Rudia kusoma ili uelewe vizuri nilichoandika.Kwamba tararibu zinataka mbunge akipigwa risasi 16 mchana wa tarehe 7 Septemba ndo inakuwa kibali cha spika we taahira?
Rudia kusoma ili uelewe vizuri nilichoandika.Kwamba tararibu zinataka mbunge akipigwa risasi 16 mchana wa tarehe 7 Septemba ndo inakuwa kibali cha spika we taahira?
Rudia wewe!Rudia kusoma ili uelewe vizuri nilichoandika.
Ona sasa mjinga mwingine..wajinga mnahitaji kuelimishwa sio mnaanza kutukana.Wewe ndio mjinga Shenzi kabisa
Mtampangia hadi kuoga nyie .. akili ndio hamnaHatutakusaidia kwa ombi hilo - rudi bungeni ututumikie:-
(i). Mbona nguvu ya kwenda kwenye mikutano USA, UK unayo!
(ii). Unashindwa nini kuhudhuria vikao vya Bunge?
(iii). Kama ni mgonjwa kwa nini usibakie hospitali iwapo waandishi wa habari watakutaka wakukute hosipitalini - kitendo chako cha kuwafuata BBC, CNN, VOA, DW huoni kama unatukosea heshima na kutafisiriwa kama mtoro?
Lissu rudi jimboni, utalipwa stahiki zako zote!
Mpumbavu ni wewe na yule aliyetumia risasi nyingi bila kupata alichotarajia.Huyu mtu ni MPUMBAVU KIWANGO CHA SGR. Mambo ya Mahakama huwa anaita waandishi wa Habari, kila jambo ambalo kisheria linatakiwa lifafanuliwe kisheria na katiba ye anakimbilia tweeter au fb.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Hayakuhusu fisi-maji weweNyumbu watachanga mie sisumbuki - arudi jimboni wafanye kazi
Imeandikwa "Auaye kwa upanga nae atakufa kwa upanga".. mwisho wa kunukuuImeandikwa "Asiyefanya kazi na asile", mwisho wa kunukuu.
Ndugai na vibaraka wake anajua TL anaendeleaje hadi useme amepona?... kumbe ukiwa mgonjwa unajifungia tu ndani hupashi misuli kwa mazoezi?Hoja iko palepale kwanini mtu alipwe posho wakati hayuko kazini? Kwanini posho ya dereva ilipwe wakati dereva hayuko ubelgiji? Na bosi wake hana gari huko? Kwanini alipwe posho ya mafuta wakati kalazwa wodini? Mbona watumishi wengine wakiugua posho zinasimama na analipwa nusu mshahara na badae anafutwa kazi?
Mgonjwa yuko wodini cnn alikuwa anatibiwa nini? Tena balozi wetu masilingi alienda akamwona hapohapo cnn.
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameibuka tena na waraka mwingie kuhusu kunyanganywa mshahara wake pamoja na posho zote
Tundu Lissu anasema alikuwa ameshasitishiwa mshahara wake huo kabala hata ya Spika Ndugai kutangaza Bungeni
Lissu ameeleza kuwa kama hawkumtingisha kwa kukosa kosa kumuua kwa risasi 16 basi hawatamtingisha kwa kumnyima mshahara wala posho
Tundu Lissu ameendelea kusema mshahara wake umesitishwa kwa chuki tu na wala hajavunja kanuni wala sheria yoyote ambayo angestahili kuondolewa mshahara na posho
Hado sasa hajaandikiwa barua yoyote ya kumueleza kuwa sababu ya mshahara wake kusitishwa
Tundu Lissu amemtaka Spika Ndugai kumrudishia mshahara wake huo kwa kuwa ameuondoa isivyo halali
pia amewaomba watanzania kumchangia ili aendelee na matibabu yake kama walivyofanya awali
Amekuingizia??Tatizo la lissu ni ubinafsi anaangalia maslahi yake binafsi na sio maslahi ya taifa, marazote anaponyimwa kitu anadai mbona fulani anapewa? Huo ni utoto, badala ya kupigania yeye kama yeye anaanza kuingiza na wengine.
CNN pamewauma kama watoto wa msimbe... na badoMnaomzungumzia mkono, kwani ameonekana cnn? Tatizo wakwenu kaonekana cnn, sasa ulazwe muhimbili uonekane kwenye kitchen party arusha halafu useme unaonewa? Kivipi?
Serikali inapolilia misaada ya wahisani MAGUFULI kumbe huwa anatoa Tigo?Sasa km anaishi unalalamika nn!?Mwenzio TL amechoka kutoa tigo...maana pesa ya bepar haitoki buree...najua mnampenda rungu limeishamuangukia nakushauri wewe na mnaomuhurumia kamsaidieni kutoa tigooo
Ulikuwa utaelewa.TL alishambuliwa kwa risasi 16 Wala haumwi Busha mkuu.
Swala la kuzurura ni kukosa hoja kwa ccm na serikali yake ambayo inajiita nchi.
Nani kiongozi wa bunge au serikali anajua maendeleo yako kama mgonjwa aje aseme amepona anazurura?
Hamtaki afanye mazoezi.??. . Uchunguzi umewashinda mnakuja na hoja ya anazurura kweli?.
Uwa unacomment pumba tuKama hafati sheria walizonazo huko Bungeni.. anyamaze tu.
Blah blah zote hizo anafikiri wenye chama watampa mwanya wa kuwania uraisi..
Tangu aombe ombe pesa kwa kudanganya vipi.. bado anazo? Kama gangwe kweli asingelia lia tena..
Mpumbavu ni wewe unayeamini mtu anaweza pigwa risasi 16 na bado akawa Hai. Au risasi za mabua. Wenye akili TIMAMU wako wana doubt juu ya hizo risasi ila WAPUMBAVU wanakata mauno kushangilia.Mpumbavu ni wewe na yule aliyetumia risasi nyingi bila kupata alichotarajia.
K¥ma wewe
Hicho ndio kinawatesa hakuna kingine..Mpumbavu ni wewe unayeamini mtu anaweza pigwa risasi 16 na bado akawa Hai. Au risasi za mabua. Wenye akili TIMAMU wako wana doubt juu ya hizo risasi ila WAPUMBAVU wanakata mauno kushangilia.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Nashukuru sana umeliona hili pamoja na kuwa uko upande huo!Hilo liko wazi wabunge siku zote wanashinda kwenye miradi yao na mshahara unaingia kama kawaida.
Wabunge kibao wanaishi Dsm sasa hiyo kazi uko majimboni wanafanya saa ngapi?!!
Kuzuia mshahara wa Lisu si sawa kwa sababu mbunge siyo mfanyakazi ndio maana hata vyeti vyao havijahakikiwa!
Maendeleo hayana vyama