Tundu Lissu hakujua kuwa wazungu kwa sasa hawaweki ''mayai yote'' katika kapu moja!

Alichoandika ndio ukweli,,kumbuka katika statement zao wazungu walisisitiza pande zote zikae na kufijia muafaka,,ACT hawakutaka kujidanganya na waluchukua oppotunity iliyojitokeza,,CDM wakisusa wanasubiri ICC
Serikali ndio wakosefu na wanahusika kwa kushindwa kufanya uchaguzi mkuu na wa serikali za mitaa. Upinzani unasubiri kuona Je dunia inakemea hili? Jibu ni hakuna. Sasa kilichobaki ni kusubiri muda tu Ukifika utaona hasira zao.
 
Mkuu;
Nazidi kusema, kwa uliyoandika hapa inaonyesha huzijui vizuri siasa! Yaani una copy na ku-paste siasa za mashariki ya mbali na kuzileta kwenye siasa za Tanzania?

Hata siasa za Uganda huwezi kuzilinganisha na siasa za Tanzania.

Jielimishe kwanza kabla hujaanza kuonyesha uwezo wako mdogo katika kuchambua siasa za ndani na nje ya nchi!

Ulichoandika hapa kinaitwa schoolboy politics!
Kwa mtazamo wako ni sawa. Si wote wenye uwezo wa kusoma uelekeo wa jambo. Kuni, mafuta ya petrol kiberiti vyote vipo eneo la tukio hata mlipuaji kaisha fika na kibiriti kipo mikononi na njiti ipo vidoleni. Kinachosubiriwa ni uelekeo wa upepo tu.
Siku ikifika nitakuambia.
 
Siasa za kimataifa zimebadilika sana tokea kuibuka kwa taifa la China kiuchumi na kutishia uchumi wa muungano wa nchi za Ulaya na Marekani.

Kuibuka kiuchumi kwa nchi ya China kumesababisha mzani wa maamuzi kutoka nchi za Ulaya na Marekani kwa nchi zenye uchumi wa chini na kati kama Tanzania yafanyike kwa uangalifu mkubwa.

Kuibuka kwa China kumewafanya wazungu wa nchi za Ulaya na Marekani waanza kufanya siasa za ''kutofungamana na upande wowote'' ndani ya vyama vya siasa katika nchi hasa za Afrika huku wakitumia muktadha wa kibiashara unaosema, ''usiweke mayai yote kwenye kapu moja''. Hii ina maana kwamba usiwekeze katika eneo moja pekee. Unatakiwa kutawanya uwekezaji wako katika maeneo tofauti tofauti ili uwekezaji mmoja ukianguka mwingine utaendelea kukuzalishia.

Wanasiasa wa nchi za Ulaya na Marekani kwa sasa wanajua dhana ya ''World Order'' haipo tena.

Wazungu walipomwambia Tundu Lissu wako nyuma yake na wakamsafirisha katika nchi mbali mbali za Ulaya na Marekani kutoa mihadhara inayohusu siasa za Tanzania ili apate uungwaji mkono, alidhani wazungu wameweka ''mayai yao yote'' kwenye kapu lake!

Tundu Lissu kwa kutojua siasa za sasa za nchi za Ulaya na Marekani, alianza kutamba huku akiiambia dunia, ''Western world is done with Magufuli regime''! Magufuli regime has been isolated not only in EA and SADC but in all democratic world!

Kwa kuamini wazungu wameweka ''mayai yao yote'' kwenye kapu lake, Tundu Lissu akaingia kwenye kampeni nchini akijua wanasiasa wa nchi za Ulaya na Marekani watahakikisha utawala wa Rais Magufuli unaangamizwa kwa yeye kuwa Rais au kutokuwa Rais kwa sababu wanasiasa wa nchi za Ulaya na Marekani wako nyuma yake.

Siku ya uapisho wa Rais Magufuli ilikuwa ni siku iliyotuma ujumbe kwa Lissu kuwa ''Western World is not done with Magufuli regime''. Mabalozi wote wa nchi za Ulaya na Marekani walihudhuria sherehe za uapisho wa Rais Magufuli kule Dodoma. Na kwa kutaka kuonyesha kuwa walihudhuria, walitoa official statement kuzieleza nchi zao.

