maslahi ya taifa, marazote anaponyimwa kitu anadai mbona fulani anapewa? Huo ni utoto, badala ya kupigania yeye kama yeye anaanza kuingiza na wengine.
Amekuingizia??
 

3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
6,050
2,000
Mnaomzungumzia mkono, kwani ameonekana cnn? Tatizo wakwenu kaonekana cnn, sasa ulazwe muhimbili uonekane kwenye kitchen party arusha halafu useme unaonewa? Kivipi?
CNN pamewauma kama watoto wa msimbe... na bado
 

3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
6,050
2,000
Sasa km anaishi unalalamika nn!?Mwenzio TL amechoka kutoa tigo...maana pesa ya bepar haitoki buree...najua mnampenda rungu limeishamuangukia nakushauri wewe na mnaomuhurumia kamsaidieni kutoa tigooo
Serikali inapolilia misaada ya wahisani MAGUFULI kumbe huwa anatoa Tigo?
 

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
3,810
2,000
TL alishambuliwa kwa risasi 16 Wala haumwi Busha mkuu.
Swala la kuzurura ni kukosa hoja kwa ccm na serikali yake ambayo inajiita nchi.
Nani kiongozi wa bunge au serikali anajua maendeleo yako kama mgonjwa aje aseme amepona anazurura?
Hamtaki afanye mazoezi.??. . Uchunguzi umewashinda mnakuja na hoja ya anazurura kweli?.
Ulikuwa utaelewa.
 

MISULI

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
7,389
2,000
Mpumbavu ni wewe na yule aliyetumia risasi nyingi bila kupata alichotarajia.
K¥ma wewe
Mpumbavu ni wewe unayeamini mtu anaweza pigwa risasi 16 na bado akawa Hai. Au risasi za mabua. Wenye akili TIMAMU wako wana doubt juu ya hizo risasi ila WAPUMBAVU wanakata mauno kushangilia.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 

3llyEmma

JF-Expert Member
Oct 23, 2017
6,050
2,000
Mpumbavu ni wewe unayeamini mtu anaweza pigwa risasi 16 na bado akawa Hai. Au risasi za mabua. Wenye akili TIMAMU wako wana doubt juu ya hizo risasi ila WAPUMBAVU wanakata mauno kushangilia.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Hicho ndio kinawatesa hakuna kingine..
KANGI, MWIGULU nao hawajui risasi za mabua?
Mbona mnaficha cctv.. NDUGAI alikuwepo pale dodoma akishuhudia TL anapewa huduma ya kwanza nae hajui?
Ccm majinga kweli
 

sacred wall

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
770
1,000
Hilo liko wazi wabunge siku zote wanashinda kwenye miradi yao na mshahara unaingia kama kawaida.

Wabunge kibao wanaishi Dsm sasa hiyo kazi uko majimboni wanafanya saa ngapi?!!

Kuzuia mshahara wa Lisu si sawa kwa sababu mbunge siyo mfanyakazi ndio maana hata vyeti vyao havijahakikiwa!

Maendeleo hayana vyama
Nashukuru sana umeliona hili pamoja na kuwa uko upande huo!
 

Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
4,944
1,500
Inatiia simanzi....inatia uchungu! Hivi nyie ni binadamu wa ulimwengu upi ? Kama Mungu wa Eliiya aishivyo hamtakuwa na amani mioyoni mwenu mpaka mtubu dhambi za ukatili wenu kiasi hicho. Mnatengeneza Tanzania ambayo haijawai kuwako...mark my words..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom