The Magnifico
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 427
- 1,579
Hii miamba mitatu ndiyo kwa sasa ina "Public Trust" kubwa nchi hii kuliko yeyote yule katika nyakati hizi. Hawa ndiyo imani ya wananchi wengi iko kwao, neno lao lina nguvu kushinda yeyote yule!
Hawa ndiyo the only "Checkmate" wa kututoa kwenye hili sekeseke na kutuliza hali ya hewa ya nchi.
Hii miamba ni vizuri ingeachiwa ili tuponye nchi, haina maana kuendelea kuwashikilia na wengine waendelee kuishi mafichoni wakati ndiyo wenye ambao wamekamatia kura ya turufu ya kubalance mambo.