Kwa sasa tunaona mabalozi wa nchi za Ulaya na Marekani wakianza kufanya kazi na serikali ya Rais Magufuli kwa niaba ya serikali za nchi zao. Juzi tulimuona balozi wa nchi za Ufaransa akitoa pongezi kwa Rais Magufuli na kuahidi ushirikiano wa karibu.

Mabalozi wengine wameanza kutoa pongezi kwa vyama vya siasa vinavyoungana na serikali ya Tanzania ili kuwa sehemu ya serikali katika kuwatumikia wananchi.

Kwa maana nyingine, Kushindwa kwa Tundu Lissu hata kuwashawishi wananchi kuandamana, wanasiasa wa nchi za Ulaya na Marekani walijua mayai waliyoweka kwenye kapu la Tundu Lissu yamevunjika yote na hapo hapo wakageukia biashara nyingine ya mayai waliyoweka kwenye kapu la Rais Magufuli.

Wazungu walichofanya ni kumrudisha Tundu Lissu kule ambako walimtoa (Ubelgiji) ili wasije wakapata lawama kama atapatwa na matatizo nchini yatakayowafanya wao kuhojiwa kwa nini walimleta Tanzania!

Kuna baadhi ya watu eti wameaminishwa na wanasubiri serikali ya Tanzania kuwekewa vikwazo na Rais Magufuli kufikiswa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC)! Hawa wajinga watasubiri sana!

Yanayompata Tundu Lissu yalimpata pia Maalim Seif mwaka 2015 baada ya kuamini kuwa wazungu wameweka ''mayai yao yote'' katika kapu lake! Maalim Seif akagomea Uchaguzi wa marudio akitegemea wazungu watakuwa nyuma yake. Baadaye alizunguka duniani akiwaomba wazungu watimize ahadi zao lakini wao wakamwambia hatuwezi kufanya hivyo kwa sababu Zanzibar kwa sasa kuna amani.

Maalim Seif ametumia uzoefu alioupata mwaka 2015 kutatua tatizo ambalo lilijitokeza tena katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Wakati akihojiwa na Clouds TV baada ya kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif amesema uzoefu waliopata mwaka 2015 umewafunza kuwa huwezi kususia kila kitu kwa sababu kususia huko kuliwaathiri sana kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Wakati akihojiwa na Radio ya Sauti ya Amerika (VOA), Tundu alisema kwa sasa wazungu wanamuambia Tanzania kuna amani lakini yeye anawaambia hakuna amani. Wazungu wanachomwambia kwa sasa Tundu Lissu ndicho kile kile walichokuwa wanamwambia Maalim Seif baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 aliposusia uchaguzi.

Haishangazi kuona Tundu Lissu anawashambulia sana wale alidhani wako naye ambao wanaungana na serikali ya Tanzania au Serikali ya Mapinduzi, Kwake wanaofanya hivyo wanakuwa wanaua hoja zake kwa wazungu kuwa Tanzania hakuna amani.

Tundu Lissu ajiandae kisaikologia, Ninajua sio muda mrefu CHADEMA wataanza kupokea ruzuku ya serikali itokanayo na kura za wabunge ambazo Tundu Lissu anadai hazitambui! Hata wabunge wa viti maalum waliopitishwa na ''kamati kuu'' wataenda bungeni!

Niliwahi kusema, kwa hulka za Wazungu, Tundu Lissu atakuwa kama mwanasiasa za Venezuela, Juan Guaido. Ukitaka kusoma mada ya Juan Guaido, Gonga link hii;

Kadri siku zinavyoenda, Tundu Lissu atazidi kugombana na wanasiasa wengi anaodhani wanamsaliti bila kujua tatizo ni yeye kudhani kuwa wazungu waliweka ''mayai yao yote'' katika kapu lake!

Lissu bado ni Lulu kwa wazungu katika kufanikisha malengo yao. Wenzetu hawajali iwe ni CCM au chama kingine ilimradi wanapata wanachokihitaji hawana matatizo.

Ili wafikie hilo lazima wawe na mwali wa kujinadi naye ili mke wa kwanza awe na heshima na kupunguza makali yake. Usiponielewa hapo, nenda kwa mganga wa kienyeji.
 
Wananchi tuko na Tundu Lissu na rafiki zetu wazungu.
Kitanukishwa siku si nyingi subirini msiwe na munkari!
 
Leo nimeona kamisheni ya juu ya Hungary wanasainishana msaada wa kimasomo wa Watanzania Hungary angali wana barakoa unalizungumziaje hili Je TZ kuna Corona au Lissu anahusika?
Uamuzi ni wako kuwaamini wanasayansi au wanasiasa
 
Leo nimeona kamisheni ya juu ya Hungary wanasainishana msaada wa kimasomo wa Watanzania Hungary angali wana barakoa unalizungumziaje hili Je TZ kuna Corona au Lissu anahusika?
Mkuu;
Hata wewe unaweza kuvaa barakoa kama unapenda! Hii haina maana kuwa kuna corona au hakuna bali ni uamuzi wako!
 
Siasa za kimataifa zimebadilika sana tokea kuibuka kwa taifa la China kiuchumi na kutishia uchumi wa muungano wa nchi za Ulaya na Marekani.

Kuibuka kiuchumi kwa nchi ya China kumesababisha mzani wa maamuzi kutoka nchi za Ulaya na Marekani kwa nchi zenye uchumi wa chini na kati kama Tanzania yafanyike kwa uangalifu mkubwa.

Kuibuka kwa China kumewafanya wazungu wa nchi za Ulaya na Marekani waanza kufanya siasa za ''kutofungamana na upande wowote'' ndani ya vyama vya siasa katika nchi hasa za Afrika huku wakitumia muktadha wa kibiashara unaosema, ''usiweke mayai yote kwenye kapu moja''. Hii ina maana kwamba usiwekeze katika eneo moja pekee. Unatakiwa kutawanya uwekezaji wako katika maeneo tofauti tofauti ili uwekezaji mmoja ukianguka mwingine utaendelea kukuzalishia.

Wanasiasa wa nchi za Ulaya na Marekani kwa sasa wanajua dhana ya ''World Order'' haipo tena.

Wazungu walipomwambia Tundu Lissu wako nyuma yake na wakamsafirisha katika nchi mbali mbali za Ulaya na Marekani kutoa mihadhara inayohusu siasa za Tanzania ili apate uungwaji mkono, alidhani wazungu wameweka ''mayai yao yote'' kwenye kapu lake!

Tundu Lissu kwa kutojua siasa za sasa za nchi za Ulaya na Marekani, alianza kutamba huku akiiambia dunia, ''Western world is done with Magufuli regime''! Magufuli regime has been isolated not only in EA and SADC but in all democratic world!

Kwa kuamini wazungu wameweka ''mayai yao yote'' kwenye kapu lake, Tundu Lissu akaingia kwenye kampeni nchini akijua wanasiasa wa nchi za Ulaya na Marekani watahakikisha utawala wa Rais Magufuli unaangamizwa kwa yeye kuwa Rais au kutokuwa Rais kwa sababu wanasiasa wa nchi za Ulaya na Marekani wako nyuma yake.

Siku ya uapisho wa Rais Magufuli ilikuwa ni siku iliyotuma ujumbe kwa Lissu kuwa ''Western World is not done with Magufuli regime''. Mabalozi wote wa nchi za Ulaya na Marekani walihudhuria sherehe za uapisho wa Rais Magufuli kule Dodoma. Na kwa kutaka kuonyesha kuwa walihudhuria, walitoa official statement kuzieleza nchi zao.

Kwa sasa tunaona mabalozi wa nchi za Ulaya na Marekani wakianza kufanya kazi na serikali ya Rais Magufuli kwa niaba ya serikali za nchi zao. Juzi tulimuona balozi wa nchi za Ufaransa akitoa pongezi kwa Rais Magufuli na kuahidi ushirikiano wa karibu.

