Tundu Lissu kama Frank Mugisha wa Uganda

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
5,745
Reaction score
4,852
Tunajiuliza juu ya ziara za Mh. Lissu nje ya Ubelgiji anakopewa matibabu. tunajiuliza anatoa wapi pesa za kufanya ziara nchi zote hizo, ukweli ni kwamba kwa nchi za Ulaya na Amerika huwezi kukosa pesa za ziara kama utaonyesha kutetea maslahi yao. Lisu amewatetea mara zote wakiguswa ktk migodi na hivi karibuni alionyesha wazi kwamba hayuko tayari kuukana ushoga ndani ya TZ. Kwao hilo ni mtaji wa kumbeba Lissu kama mtetezi anayestahili kuzungushwa duniani. Yawezekana kweli hata Vatican atapelekwa.

Kuna kijana wa uganda anayeitwa Frank Mugisha ambaye ni shoga. Kamugisha alijitangaza ushoga wake na akatiwa kibano na serikali ya Uganda. Alipowaponyoka uganda, mara moja alipata msaada mkubwa kwa serikali za ulaya na Amerika. akazungushwa nchi kadhaa akisimulia haki yake ya kuwa shoga. Hiyo ndiyo kawaida ya watu wa magharibi. Hutamuona Lissu au Kamugisha akienda China au nchi yoyote ya Asia au South-East asia. Bahati mbaya Mugisha kama LIssu alitukana Uganda, Afrika na hata dini za Kikristo Uganda.

Lissu sasa hivi kisha pata pesa nzuri na ndiyo maana hajli sana kuondolewa ubunge, ingawa wengine tunazubaishwa na kuamini anatetea haki zetu, zipi? Tutegemee kumuona Lissu akizungushwa. Hapa siyo Demokrasia au la, wameshaona umuhimu wa kumuzungusha, Ni mtetezi wa maslahi yao ktk migodi na ushoga.
 
Yeap! Hisia yangu pia naiona kama amekuwa limbukeni wa matatizo yake. Pesa mbaya na utaona kama tulivyo Afrika anatembea na pochi kubwa kiunoni maana hana credit card. Lakini kikubwa pamoja na wenzake kumshabikia na kumfanya kama billboard waelewe yeye sasa anajisikia ni mkubwa kuliko wao, ni mkubwa kuliko CHADEMA. Hana maana ktk ubora wa siasa zetu. Kila anakokwenda ni kusimulia alipigwa risasi thelathini....
 
Kwani ni uongo hakupigwa risasi na hakuna uchunguzi uluifanyika wala hakupata msaada wa matibabu akiwa kama mbunge.
 
Lissu anatembea duniani kuwasomea kitabu kilichoandikwa na watesi wake. Kumfananisha na huyo wa Uganda utakuwa unafikiri kama wale waliompiga risasi. Bahati mbaya zaidi anavyojaribu kuteswa ndio story inavonoga duniani.
Anayemuta kumhoji ndio anaempa nauli. Ukimnyima pesa ya matibabu watajitokeza watanzania watamlipia.
POLE SANA KUUMIA ROHO KUMUONA BADO ANAISHI BAADA YA RISASI 16. NA HIZI RISASI 16 NDIO ZINAZOFANYA AITWE ANGALAU WAMUONE, KAMA SHARK ALIVYOSEMA " you servived 16 bullets!!???"
Tunajiuliza juu ya ziara za Mh. Lissu nje ya Ubelgiji anakopewa matibabu. tunajiuliza anatoa wapi pesa za kufanya ziara nchi zote hizo, ukweli ni kwamba kwa nchi za Ulaya na Amerika huwezi kukosa pesa za ziara kama utaonyesha kutetea maslahi yao. Lisu amewatetea mara zote wakiguswa ktk migodi na hivi karibuni alionyesha wazi kwamba hayuko tayari kuukana ushoga ndani ya TZ. Kwao hilo ni mtaji wa kumbeba Lissu kama mtetezi anayestahili kuzungushwa duniani. Yawezekana kweli hata Vatican atapelekwa.

Kuna kijana wa uganda anayeitwa Frank Mugisha ambaye ni shoga. Kamugisha alijitangaza ushoga wake na akatiwa kibano na serikali ya Uganda. Alipowaponyoka uganda, mara moja alipata msaada mkubwa kwa serikali za ulaya na Amerika. akazungushwa nchi kadhaa akisimulia haki yake ya kuwa shoga. Hiyo ndiyo kawaida ya watu wa magharibi. Hutamuona Lissu au Kamugisha akienda China au nchi yoyote ya Asia au South-East asia. Bahati mbaya Mugisha kama LIssu alitukana Uganda, Afrika na hata dini za Kikristo Uganda.

Lissu sasa hivi kisha pata pesa nzuri na ndiyo maana hajli sana kuondolewa ubunge, ingawa wengine tunazubaishwa na kuamini anatetea haki zetu, zipi? Tutegemee kumuona Lissu akizungushwa. Hapa siyo Demokrasia au la, wameshaona umuhimu wa kumuzungusha, Ni mtetezi wa maslahi yao ktk migodi na ushoga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujui dunia ya magharibi inataka nini toka afrika. Wanachokitaka Lissu hawezi kuwapa. KUsimulia idadi ya risasi, haiwahusu!
 
Kwani ni uongo hakupigwa risasi na hakuna uchunguzi uluifanyika wala hakupata msaada wa matibabu akiwa kama mbunge.
Ni kweli, tena kweli tupu! Lakini anaowasimulia siyo wanachokitafuta kwake.
 
