sergio 5 JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 9,727 Reaction score 11,109 Oct 9, 2025 #1 Jana mahakamani
To yeye JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 19,167 Reaction score 34,304 Oct 9, 2025 #3 Wanapeana humohumo,wafungwa huwa wanasoma magazeti toka kwa maaskari gereza...Kiufupi maaskari gereza ni nusu wafungwa🥴
Wanapeana humohumo,wafungwa huwa wanasoma magazeti toka kwa maaskari gereza...Kiufupi maaskari gereza ni nusu wafungwa🥴
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,828 Reaction score 41,371 Oct 9, 2025 #4 Tuseme kwamba anapata habari zinazovuma uraiani za kina Le capitaine Tesha na Mcuba Polepole?
Malaika wa Misukosuko JF-Expert Member Joined Jul 16, 2021 Posts 2,820 Reaction score 8,499 Oct 9, 2025 #5 Askari magereza wengi huwa ni usalama hivyo hivyo pia baadhi ya Wafungwa huwa ni usalama
technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,553 Reaction score 57,843 Oct 9, 2025 #6 Sasa wazalendo watashindwaje kumpa taarifa?
Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 6,157 Reaction score 9,866 Oct 9, 2025 #7 Ni mfumo ndani ya mfumo
Msolo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2008 Posts 3,829 Reaction score 5,269 Oct 9, 2025 #8 Malaika wa Misukosuko said: Askari magereza wengi huwa ni usalama hivyo hivyo pia baadhi ya Wafungwa huwa ni usalama Click to expand... Wote wanakuwa kituo cha kazi.
Malaika wa Misukosuko said: Askari magereza wengi huwa ni usalama hivyo hivyo pia baadhi ya Wafungwa huwa ni usalama Click to expand... Wote wanakuwa kituo cha kazi.
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 7,442 Reaction score 12,721 Oct 9, 2025 #10 Waweke rafiki zako kalibu lakini maadui kalibu zaidi, ukielewa hilo hutajisumbua zaidi.
M Mtemi Mbojo JF-Expert Member Joined Apr 27, 2017 Posts 2,002 Reaction score 3,331 Oct 9, 2025 #11 Itakuwq hao hao Maaskari na hata Mawakili/wageni wanaomtembelea
Mike A Mugilanetza JF-Expert Member Joined Jul 24, 2023 Posts 467 Reaction score 906 Oct 9, 2025 #12 Mbaga Jr tisi wa gonja funguka mkuu
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 13,189 Reaction score 20,636 Oct 9, 2025 #13 Malaika wa Misukosuko said: Askari magereza wengi huwa ni usalama hivyo hivyo pia baadhi ya Wafungwa huwa ni usalama Click to expand... Usalama gerezani anafanya nini
Malaika wa Misukosuko said: Askari magereza wengi huwa ni usalama hivyo hivyo pia baadhi ya Wafungwa huwa ni usalama Click to expand... Usalama gerezani anafanya nini
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 15,782 Reaction score 36,013 Oct 9, 2025 #14 EvilSpirit said: Usalama gerezani anafanya nini Click to expand... Magereza ni taasisi nyeti laZima TISS wawepo humo
EvilSpirit said: Usalama gerezani anafanya nini Click to expand... Magereza ni taasisi nyeti laZima TISS wawepo humo
Sozo_ JF-Expert Member Joined Jun 12, 2022 Posts 1,692 Reaction score 2,531 Oct 9, 2025 #15 Itakuwa humohumo alipo
M Mpwimbe JF-Expert Member Joined Oct 13, 2023 Posts 4,910 Reaction score 10,881 Oct 9, 2025 #16 sergio 5 said: Jana mahakamaniView attachment 3485907 Click to expand... Siyo kila mtu ni MUOVU hata hao walioko kwenye MFUMO.
sergio 5 said: Jana mahakamaniView attachment 3485907 Click to expand... Siyo kila mtu ni MUOVU hata hao walioko kwenye MFUMO.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 43,786 Reaction score 103,680 Oct 9, 2025 #17 Mike A Mugilanetza said: Mbaga Jr tisi wa gonja funguka mkuu Click to expand... Inasikitisha sana mkuu 😂
Mike A Mugilanetza said: Mbaga Jr tisi wa gonja funguka mkuu Click to expand... Inasikitisha sana mkuu 😂
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 359,969 Reaction score 828,706 Oct 9, 2025 #18 sergio 5 said: Jana mahakamaniView attachment 3485907 Click to expand...
Mike A Mugilanetza JF-Expert Member Joined Jul 24, 2023 Posts 467 Reaction score 906 Oct 9, 2025 #20 Mbaga Jr said: Inasikitisha sana mkuu 😂 Click to expand... Kwahy ukisikitka Lisu anapata Taarifa cyo ?
Mbaga Jr said: Inasikitisha sana mkuu 😂 Click to expand... Kwahy ukisikitka Lisu anapata Taarifa cyo ?