Mabalozi wengine wameanza kutoa pongezi kwa vyama vya siasa vinavyoungana na serikali ya Tanzania ili kuwa sehemu ya serikali katika kuwatumikia wananchi.

Kwa maana nyingine, Kushindwa kwa Tundu Lissu hata kuwashawishi wananchi kuandamana, wanasiasa wa nchi za Ulaya na Marekani walijua mayai waliyoweka kwenye kapu la Tundu Lissu yamevunjika yote na hapo hapo wakageukia biashara nyingine ya mayai waliyoweka kwenye kapu la Rais Magufuli.

Wazungu walichofanya ni kumrudisha Tundu Lissu kule ambako walimtoa (Ubelgiji) ili wasije wakapata lawama kama atapatwa na matatizo nchini yatakayowafanya wao kuhojiwa kwa nini walimleta Tanzania!

Kuna baadhi ya watu eti wameaminishwa na wanasubiri serikali ya Tanzania kuwekewa vikwazo na Rais Magufuli kufikiswa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC)! Hawa wajinga watasubiri sana!

Yanayompata Tundu Lissu yalimpata pia Maalim Seif mwaka 2015 baada ya kuamini kuwa wazungu wameweka ''mayai yao yote'' katika kapu lake! Maalim Seif akagomea Uchaguzi wa marudio akitegemea wazungu watakuwa nyuma yake. Baadaye alizunguka duniani akiwaomba wazungu watimize ahadi zao lakini wao wakamwambia hatuwezi kufanya hivyo kwa sababu Zanzibar kwa sasa kuna amani.

Maalim Seif ametumia uzoefu alioupata mwaka 2015 kutatua tatizo ambalo lilijitokeza tena katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Wakati akihojiwa na Clouds TV baada ya kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif amesema uzoefu waliopata mwaka 2015 umewafunza kuwa huwezi kususia kila kitu kwa sababu kususia huko kuliwaathiri sana kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Wakati akihojiwa na Radio ya Sauti ya Amerika (VOA), Tundu alisema kwa sasa wazungu wanamuambia Tanzania kuna amani lakini yeye anawaambia hakuna amani. Wazungu wanachomwambia kwa sasa Tundu Lissu ndicho kile kile walichokuwa wanamwambia Maalim Seif baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 aliposusia uchaguzi.

Haishangazi kuona Tundu Lissu anawashambulia sana wale alidhani wako naye ambao wanaungana na serikali ya Tanzania au Serikali ya Mapinduzi, Kwake wanaofanya hivyo wanakuwa wanaua hoja zake kwa wazungu kuwa Tanzania hakuna amani.

Tundu Lissu ajiandae kisaikologia, Ninajua sio muda mrefu CHADEMA wataanza kupokea ruzuku ya serikali itokanayo na kura za wabunge ambazo Tundu Lissu anadai hazitambui! Hata wabunge wa viti maalum waliopitishwa na ''kamati kuu'' wataenda bungeni!

Niliwahi kusema, kwa hulka za Wazungu, Tundu Lissu atakuwa kama mwanasiasa za Venezuela, Juan Guaido. Ukitaka kusoma mada ya Juan Guaido, Gonga link hii;

Kadri siku zinavyoenda, Tundu Lissu atazidi kugombana na wanasiasa wengi anaodhani wanamsaliti bila kujua tatizo ni yeye kudhani kuwa wazungu waliweka ''mayai yao yote'' katika kapu lake!
Endelea kuota mchana.
Tayari Canada wamempokea Lema kama mkimbizi Wa kisiasa.
 
Crap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umejitahidi sana kuliweka somo hili vizuri, lakini cha kukuongezea, Kibadeni wa siasa za nje wa Magufuli ni Kikwete, yeye kama Mwenyekiti, na Mwenyekiti Mwenza wa tume zaidi ya Nne za Wazungu( Tume za kimataifa ), Magufuli anamtumia sana,tena sana kusawazisha mobonde mabonde karibu yote makubwa kwenye siasa na mambo ya nchi za nje.

Mara tuu akianza safari Ulaya na Marekani mwezi mmoja atakuwa kamaliza kelele zote za magharibi. Huyu ni personal friend wa Marais wengi, Mawaziri Wakuu na Wafalme pia.
KAZI IPO.