Tunajiuliza juu ya ziara za Mh. Lissu nje ya Ubelgiji anakopewa matibabu. tunajiuliza anatoa wapi pesa za kufanya ziara nchi zote hizo, ukweli ni kwamba kwa nchi za Ulaya na Amerika huwezi kukosa pesa za ziara kama utaonyesha kutetea maslahi yao. Lisu amewatetea mara zote wakiguswa ktk migodi na hivi karibuni alionyesha wazi kwamba hayuko tayari kuukana ushoga ndani ya TZ. Kwao hilo ni mtaji wa kumbeba Lissu kama mtetezi anayestahili kuzungushwa duniani. Yawezekana kweli hata Vatican atapelekwa.

Kuna kijana wa uganda anayeitwa Frank Mugisha ambaye ni shoga. Kamugisha alijitangaza ushoga wake na akatiwa kibano na serikali ya Uganda. Alipowaponyoka uganda, mara moja alipata msaada mkubwa kwa serikali za ulaya na Amerika. akazungushwa nchi kadhaa akisimulia haki yake ya kuwa shoga. Hiyo ndiyo kawaida ya watu wa magharibi. Hutamuona Lissu au Kamugisha akienda China au nchi yoyote ya Asia au South-East asia. Bahati mbaya Mugisha kama LIssu alitukana Uganda, Afrika na hata dini za Kikristo Uganda.

Lissu sasa hivi kisha pata pesa nzuri na ndiyo maana hajli sana kuondolewa ubunge, ingawa wengine tunazubaishwa na kuamini anatetea haki zetu, zipi? Tutegemee kumuona Lissu akizungushwa. Hapa siyo Demokrasia au la, wameshaona umuhimu wa kumuzungusha, Ni mtetezi wa maslahi yao ktk migodi na ushoga.

Mtatunga uongo kila namna kuhalalisha ukatili wa kinyama mliomfanƴia TL!

Uzuri waTZ wameshajua, maneno na
matendo ni ƴa uharibifu.

Mungu ni mwema ametuonƴesha nƴia ni mbwa mwitu mliojivisha ngozi ƴa konɗoo.
 
Ninyi akina nani? Akina Lissu au familia ya Lissu?
 
Kwani ni uongo hakupigwa risasi na hakuna uchunguzi uluifanyika wala hakupata msaada wa matibabu akiwa kama mbunge.
Wabongo ni wanafiki na malimbukeni, hawatumii akili na utashi wao. Lisu lazima aileze duniani kweli na uhalisia wa kinachoendelea Tanzania. Pia hiyo ni sehemu ya kimkakati ya ulinzi: kama serikali imeshindwa kumhakikishia usalama directly basi ifanye hivyo indirectly kwa kulinda heshima yake kimataifa.
 
Kilaza mtoa thread ..Lissu sio size yako..swali la ushoga lilikuwa very trick...yeye alichosema ni katiba na mambo ya faragha..unafikiri Lissu ni mbumbumbu kama Mkwere aliwahi kuulizwa swali kama hilo CNN akajibu sio utamaduni wetu..wakati katiba haijaelezea chochote..mwana mpumbavu ni aibu kwa baba yake
 
Mtatunga uongo kila namna kuhalalisha ukatili wa kinyama mliomfanƴia TL!

Uzuri waTZ wameshajua, maneno na
matendo ni ƴa uharibifu.

Mungu ni mwema ametuonƴesha nƴia ni mbwa mwitu mliojivisha ngozi ƴa konɗoo.
sisi huku field wala hawamjui huyo mtu.
 
sisi huku field wala hawamjui huyo mtu.
Kuna tatizo!? kwani lazima kila mtu akujue, wee enɗelea na majuƙumu ƴaƙo huko uliƙo! Maana haɗiɗu za rejea za kazi ƴako huko field hatuzijui. Yawezekana hata comment unazotoa nɗo maelekezo yenyewe!
 
Kwani ni uongo hakupigwa risasi na hakuna uchunguzi uluifanyika wala hakupata msaada wa matibabu akiwa kama mbunge.
Kwa mwananchi wa kawaida nilidhani tugekataa ujinga wa kutibiwa kama Mbunge. Mtu atibiwe kama m-TZ mwingine. Haijalishi ni haki yake lakini, hao anaowaambia anaamini watamsaidia? Mtoto hushitaki kila kitu kwa mama au baba je, kwa mtu mzima kwa nini hachagui mahali pa kushitaki.

Mtaji wa Lissu ni watanzania. Angeshitaki kwa watanzania maana ndo wanaoamua nani wa kumpigia kura. Rais Magufuli ni rais siyo kwa kupendwa na BBC au Washington University, unawezaje kumshitaki kwa watu ambao hawakumchagua. Nashangaa kuona bado JF kuna watu hawana ushauri wa maana kwa Lissu badala yake munatoa pongezi kila akiongea na mzungu. Munazomea eti tu Lissu kaongea na mzungu fulani.
 
Ingependeza zaidi kama ungeuliza na fedha za matibabu anakozipata, na ungeuliza na wale waliompiga risasi ni nani?.
Ungekuwa na ufahamu wa dunia, ungeelewa kwamba ulaya philanthropy iko juu sana, lakini hawako tayari kupoteza pesa zao kwa mwanasiasa.
 
Mnyiramba anawaendesha sana eeehhh tuachane nae tupige kazi HAPA KAZI TU

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom