FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,789
- 10,577
Mtanzania na akili yako unaweza kusema ushoga ni swali tricky? Ukishasema hivyo tu, wenye akili tunajua wewe bwabwa!Kilaza mtoa thread ..Lissu sio size yako..swali la ushoga lilikuwa very trick...yeye alichosema ni katiba na mambo ya faragha..unafikiri Lissu ni mbumbumbu kama Mkwere aliwahi kuulizwa swali kama hilo CNN akajibu sio utamaduni wetu..wakati katiba haijaelezea chochote..mwana mpumbavu ni aibu kwa baba yake
hapa hamna kumung'unya maneno unasema wazi kabisaMtanzania na akili yako unaweza kusema ushoga ni swali tricky? Ukishasema hivyo tu, wenye akili tunajua wewe bwabwa!
Yawezekana kweli hata Vatican atapelekwa.