Asante, umezungumza na kuwakilisha vizuri sana.
Siasa za kimataifa zimebadilika sana tokea kuibuka kwa taifa la China kiuchumi na kutishia uchumi wa muungano wa nchi za Ulaya na Marekani.

Kuibuka kiuchumi kwa nchi ya China kumesababisha mzani wa maamuzi kutoka nchi za Ulaya na Marekani kwa nchi zenye uchumi wa chini na kati kama Tanzania yafanyike kwa uangalifu mkubwa.

Kuibuka kwa China kumewafanya wazungu wa nchi za Ulaya na Marekani waanza kufanya siasa za ''kutofungamana na upande wowote'' ndani ya vyama vya siasa katika nchi hasa za Afrika huku wakitumia muktadha wa kibiashara unaosema, ''usiweke mayai yote kwenye kapu moja''. Hii ina maana kwamba usiwekeze katika eneo moja pekee. Unatakiwa kutawanya uwekezaji wako katika maeneo tofauti tofauti ili uwekezaji mmoja ukianguka mwingine utaendelea kukuzalishia.

Wanasiasa wa nchi za Ulaya na Marekani kwa sasa wanajua dhana ya ''World Order'' haipo tena.

Wazungu walipomwambia Tundu Lissu wako nyuma yake na wakamsafirisha katika nchi mbali mbali za Ulaya na Marekani kutoa mihadhara inayohusu siasa za Tanzania ili apate uungwaji mkono, alidhani wazungu wameweka ''mayai yao yote'' kwenye kapu lake!

Tundu Lissu kwa kutojua siasa za sasa za nchi za Ulaya na Marekani, alianza kutamba huku akiiambia dunia, ''Western world is done with Magufuli regime''! Magufuli regime has been isolated not only in EA and SADC but in all democratic world!

Kwa kuamini wazungu wameweka ''mayai yao yote'' kwenye kapu lake, Tundu Lissu akaingia kwenye kampeni nchini akijua wanasiasa wa nchi za Ulaya na Marekani watahakikisha utawala wa Rais Magufuli unaangamizwa kwa yeye kuwa Rais au kutokuwa Rais kwa sababu wanasiasa wa nchi za Ulaya na Marekani wako nyuma yake.

Siku ya uapisho wa Rais Magufuli ilikuwa ni siku iliyotuma ujumbe kwa Lissu kuwa ''Western World is not done with Magufuli regime''. Mabalozi wote wa nchi za Ulaya na Marekani walihudhuria sherehe za uapisho wa Rais Magufuli kule Dodoma. Na kwa kutaka kuonyesha kuwa walihudhuria, walitoa official statement kuzieleza nchi zao.

Kwa sasa tunaona mabalozi wa nchi za Ulaya na Marekani wakianza kufanya kazi na serikali ya Rais Magufuli kwa niaba ya serikali za nchi zao. Juzi tulimuona balozi wa nchi za Ufaransa akitoa pongezi kwa Rais Magufuli na kuahidi ushirikiano wa karibu.

Mabalozi wengine wameanza kutoa pongezi kwa vyama vya siasa vinavyoungana na serikali ya Tanzania ili kuwa sehemu ya serikali katika kuwatumikia wananchi.

Kwa maana nyingine, Kushindwa kwa Tundu Lissu hata kuwashawishi wananchi kuandamana, wanasiasa wa nchi za Ulaya na Marekani walijua mayai waliyoweka kwenye kapu la Tundu Lissu yamevunjika yote na hapo hapo wakageukia biashara nyingine ya mayai waliyoweka kwenye kapu la Rais Magufuli.

Wazungu walichofanya ni kumrudisha Tundu Lissu kule ambako walimtoa (Ubelgiji) ili wasije wakapata lawama kama atapatwa na matatizo nchini yatakayowafanya wao kuhojiwa kwa nini walimleta Tanzania!

Kuna baadhi ya watu eti wameaminishwa na wanasubiri serikali ya Tanzania kuwekewa vikwazo na Rais Magufuli kufikiswa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC)! Hawa wajinga watasubiri sana!

Yanayompata Tundu Lissu yalimpata pia Maalim Seif mwaka 2015 baada ya kuamini kuwa wazungu wameweka ''mayai yao yote'' katika kapu lake! Maalim Seif akagomea Uchaguzi wa marudio akitegemea wazungu watakuwa nyuma yake. Baadaye alizunguka duniani akiwaomba wazungu watimize ahadi zao lakini wao wakamwambia hatuwezi kufanya hivyo kwa sababu Zanzibar kwa sasa kuna amani.

Maalim Seif ametumia uzoefu alioupata mwaka 2015 kutatua tatizo ambalo lilijitokeza tena katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Wakati akihojiwa na Clouds TV baada ya kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, Maalim Seif amesema uzoefu waliopata mwaka 2015 umewafunza kuwa huwezi kususia kila kitu kwa sababu kususia huko kuliwaathiri sana kisiasa, kiuchumi na kijamii.

Wakati akihojiwa na Radio ya Sauti ya Amerika (VOA), Tundu alisema kwa sasa wazungu wanamuambia Tanzania kuna amani lakini yeye anawaambia hakuna amani. Wazungu wanachomwambia kwa sasa Tundu Lissu ndicho kile kile walichokuwa wanamwambia Maalim Seif baada ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2015 aliposusia uchaguzi.

Haishangazi kuona Tundu Lissu anawashambulia sana wale alidhani wako naye ambao wanaungana na serikali ya Tanzania au Serikali ya Mapinduzi, Kwake wanaofanya hivyo wanakuwa wanaua hoja zake kwa wazungu kuwa Tanzania hakuna amani.

Tundu Lissu ajiandae kisaikologia, Ninajua sio muda mrefu CHADEMA wataanza kupokea ruzuku ya serikali itokanayo na kura za wabunge ambazo Tundu Lissu anadai hazitambui! Hata wabunge wa viti maalum waliopitishwa na ''kamati kuu'' wataenda bungeni!

Niliwahi kusema, kwa hulka za Wazungu, Tundu Lissu atakuwa kama mwanasiasa za Venezuela, Juan Guaido. Ukitaka kusoma mada ya Juan Guaido, Gonga link hii;

Kadri siku zinavyoenda, Tundu Lissu atazidi kugombana na wanasiasa wengi anaodhani wanamsaliti bila kujua tatizo ni yeye kudhani kuwa wazungu waliweka ''mayai yao yote'' katika kapu lake!
 
Alichoandika ndio ukweli,,kumbuka katika statement zao wazungu walisisitiza pande zote zikae na kufijia muafaka,,ACT hawakutaka kujidanganya na waluchukua oppotunity iliyojitokeza,,CDM wakisusa wanasubiri ICC
Tatizo la hawa ndugu zetu hasa CHADEMA wanaendeshwa na emotion badala ya reasoning!
 
Nina maana kwamba mnangangwa alifanywa balozo japo ni raisi kwa muktadha wa Uzi ulioletwa. Pili helium imeshauzwa yote zamani kwa vikwazo tulivyopigwa na wazungu na vinahold mpka leo sasa jifarijini tu nchi inateketea hii
Mkuu;
Tatizo unaloandika hapa ni schoolboy politics!
 
Watanzania bado wajinga jinga Lissu anashida gani mwenzako ana elimu ya kitaifa na anaweza kuishi sehemu yoyote Duniani. Kikubwa ni kujiuliza nchi inaenda wapi kwenye demokrasia. Muda wa kusubiri wachache wafe kwasababu ya wengi haupo tena kama tutakuwa waogo na kubaki na ushabiki tu na uzushi tubaki na sala tu maana hata hii mitandao inatafutiwa njia ya kufugwa.
Mkuu;
Lazima kwanza uelewe kuwa kila binadamu anaweza kuishi sehemu yoyote duniani!

Hoja ya nchi inaenda wapi ni suala la mtazamo wako kulingana na upeo wa uelewa wako kisiasa, kijamii na kiuchumi!
 
Back
Top Bottom